Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
- Thread starter
-
- #41
Ila sio kwa kushindana na uchi mkuu. Hata mi nitaweza filisika ila sitafilisiwa na tundu la mwanamke. Hayo mambo yana umri ndugu yangu. Kwenye miaka yetu hii 50's unasumbuliwa na wanawake tena mwanamke Polisi mwenye miaka 30's na mvuta bangi? Tulimshauri sana ila dah.Ni mfumo na Asili ya Maisha tuu,,,kila MTU anatandikwa Kwa namna yake.
Nenda kauze madafu Ikulu nimekwambia unaweza ukawa mkubwa ila kichwani empty wapo wanaume wana wanawake na hao wanawake ndio njia pekee za mafanikio waliyonayo ndio maana nikakwambia inategemea upo na mwanamke wa aina gani, ana akili gani kichwani za kimaendeleo na vingine sitoandika hapaYameshaisha. Niache basi usinitukane jamaa yangu.
Kwa hio wewe unawatukana ndugu zetu katika Iman Washia na Wasun kwamba wanafanya Umalaya kuoa wake wanne una akili wewe kweli?Hahaaaaaa ana shehe mmoja rafiki yake pale BAKWATA Morogoro ndio anampotosha.
Sasa anashinda ndani analia kuishiwa, akichoka kukaa ndani anaenda kwenye vilinge vya vijana wa boda na magazeti pale karibia na CRDB Moro na kuanza kujisifia kuwa ana wanawake wengi.
Hii dunia hii. Inasikitisha sana.
Haya umeshinda. HongeraNenda kauze madafu Ikulu nimekwambia unaweza ukawa mkubwa ila kichwani empty wapo wanaume wana wanawake na hao wanawake ndio njia pekee za mafanikio waliyonayo ndio maana nikakwambia inategemea upo na mwanamke wa aina gani, ana akili gani kichwani za kimaendeleo na vingine sitoandika hapa
Ushanielewa wewe pimbi mdogo au nikuandikie list ya matajiri wenye wanawake wengi na hawajaanguka mpaka leo nao pia utawashauri waache umalaya?
Basi yameisha. Umeshinda.Kwa hio wewe unawatukana ndugu zetu katika Iman Washia na Wasun kwamba wanafanya Umalaya kuoa wake wanne una akili wewe kweli?
Unamaanisha Waislamu Washia na Wasun kuoa wake wanne ni kufanya Umalaya? Yaan unawatukana waislamu na unawaambia waache umalaya waoe mke mmoja?Ila sio kwa kushindana na uchi mkuu. Hata mi nitaweza filisika ila sitafilisiwa na tundu la mwanamke. Hayo mambo yana umri ndugu yangu. Kwenye miaka yetu hii 50's unasumbuliwa na wanawake tena mwanamke Polisi mwenye miaka 30's na mvuta bangi? Tulimshauri sana ila dah.
Inasikitisha, byee. Ngoja nikapambanie wanangu.
Wewe mlengo wako sio tu kushuka kwa maisha ya rafiki yako halafu wewe sio rafiki kwa maelezo yako wewe ni adui wa huyo jamaa na hapo ulipo unafurahia anguko lake nyoka kabisa weweBasi yameisha. Umeshinda.
Unawaambia Waislamu kuoa wake wanne ni kufanya Umalaya yaan wanaendekeza uchi? Una akili wewe kwanza unauza madafu kwenye kwenye Ikulu ipi?Haya umeshinda. Hongera
Hatufani Kifikra,kimaono,,kimitazamo,na Hatufanani pia Kimwili,,Kiroho na Kiakili....Wewe huwezi kuwa mimi na mimi siwezi kuwa wewe kamweIla sio kwa kushindana na uchi mkuu. Hata mi nitaweza filisika ila sitafilisiwa na tundu la mwanamke. Hayo mambo yana umri ndugu yangu. Kwenye miaka yetu hii 50's unasumbuliwa na wanawake tena mwanamke Polisi mwenye miaka 30's na mvuta bangi? Tulimshauri sana ila dah.
