Umasikini ni matokeo ya fikra na sio matokeo ya mazingira

Kwako mtaji ni. Nini
 
Umeandika vizuri sana lakini umeharibu hapo uliposema "umasikini ni laana". Hilo sikubaliani na wewe.

Mbora kati yetu kwa Mwenyezi Mungu ni mcha Mungu, siyo umasikini au utajiri wetu.

Neno masikini ni la kibinafsi "subjective", umasikini kwa mmoja siyo umasikini kwa mwengine. Unaweza kuwa tajiri wa mali lakini masikini wa afya.

Jirekebishe kauli zako
 
Kweli kabisa ila nahisi jamaa akielezea kwenye nyuzi zake za chini kuhusu utajiri wa afya pia, na pia kuna utajiri wa maarifa na hekima.
 
Kwanza kwa kupitia knowledge, wanajifunza vitu vingi kuhusu vitu wanavotaka kuvifanya, jinsi gani ya kuzipata na mbinu za kutumika kuzipata eidha kuwa na ushirikiano na Serikali ama taasisi au kufanya illegal acts .
Tajiri ni pale ambapo 'asset' zake zinakuwa zinahitajika na jamii, na ile kuhitajika kwake anakuwa anapata pesa (mapato), huyo ndio tajiri; kama 'asset' zake hazihitajiki na jamii, huyo sio tajiri bali ni mtu aliye jilimbikizia mali.
Matajiri dunia hii ni wachache sana, rejea 'Forbes'​
 
Anhaa.
Assets gani haihitajiki Kwenye jamii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…