Yawezekana kweli. π€Ajali ya kawaida huungui mpaka ugeuke nyama choma
Hili la kuungua sana au kidogo inategemea na muda toka ajali itokee hadi uokoaji, the sooner the better.Yawezekana kweli. π€
Me nakumbuka mbunge wa Tunduru kipindi hicho Juma jamadin Akukweti aliondoka kwa ndege ila kidume kiliamkia hospital south π€
Na bado alikomferm yuko poa japo mwilli wote ulibababuka.! Sema alivuta
Ila ukilinganisha na huyu Tembo mpaka katosha kwenye Rambo.! π
Kuna la kujifunza tuishi na watu vizuri π
Sawa hata nta ya mshumaa inahimili usiku woteHili la kuungua sana au kidogo inategemea na muda toka ajali itokee hadi uokoaji, the sooner the better.
Yale mafuta yote ya ndege pamoja na mafuta yake unategemea aungue halafu abaki?Ajali ya kawaida huungui mpaka ugeuke nyama choma
Tukumbuke Mola dMaisha yana njia nyingi za kuku-humble.
Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic
View attachment 3682310
There is no true meaning to this complicated thing called life.
Duniani tunapita tuache viburi tumkumbuke Mola.Matanuzi yote yale leo yuko wapi.Mungu ni fundi.Maisha yana njia nyingi za kuku-humble.
Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic
View attachment 3682310
There is no true meaning to this complicated thing called life.
Mkumbusheni Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa kwamba hivi karibuni wataungana na wale watu 518 walio wauwa Oct 29.Ndio maana nikiona mtu anatesa wengine na kunyanyasa wengine ni bure kabisa mwisho wetu sote njia ni moja
Halafu unamkuta peponi kama nakuona utavyohamasisha maandamano huko kwa MkuuAjali ya kawaida huungui mpaka ugeuke nyama choma
π₯Ίπ₯Ίπ₯ΊHalafu unamkuta peponi kama nakuona utavyohamasisha maandamano huko kwa Mkuu
Huyu jamaa ni balaa, hata jumba lake limezingirwa na jeshi hakuna kuingia au kutoa chochote maana inadaiwa kuna mabilioni ya dola cash kutoka Tanzania na Kenya.Kumbe bigie alikua na pesa
Yapo eneo la ajali, kama unahitaji chuma chakavu ni wakati wako kujipatia maokoto.Ndege iliyoanguka mabaki yake yako wapi?
Uliona ya Filikunjombe?Inasikitisha Sana
Kwangu mimi kuishi ni Kristo na kufa ni faida πMaisha yana njia nyingi za kuku-humble.
Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic
View attachment 3682310
There is no true meaning to this complicated thing called life.
Kwa hiyo ulitaka walie ndio wewe ufurahi?Masikini wanapenda sana kujifariji.
Yule wa BOTIsije ikawa jamaa kafake kifo na kaanza ukurasa mpya wa maisha????
kama yule kiongozi wetu wa miaka ileeeee.
Kuna sehemu yeyote ile mimi nimekwambia kua nataka wafanyaje?Kwa hiyo ulitaka walie ndio wewe ufurahi?
Eneo lote lina nyasi kavu lakini cha kushangaza palipoungua ni sehemu ndogo tuHii ni zaidi ya ajali
Utajua mwenyeweKuna sehemu yeyote ile mimi nimekwambia kua nataka wafanyaje?
Muwe mnasoma comment na kuelewa kabla ya kukurupuka hovyo.