Inasikitisha, byee. Ngoja nikapambanie wanangu.
Umetumwa kuijaza dunia acha au unataka ukaonane na Pdidy?Hii story haina tofauti na ya baba yabgu mzazi, ila yeye alikua jembe, mpaka anafariki mambo yote aliyaweka sawa kwa ndugu zangu wote kwenda vizuri na familia yake. Ila kila nikipigaga hesabu, ni shughuli ngumu sana kuzaa zaa hovyo na wanawake, kwa vipato vyetu.
Unaona unachokiandika hapa wewe tumbili mwitu?Ila sio kwa kushindana na uchi mkuu. Hata mi nitaweza filisika ila sitafilisiwa na tundu la mwanamke. Hayo mambo yana umri ndugu yangu. Kwenye miaka yetu hii 50's unasumbuliwa na wanawake tena mwanamke Polisi mwenye miaka 30's na mvuta bangi? Tulimshauri sana ila dah.
Inasikitisha, byee. Ngoja nikapambanie wanangu.
Usiharibu uzi wa mwenzako. Acha ligi zisizo na maana. Jamaa kasema umeshinda, basi achana nae tajiri.Unaona unachokiandika hapa wewe tumbili mwitu?
Ebu achana na hii mada ndugu yangu.Unawaambia Waislamu kuoa wake wanne ni kufanya Umalaya yaan wanaendekeza uchi? Una akili wewe kwanza unauza madafu kwenye kwenye Ikulu ipi?
Hata mi mzee wangu alikuwa na watoto wengi wa nje. Tuliyopitia Mungu anajua ila ni kweli kuzaa hovyo na wanawake wengi ni changamoto kwenye familia. Unaharibu furaha na maisha ya wanao bila sababu.Hii story haina tofauti na ya baba yabgu mzazi, ila yeye alikua jembe, mpaka anafariki mambo yote aliyaweka sawa kwa ndugu zangu wote kwenda vizuri na familia yake. Ila kila nikipigaga hesabu, ni shughuli ngumu sana kuzaa zaa hovyo na wanawake, kwa vipato vyetu.
Bahati yake mzee wa busara umemtetea nilitaka nimpige spana mpaka autelekeze uzi wakeUsiharibu uzi wa mwenzako. Acha ligi zisizo na maana. Jamaa kasema umeshinda, basi achana nae tajiri.
Nimesemaje umezaa na mwanamke wa aina gani na ana akili gani za kimaendeleo? Acheni lawama za kijinga wewe ulitakaje mzee wako apige nyeto ungekuepo wewe?Hata mi mzee wangu alikuwa na watoto wengi wa nje. Tuliyopitia Mungu anajua ila ni kweli kuzaa hovyo na wanawake wengi ni changamoto kwenye familia. Unaharibu furaha na maisha ya wanao bila sababu.
Waislamu kuoa wake wanne ni Umalaya? Au sio Umalaya? Hawaridhiki na uchi mmoja? Wanatafuta uchi uchi uchi mpaka uchi ziwe nne ni Umalaya?Ebu achana na hii mada ndugu yangu.
Inaonekana either una shida ya akili au ni kweli hujabalehe kama jamaa alivyokuambiaa hapo juu. Tafadhali naomba usinitukane. Unanivunjia heshima. Achana na mimi.Nimesemaje umezaa na mwanamke wa aina gani na ana akili gani za kimaendeleo? Acheni lawama za kijinga wewe ulitakaje mzee wako apige nyeto ungekuepo wewe?
Na wewe umeoa wake wanne je wewe pia ni Muislamu Malaya uache Umalaya Muislamu kwa kuoa wake wanne huo ni Umalaya unakubali au unakataa?Inaonekana either una shida ya akili au ni kweli hujabalehe kama jamaa alivyokuambiaa hapo juu. Tafadhali naomba usinitukane. Unanivunjia heshima. Achana na mimi.