Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

Hizo kazi unafanya mwenyewe? Hamjui humu ndani kuna wau wa aina gani na kazi tunazofanya, hiyo serikali unayoiba hivyo labda ya Congo, sisi tuna CPA zile za miaka ambayo wewe unasoma standard 3, na tunajua mifumo haswa, umetudharau sana wewe mjinga
Nimekwambia haina haja ya kujieleza nafanya nini mkuu. Amini unachoamini ila nilichoandika ndio ukweli wangu
 
Ha ha ha, serikalini? 3m kwa siku? Labda kama wewe ni waziri, Pima, Mkurugenzi wa Arusha yuko Magereza kwa sababu ya hela chini ya 120m, ambazo amezitoa kijanjanja kwa ukandarasi, wewe unaondoka na 3m kila siku, mi Tanzania mijinga sana
Kasema hayuko Serikalini
 
Laana hapana.
Roho mbaya ni kweli tunayo.
 
Kasema hayuko Serikalini

Ngoja nikupe facts:

- org yeyote au biashara ambayo mtu anaweza chukua 3m/day un noticed, baada ya kufanya kazi kwa miezi 3, ina maana anachukua about: 70m/month. Tupunguze tuweke 50m/month.

- Biashar ambayo mtu aliyefanya kazo kwa miezi 3 mwenye uwezo wa kuiba minimum of 50m a month, un noticed it is a mult milionear business, with billions of money.

- Biashara ya aina hiyo lazima imewekeza sana kwenye technology, mifumo na namna zozote za ku detect fraudy, na hii inaendana na kuajiri watu compent sana.

- Kama ana uwezo wa kutoka na 3m a day, hizo hela zinatoba bank? Ni petty cash? Ni sales au chanzo chake ni nino, ili ufanikiwe kuiba kiwango hicho, lazima ushirikiane na watu si chini ya wa 5, kama yeye ama miezi 3 anaondoka na 3m, hao wazamani wanaondoka na ngapi?
 
Hili usilibishie, inawezekana.
 
Sijaja hapa kutafutana no watu PM na wala sijawahi kufanya hivo na sitafanya hivo

Nimeamua tu kupoozea machungu yangu hapa
Nakuelewa mkuu, nimezungumzia nature ya huku jf.

Zaid ya hapo naungana na wewe kusema umaskini ni laana
 
Yaani umeajiriwa taasisi Per week unatengeneza 15m+ mkuu!!! so kwa mwezi una 60+m kumaanisha kwa mwaka una 720+ , dah! maisha yamenyookea watu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ nakubali.
 
Sawa,wewe endelea kutekeleza majukumu yasiyo kuhusu. Naona hapo bandarini kitengo cha makasha kime kupa upofu.
 
Ungeamini unachoamini ingekuwa vizuri zaidi lakini nikuambie tu bado huelewi mambo mengi. Tufanye kwamba nilichoandika hapa ni uongo ili tuufunge huu mjadala wako
 
Haina haja kubishania hayo.

Ukienda kampuni za madini ndio utajua watu wanapiga hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…