Umejifunza nini kwenye hii Picha iliyopigwa baada ya ajali ya Chivayo?

Ingekuwa marehemu anajua kinachoendelea hoja yako ingekuwa na uzito uliposema maisha yanaweza kuku-humble. Mimi naona watu waishi maisha kwa kutii sheria za Jamhuri na za Mungu. Mambo ya kifo tusiyawaze sana.
 
Hayo sasa ni mateso!
 
Huwajui Watanzania kwa kutengeneza habari? Muulize Mhaya alipozitoa.
 
Akifa masikini huwezi kusikia kafeki kifo!😀 Watu hawaamini kama taita anaweza kuyeyuka kama hivyo!!

Ukisikia binadamu wote ni sawa basi kifo ndiyo kinajua kusawazisha hao binadamu.
 
Safi sana. Aache uvivu. Kazi ya kutafuta majibu yeye mwenyewe anataka uifanye wewe. Kataa hio😀
 
KUDOS🫡🫡👌👌
 
Mnaosema Ankoli Chivayo hajafa mnataka kuprove nini...
Ankoli amekufa na wamezoa utumbo ambao haukuungua vzr...
Hakuna cha kwamba ameenda kuanza maisha wala nini labda maisha ya ahera
Hii inatukumbusha kwamba tucheke sana turinge au tudharau watu ipo siku utabebwa kama mzoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…