Jamaa amekasirika maana walimgomea kwenda kupata raha za aheraππLile gaidi la ndege ya flydubai kama lingefanikiwa kuiangusha ndege wale abiria nao wangekaangika hivi, na kama ndege ingeangukia baharini wangekuwa kitoweo cha samaki, labda samaki wasiingie ndani ya ndege
Eli Cohen bwana mie wanangu bado hawajaoa na mwanasheria wangu ni katuga yuko bize na issue hataweza kunitetea .Yule mwamba nasikia yupo america anakula lifeπππ
Sema ni za kughushi.Hizi ajali za mchongo hiziππΏππΏππΏ
David Ballali.Isije ikawa jamaa kafake kifo na kaanza ukurasa mpya wa maisha????
kama yule kiongozi wetu wa miaka ileeeee.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£duhSasa mtu keshakufa anakuaje humble?
Tutafute pesa tuache kujifariji kwa kuisuta mizimu.
Ukweli mtupuUsafiri wa helkopta umekuwa wa kishenzi sana, ni sawa na bodaboda kupata ajali ni likelly. Ndege kubwa ni rare kupata ajali
Labda ilitegewa bombAjali ya kawaida huungui mpaka ugeuke nyama choma
Hawakuwepo ni uzushi wa mitandaoniLabda ilitegewa bomb
Kwanini helicopter nyingine ilikuwa nao
Ili kuhakikisha imelipuka ama?
Sababu za ajali zile zile kama moja iliyotokea miaka ya hivi karibuni kuwa hali ya hewa ilikuwa mbaya na mawingu kutanda
Sijui kama watasema ukweli
Halafu Ina maana watoto hawakuwemo mbona hawatajwi kwenye habari zote
Sisi tumezipata wapi?
Kweli kabisa maana utashindanaa snaaa na maisha ila at the end unagundua it is not worth itUko sahihi sana
Maisha ni fumbo kubwa sana, siku nilivyoona jeneza lenye mwili wa Reginald Mengi akipakiwa kama mzigo ilinifikirisha sana.
Tuishi haya maisha kwa unyenyekevu mkuu
Hajaandika chochote kuhusu kudanga kwenye huu uziSasa mtu keshakufa anakuaje humble?
Tutafute pesa tuache kujifariji kwa kuisuta mizimu.
Yeah!David Ballali.