stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Hii Chai ni CHUNGU labda akisema yupo MGODINI BULYANGURU huko kwenye Dhahabu au kule kwenye TANZANITE na aseme wazi kua yeye ni MWIZIHa ha ha, serikalini? 3m kwa siku? Labda kama wewe ni waziri, Pima, Mkurugenzi wa Arusha yuko Magereza kwa sababu ya hela chini ya 120m, ambazo amezitoa kijanjanja kwa ukandarasi, wewe unaondoka na 3m kila siku, mi Tanzania mijinga sana