Umalaya na Umiliki wa Danguro ni Kosa La jinai

Anaona watu wanauza miili yao, wateja hawalazimishwi, wanapenda wenyewe, hakuna anayeibiwa, tatizo liko wapi? 😂😂
Tatizo hao malaya hua wanafyatukaga na kua wa ajabu ajabu na majibu ya ajabu ajabu achana na kuangalia innocent face wengi wana innocent face but deep down inside ni manunda kinoma sasa akikutana na muhuni kashatoka kula bangi zake huko kinaumana
 
Hapana usimuoe huyo wa barabarani tafuta binti mzuri unaemfahamu vzr...achana na hao kwanza hawawezi kutulia...anko wangu alioa bar maid kisa alikua anamuhudumia vzr akienda hapo anapouza..alipomuweka ndani alijuta..
Huyu ni malaya anaongea malaya nunda jeuri kiburi mwenye dharau mfululizo na anajivunia kuuzakuma
Your browser is not able to play this audio.
 
Sawa lakini kunatofauti gani nakuoa mwanamke asiye bikra nayeye SI tayari anachapwa, tofauti ni jina TU LAKINI kitendo ni kilekile
 
Unavunja ethics za afya hasa ile ya confidentiality
 
Danguro ni ni i na guest ni nini, iweje awe na kosa
Labda ungesikiliza hiyo audio, jamaa alifunguka kabisa kwamba hapa wasichana huwa wanapanga kwa shilingi 30,000 kwa siku, wanakuja na wateja wao, kuna matron wao anawaangalia.

Yani hakufanya siri kwamba hapo panafanyika biashara ya wanawake kujiuza kingono.

Kwa hiyo ni kitu kinachoeleweka kabisa kwamba hapo wanafanya biashara ya ngono na wanaingiza wateja mbalimbali na wanalipia 30,000 kwa siku.
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya Danguro na zile sehemu za Massage? Nielewesheni kwa upole.....
 
mimi nikijua tu kuwa huyu amewahi pigwa pipe na mzee, huwa nasikia kinyaa sana,...
 
Mstari wa kahaba na mpenzi ni mwembamba sana na kuprove kwamba mtu alitegemea mapato ya ukahaba haiwezekani.
 
Umetuchanganya mwanasheria wetu ujue!

Hapa umezungumzia danguro(brothel) na kuacha kuongelea (gesti bubu) alikofia mhusika.

Hizi guest houses zinalipa kodi, zina vibali kabisa vya biashara lakini vinafanywa madanguro.

Kitendo cha (shoo taim) wanavyoita wenyewe kumaanisha 'short time' ni tendo haramu linalofanywa sehemu halali.

Sasa, toa ufafanuzi wa kisheria unaoeleweka kuhusu 'gesti bubu'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…