Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
Kupambana Sio kupata kupata ni mchakato.Huna unachojua kuhusu umasikini. Hivi unadhani watu hawatumii akili kwenye utafutaji?? Watu mtaani tunaumiza vichwa tufanye mishe gani za kututoa kwenye huu umasikini!!. Wewe unasema umasikini ni ufinyu wa fikra.
Hivi unadhani maisha ni marahisi sio? Unaongea upuuzi mtupu, watu tunapambana watu kila mda tunawaza ubongo unafanya kazi masaa 24 lengo ni kutoka kwenye hili janga la umasikini halafu we unaleta kejeli zako
Talk is cheapNilichogundua hawa wanaojifanyaga ma-motivational speakers ndo wanakuaga na hali mbaya....ukiwatoa akina Joel Nanauka
Yeah ni kweliTalk is cheap
Kupata ni mchakato na sio matokeo ya fikraKupambana Sio kupata kupata ni mchakato.
Sio lazima uje mjini hata kijijini Kuna fursa tele za kuleta mjini ardhi ikiwa ndio msingi wa utajiri.Mazingira yanachangia kwa kiasi kikubwa watu kuendelea kubaki masikini, image waliopo kijijini huko fursa za kibiashara wanazipata je ? Bidhaa za kuuzia wanazipata vipi? Ukiangalia ubovu wa miundombinu ya barabara, mzunguko mdogo wa pesa kwa mtu anayeishi kijijini atatoboa vipi??
Ndio maana unaona watu kila siku wanakuja huku mjini kutafuta maisha kutokana na mazingira ya kijijini si rafiki
mazingira ni nini?Mazingira yanachangia watu kuwa masikini.
Huwezi pata kama hauna fikraKupata ni mchakato na sio matokeo ya fikra
Tatizo unaongea kirahisi sana utadhani hizo shughuli zote za kijijini ushawahi kufanya. Na sijui kama changamoto za huko unazijua. Ndio maana unaongea hivoSio lazima uje mjini hata kijijini Kuna fursa tele za kuleta mjini ardhi ikiwa ndio msingi wa utajiri.
Lima,fuga,Kila ardhi Ina matumizi yake ili kuifanya iwe fursa kupitia nguvu zako bila pesa kwanza.
Pesa ni matokeo ya kazi.
Lima fuga,fyatua tofali vigae fuga nyuki,Lima mazao mbegu eg mlonge muarobaini nyonyo mbono kamua tengeneza sabuni uzia watu,choma mkaa,kusanya mibuyu uza kwa magunia au tengeneza kashata za ubuyu au paki unga wa ubuyu,tengeneza mifagio,Lima mazao,nk
Hakuna watu masikini Duniani kama waislam nimakapuku haijawahi kutokea nenda nchi Afghanistan na Yemen ndoutajuaMimi ni Muislam, Uislam ndiyo mfumo wa maisha.
Ulitaka nifate tafsiri ya kishetani?
Hizo fikra ni kama zipi? Maana watu kila kukicha tunafikra (mawazo ya kibiashara na mishe za kutotoa kimaisha) ila bado mazingira yanaturudisha nyuma.Huwezi pata kama hauna fikra
Dah unaota? Umasikini wa nchi siyo umasikini wa watu. Anza na kwenu kabla hujaeda mbali.Hakuna watu masikini Duniani kama waislam nimakapuku haijawahi kutokea nenda nchi Afghanistan na Yemen ndoutajua
Umewahi wazalishia bidhaa kwa Bei ndogo ukakosa soko,umewahi Lima chakula ukakosa soko,umewahi tengeneza mkaa ukakosa soko,Hizo fikra ni kama zipi? Maana watu kila kukicha tunafikra (mawazo ya kibiashara na mishe za kutotoa kimaisha) ila bado mazingira yanaturudisha nyuma.
Ingekuwa watu hawana fikra basi hakuna biashara au shughuli za kiuchumi ungeziona huku mtaani. Hizo zote ni matokeo ya fikra ila bado watu tunaishi maisha magumu sasa sijui unazungumzia fikra zipi?
Kulima nyonyo,mlonge,katani,mianzi,mhogo,viazi,fyatua tofali za udongo na vigae,kufuga nyuki ,kukusanya ubuyu na ukwaju maporini Pana changamoto zipi kikwazo kwa mfano.Tatizo unaongea kirahisi sana utadhani hizo shughuli zote za kijijini ushawahi kufanya. Na sijui kama changamoto za huko unazijua. Ndio maana unaongea hivo
Mazingira yanakuzuia vipi kufanikiwa,mbona wazungu,wachina wahindi wao wanafanikiwaSababu kubwa ya umasikini ni mazingira. Achana na maspika ya motivation.
Wapi hao. Nenda South oune wazungu wanavyotaabika sababu ya mazingira kubadilika. Nenda Argentina uone nchi ya wazungu inavyozama sababu ya mazingira mabovu. Wachina wenyewe wameanza kufanikiwa baada ya mazingira kubadilishwa mwaka 1978. Usidanganyike na hawa wawili watatu wanaokuja kupiga uchuuzi huku.Mazingira yanakuzuia vipi kufanikiwa,mbona wazungu,wachina wahindi wao wanafanikiwa
Who between them have power?Kwann masikini nae asimyonye tajiri
You know the right person!. Wapi wengi sanaa yani anaongea vitu ambavyo yey mwenyew kuvitekeleza vinamshinda.Sema mimi sasahivi sitamsikiliza motivation speaker yeyote zaidi ya Cristiano Ronaldo, Kobe Bryant, na Warren Buffett.
Motivation speakers wengi ni dealers, wanatafuta hela kupitia makongamano na kuuza vitabu. Unakuta mtu kaandika "Siri za utajiri" alafu yeye sio tajiri.