Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kwa kiasi kikubwa umasikini unatoka na chain ya ufukara ambayo ipo kwenye familia au ukoo, kwa maana iyo umasikini wa mwanamke sio tatizo la boyfriend wake, ni tatizo lake binafsi na familia yake na wao ndio wenye wajibu wa kujiondoa katika umasikini huo.
Unakuta kiijana wa kiume anajibana, anaweka pembeni mipango yake kwa ajiri ya kutimiza mahitaji ya mwanamke, kwa ajiri ya kumuondoa katika umasikini mwanamke ambae nae pia ana miguu, mikono, ana ndugu na masaa 24 ya siku mbaya zaidi mwanamke huyu sio mke wake. Kama wewe ni huyu kijana wa kiume basi acha mara moja hiki kitu.
Mwanamke sio mlemavu au mtoto yatima ni mtu mzima mwenye nguvu na akili timamu kuweza kufanya kazi ili ajihudumie mahitaji yake.
Mwanamke ni mtu mzima anaetakiwa kujua kwamba anawajibika kupangilia matumizi yake kulingana na scale ya kipato chake.
Tupo katika ulimwengu wa 50/50 ambapo mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta hela na kufanya mambo makubwa hapa duniani mfano mzuri nchini kwetu tuna Rais na Spika wa bunge ambao ni wanawake.
Nakubali katika mahusiano kuna kusaidiana, kupeana zawadi n.k lakini hii iwe mutualy sio kanuni kwamba ni lazima mwanaume awe mtoaji na mwanamke awe mpokeaji, na iyo mutualy yenyewe iwe katika mzani unaokaribiana sio mmoja anatoa smartphone au kodi ya nyumba mwingine anatoa boksa na vest, huu ni utapeli.
Mapenzi ni hitaji la wote, partner mmoja akiweka sharti la kutaka material/monetary benefits maana yake uyo anafanya biashara ya ngono.
Na ieleweke ya kwamba sina shida na madada poa, kama mwanamke anafanya biashara ya ukahaba aweke wazi pale pale anapotangozwa, aseme anajiuza tukubaliane bei twende lodge tukamalizane baada ya hapo no attachments, no billing.
Lakini kama hitaji la mwanamke ni kuingia katika mahusiano basi anawajibika kujihudumia kwa kipindi chote kabla ya kuoana rasmi. Mahusiano ya kimapenzi sio ajira, ni field ambayo inawakutanisha mwanaume na mwanamke wanaojiweza kiakili na kiuchumi kwa lengo la ku-share upendo.
Ewe kijana wa kiume acha kujifanya masiha kwenye maisha ya girlfriend wako. Kumbuka mapenzi nayo huwa yana-expire, kumbuka girlfriend ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kusitisha hayo mahusiano muda wowote bila kukulipa compensation ya gharama zote ulizoingia kwa ajiri yake.
Don't guarantee on woman's loyalty at any time and be more careful when such woman is broke.