Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
-
- #61
Emu malizia story ulimla au mlishindwana hyo ndo ilibidi iwe maini body,
Kingine alipiga mzinga kulingana na mapokeo yako kwenye ofa bili ya 35k si haba kuomba 20k maana bill tiari ilionesha ni pochi nene
Mimi hao huwa nawatoroka guest, asubuhi ana amka anakutana na shuka tu,
Nilipoona foursome nikajua ni mzabzaz kaingia kwenye sekta yakehii sasa ndio inaitwa lost opportunity.... sasa kama 350k imeenda kwa vinywaji sii u must have well made it a cool 1 million and just have a foursome with them ladies wewe
Tena Daspan hatariiiiBill 350! Wanawake ni sumu ya maendeleo
Wadada wengine sijui akili wanazipeleka wapi?mtu amekuita mfurahi kidogo mara unabeba kundi la watu kama unaenda fiesta????na isitoshe ni mtu mnafahamiana,ok haitoshi mnafakamia vitu kama kwenu huwa hamli(je ni ushamba au ni umjini mi ndo sijui) hivi imagine hata kama ni mimi labda kuna kitu kizuri nilikuwa nafikiria and for the first day unabehave hivo hivi ntakuconsider tena zaidi ya kuona nawe hamnazo???
Afu akili ya kulipwa inakujaga tu sijui kwann
Bill si ni kufurahisha tumbo,sasa suala LA kufurahisha vikojoleo ni another caseDaah yani bill yote unaona kwako nothing asee[emoji23][emoji23]
hao ndiyo wanaoliwa kimasihara huko ma hostel wewe unajitutumua na mpunga wakoMambo ni vipi?
Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hv..
Huyu manzi nafahamiana nae tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call.
Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo tu? Akanambia bado ndo story zikaanza nikampa code atokee maeneo akakubali. Moja ya viwanja maarufu pale masaki.
Akanicheki anaomba kuja na best zake wa2 nikamwambia nataka uwe comfortable njoo nao. Mida ya sa4 hivi akatokea aneo la tukio mapema tu akiwa na best zake wakiwa wamependeza sana, nikamwambia awe huru na best zake waagze wanachotaka. Kama unavojua manzi wa chuo kizazi wakaagza cocktail mara jameson, wakaagza chakula nk. Bila kusahau snap zilihusika sana me nawacheki tu wanavyo tapatapa.
Bili kuja ikasoma kama 350k nikamwambia manzi kwa kumzingua nataka tuondoke wote akasema wapi? Nikamwambia tukalale hotelini akanambia you can’t have me for free..[emoji119]. Nikamwambia bill yote hii bado unilipishe?. Sio unanitunuku? ofcoz sikua na nyege nae wala nini, nikamwuliza unataka sh. Ngap? Jibu lake likafanya pombe zote zitoke kichwani[emoji23][emoji23].
Dada bila aibu akasema anataka 200,000 taslimu, nikamwambia acha ungeseleee kumkaziaa kidogo akasema 100k top
yule dada nilikua namwonaga mstaarabu sana kumbe ni muuza mbususuu aisee kweli kazi iendeleee, mwanaume kama huna pesa kula manzi ni ngumu sana kwa zama hizi.
hii si ndiyo inaitwa law of natureKuna mwenzio anamla bure huyo tena anaipeleka mwenyewe. Na hapo baada kukuacha na majuto yako kampelekea mtu bure huko kitaa!
Bill si ni kufurahisha tumbo,sasa suala LA kufurahisha vikojoleo ni another case
Juzi nimeambiwa 15000/= nikasema kimoyomoyo kazi ipooooo
Poa poaNjo pm nikupe
Hii bill, ilipaswa achukue namba zao wote, next time wangelipa hyo pesaBill 350! Wanawake ni sumu ya maendeleo
anapewa tu ila akijisahau naondoka nayoUtakutana na anayetaka malipo kabla ya shoo ndo utapoelewa ujanja una mwisho