RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Atakushaurije wakati hauko kwenye system yao? Ila tutafika.Ni nyingi sanaaa yani...vitu kama hivyo mtu hawezi akakushauri na wewe ufanye๐๐
We jamaa una akili personal.Wote tuliomo humu ni masikini kwa sababu hatumiliki visima vya mafuta n.k; tufanyeje ili tuwe matajiri?
On point, wengi wanasahau kuna kitu kinaitwa bahati.Fikra, mazingira na bahati
Yeah, kikubwa uzima tu na kupambanaAtakushaurije wakati hauko kwenye system yao? Ila tutafika.
Umasikini upo wa aina nyingi unalengwa hapa ni ule wa kipato.
Umasikini ni matokeo ya akili kushindwa kubaini fursa zinazokuzunguka ili uzigeuze mtaji.
Popote penye watu Pana pesa,watu ndio soko lenyewe.
umasikini ni hali ya mtu kushindwa kuchukua pesa Toka kwa watu.Bakhresa anachukua pesa Toka kwa watu kwa kubadilishana na kile wanachohitaji.
Mtaji ni 4H
1.Head
2.Health
3.Hand
4.Heart
umasikini ni laana, kuzaliwa masikini hakumfanyi mtu kuwa masikini,kutokuwa elimu Sio kisingizio Cha kuwa masikini.
Fafanua kiongozi ili wenye vichwa vigumu kama changu tuelewe๐Wote tuliomo humu ni masikini kwa sababu hatumiliki visima vya mafuta n.k; tufanyeje ili tuwe matajiri?
Ila kuna levels za utajiri, Utajiri mi naona ni kupata biashara au uwekezaji ambao unamake consistent returns kila mwaka, haijalishi mwaka upoje. Inawezekana ni 10%, 20% .๐๐ Ndio ukweli wenyewe huo
Hujaelewa tu; tikiti maji la miezi miwili, lina mbegu ngapi?Fafanua kiongozi ili wenye vichwa vigumu kama changu tuelewe๐
Ila kumbuka jamaa ana akili yake personal.Fafanua kiongozi ili wenye vichwa vigumu kama changu tuelewe๐
Unavyosema fulani ni tajiri, unamaanisha nini?Ila kuna levels za utajiri, Utajiri mi naona ni kupata biashara au uwekezaji ambao unamake consistent returns kila mwaka, haijalishi mwaka upoje. Inawezekana ni 10%, 20% .
Unaanza kuongea kwa ishara kama mababu wa zamani za kale wakina mangi sina.Hujaelewa tu; tikiti maji la miezi miwili, lina mbegu ngapi?
Na lazima uwe na roho mbaya...Tena mbaya haswaKwa upande wa umaskini kuwa wa kifikra nakubaliana na wewe, ila mi naongezea hiki kitu: ni kuogopa kutake risks.
Matajiri wengi ni risk takers, washafeli mara kibao na wanajifunza kwanini wamefeli alafu wanajirekebisha.
Aisee ๐๐๐๐งHujaelewa tu; tikiti maji la miezi miwili, lina mbegu ngapi?
Ina maana hakuna tajiri mwenye roho nzuri? Au unamaanisha mwenye maamuzi magumu?Na lazima uwe na roho mbaya...Tena mbaya haswa
Ishara inafikirisha ubongo kwa kufanya kaziUnaanza kuongea kwa ishara kama mababu wa zamani za kale wakina mangi sina.
SawasawaIla kumbuka jamaa ana akili yake personal.
Ila yuko sahihi kwa upande fulani.