Umasikini ni matokeo ya fikra na sio matokeo ya mazingira

Umasikini ni matokeo ya fikra na sio matokeo ya mazingira

Umasikini upo wa aina nyingi unalengwa hapa ni ule wa kipato.

Umasikini ni matokeo ya akili kushindwa kubaini fursa zinazokuzunguka ili uzigeuze mtaji.

Popote penye watu Pana pesa,watu ndio soko lenyewe.

umasikini ni hali ya mtu kushindwa kuchukua pesa Toka kwa watu.Bakhresa anachukua pesa Toka kwa watu kwa kubadilishana na kile wanachohitaji.

Mtaji ni 4H
1.Head
2.Health
3.Hand
4.Heart

umasikini ni laana, kuzaliwa masikini hakumfanyi mtu kuwa masikini,kutokuwa elimu Sio kisingizio Cha kuwa masikini.

Avoid kusikiloza motivation speakers hasa wa Tanzania, utanishukuru baadae.
 
Back
Top Bottom