Umasikini ni matokeo ya fikra na sio matokeo ya mazingira

Watu wanapingana na biblia:

Marko 10:25 BHN​

Ni rahisi zaidi ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”
Naona hujaisoma sura yote ,Yesu alikuwa hapingi utajiri ila alikuwa anapinga ulimbikwizaji wa Mali, yaani tajiri ambaye alikuwa hataki kutoa msaada kwa wengine.

Yesu huyohuyo alitoa mfano wa tajiri mmoja aliyepata mazao mengi kiasi kwamba ghala haitoshi na kujisemesha moyoni kuwa atavunja hiyo na kutengeneza kubwa zaidi na kuhifadhi, Mungu akamuambia tajiri kuwa usiku huu wanakuja kutoa roho yako.
 
Nitajia tajiri yeyote, kutoka kwenye 'list' ya 'Forbes' kuanzia namba moja mpaka elfu moja aliyeajiriwa.
Hayupo.
Ila wengi walianza na ajira kama wakina Jeff Bezos.
Wakina Bill Gates na Zuckerberg na Musk , mazingira ya nchi ya Marekani yaliwafavor kuwa matajiri, mazingira hayo yanahusisha sheria bora za uwekezaji, uwepo wa mainvestors walio tayari kuwekeza na pia monetary policies ya nchi hiyo ya Expansionary.
 
We utaacha ajira lini ili uwe tajiri?
 
Base kwenye utajiri wa kipato
 
Jeff Bezos mtoto wa kishua sio poowa. Aliapata mkopo wa $200,000 kutoka kwa wazazi wake kumbuka kasoma Princeton University chuo bora kabisa Duniani
Bill Gates mama yake alikuwa board members wa IBM baba yake alikuwa mmoja wanasheria wakubwa kabisa Washington State alipewa connection noma
Zuckerberg naye wakishua
Musk naye wakishua upande wa mama yake
Ukweli ni kwamba mazingira yetu ni ngumu Yana nafasi kubwa Sana mtu kuwa maskini that why Musk aliende marekani ili atoboe
Zuckerberg alisema kama asingezaliwa marekani pengine Facebook isingekuwepo duniani
 
Ndo maana nikasema hawa wote, walifanikiwa kwasababu walikuwa Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…