ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Nakusalimia mkuuWhat up
Nakusalimia mkuuWhat up
Ni rahisi sana kusema hivyo kwa mtu ambaye hujui kituRais wetu Samia Suluhu Hassan piga chini maelekezo yote yanayotolewa na mabeberu nchi yetu ni huru
Salama mkuuNakusalimia mkuu
Aonekane dhaifu kama yeye mmoja au aiumize nchi! Ngoja tuone kama huwa anatumia kichwa kufikiria.Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.
Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.
Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.
Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.
Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.
COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
Hataki hata mahakama imwachie anachotaka Lissu ampigie magoti kitu ambacho Lissu hataki.Yeye and jis cronies, wakifuta misaada hawata athirika kwa lolote, hivyo atachagua kukaidi, kutomwachia Lisu.
Wangelikuwa na uwezo wa Kum-MADULO, angeliamua kumwachia.
Ushauri kwa Samia: Acha kesi iendelée harakamahakamani, then mahakama imwachie. Utakuwa umemaliza mchezo
DuhCommonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.
Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.
Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.
Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.
Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.
COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
Kwanini asifanye siasa una sababu za kisheria.1.Lisu ni vema aachiliwe na asiruhusiwe kufanya mikatano ni balaa ikiwa hivyo
2.Akiwa mkaidi wamfungulie mashtaka mengine makubwa zaidi ya haya ili awe na adabu
Yote ya yote sipendi Lisu ashikiliwe ni upumbavu na upuuzi na uzoba ila hafai kuwa kiongozi ni maoni yangu
We Fala nimesema maoni yangu.. Huelewi niniKwanini asifanye siasa una sababu za kisheria.
Unawezaje kumtisha Rais wa Nchi tena kutoka Africa.Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.
Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.
Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.
Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.
Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.
COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
1.Dawa za Malaria tu hunaRais wetu Samia Suluhu Hassan piga chini maelekezo yote yanayotolewa na mabeberu nchi yetu ni huru
Madhara ya vikwazo siku zote huwaathiri zaidi wananchi wa kawaida kuliko viongozi wa juu. Mwambie akubali tu kushindwa ili maisha yaendelee.Rais wetu Samia Suluhu Hassan piga chini maelekezo yote yanayotolewa na mabeberu nchi yetu ni huru
Unataka ligi ya matusi.We Fala nimesema maoni yangu.. Huelewi nini
Sina shida na upuuzi wako
Acha kumjaza upepo mheshimiwa Rais.Rais wetu Samia Suluhu Hassan piga chini maelekezo yote yanayotolewa na mabeberu nchi yetu ni huru
Hata wapumbavu wana maoni, usiwe na shaka.Yote ya yote sipendi Lisu ashikiliwe ni upumbavu na upuuzi na uzoba ila hafai kuwa kiongozi ni maoni yangu
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.porojo zingine bana 🤣
Aione mwashambwaCommonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.
Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.
Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.
Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.
Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.
COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
Nisiyosikia yakichangiwa humu ni namna gani fursa hii inafaa kutumiwa na waTanzania kuondoa takataka hii miongoni mwetu.Madhara ya vikwazo siku zote huwaathiri zaidi wananchi wa kawaida kuliko viongozi wa juu. Mwambie akubali tu kushindwa ili maisha yaendelee.