Kila mtu na hulka yake kama ulizaliwa kuwa mnyonge utakufa ulivyo hakuna mtu atakaye kubadilisha, kama ulizaliwa na hulka ya kupigania wengine hata wasipo kuomba roho itakutuma uwasaidie.Ni suala la muda kinachokemewa kinajirudi kwa mkemeaji
Shida duniani watu tunaishi muda mfupi..
Kama tungedumu miaka anagalau Mia mbili ingekuwa ni rahisi kufundisha wapumbavu kwa vitendo
Tulipoweza ni kujaribu kuweka historia japo si kitu cha moja kwa moja ila inasaidia kwa wachache wa pekee
Itoshe kusema yale unayodhani mwengine atakutimizia ni vile Unatakiwa kuwa wewe mwenyewe
Na wewe ndio shujaa kamili wa maisha yako so mwengine
NB.: hatujakuomba utupiganie
Kumbe Samia amejipanga kukimbilia Oman.Senate, EU, CW vitapita na kuiacha TZ. Samia atakuwa zake Oman. Mimi, wewe na wenzako mnaoshabikia tubinywe ndio tatakao suffer
Acha kujiona shujaa wa maisha ya watuKila mtu na hulka yake kama ulizaliwa kuwa mnyonge utakufa ulivyo hakuna mtu atakaye kubadilisha, kama ulizaliwa na hulka ya kupigania wengine hata wasipo kuomba roho itakutuma uwasaidie.
Ndo tunavyoaminishwa na nyie huko CDMKumbe Samia amejipanga kukimbilia Oman.
Sio kila mtu lazima awe kama Hamza ndio aonekane shujaa kila mtu na strategies zake, Mandela hakujiua kama Hamza lkn alikuwa shujaa, simamia unachokiamini hata kama utabaki peke yako.Acha kujiona shujaa wa maisha ya watu
Ukitaka kuwa shujaa kwa unachosimamia kuwa kama Hamza
Shujaa wa kutia watu ujinga kisha uokote amana zao..! Ni zaidi ya ushenzi
Simamia unachoona sahihi kipambanie mpaka unapotea ukiwa wewe mwenyewe ndio usahihi
Maisha ya mandera na tamaa zake zimebaki historiaSio kila mtu lazima awe kama Hamza ndio aonekane shujaa kila mtu na strategies zake, Mandela hakujiua kama Hamza lkn alikuwa shujaa, simamia unachokiamini hata kama utabaki peke yako.