Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #41
Mwisho wa dunia ilikua 2002 wale walio acha kupambana wakisubiria mwisho wa dunia hawana hamu tena🤣Tusitishane aisee....🙄
Last time walitutishia kwamba jiwe kubwa litaangua bado tunasubiri...🤔
Kaka sasa hivi watu wanaendesha biashara zao wakiwa ndani, alafu alieajiriwa despite mazingira gani kazin anatakiwa afike hata kama daraja limekatikaWaliojiajiri wanachelea vipi na wakati kula yao inategemea mzungo wa biashara na watu unadhani watu wakikata watachelea?
Hili nimelipigia kelele sana wanaotwambia kataa ndoa wana ndoa hao wanatuzuga, ni kama yule Oscar wa wasafi fmNdoa ni ukatili...😜
Raha ya ngoma uingie mwenyewe uicheze, mpaka niijaribu😬Ndoa ni ukatili...😜
Kaka isipo nyesha utakula Nini, na mazao tunategemea mvuaMvua qu-manyoko bora jua, ikinyesha kutembea kisanga
🙏Mungu atajalia itapita.
bado bwana mdogo kabisa huyoAah hapana we uliyakanyaga mapema sana nilikuona selfika badogo kakijana kabisa!
Wanaume wa kibongo sijui tukoje akikusaidia lazima atake kuichapaKuna muhuni anapiga mashimo yote ambayo panya anaweza kuingia, ndipo huko alipopata ufadhili, hio kitaalamu tunaiita happy birthday single mother
Unaonekana Unakaa bondeni. Mimi hapa town kila kitu kipo sokoni.Hapa waliojiajiri wanachekelea tu, wale wa online business fresh tu, waliojenga fresh tu, una wifi Yako ndani fresh tu, una pisi au brazamen fresh tu, vyakula vya tahadhari umejanza ndani, fresh tu sijui we UMEJIPANGA vip
Nilijua ukipotea utarudi kivingine lakini wapi! Ulipotelea wapi tajiri au umepata ajira ya kudumu?Kuna muhuni anapiga mashimo yote ambayo panya anaweza kuingia, ndipo huko alipopata ufadhili, hio kitaalamu tunaiita happy birthday single mother
Si miujiza ya maombi hiyo au?Sasa hajasema kama ye ndo kagharamika, anaweza akamuweka ndani dili likaharibika Kwa sponsor
Mkuu kinga ni Bora kuliko tibaHivi kumbe kuna watu mnaingoja Elnino. Acheni zenu hizo.
Safi kabisa Kuna mwanangu kaoa majuzi tu sasa hivi kanenepa balaa yani anannambia fulu raha we pata tu wakuendana nae utaenjou balaa yani jamaa kapendezaRaha ya ngoma uingie mwenyewe uicheze, mpaka niijaribu😬
Tayari kaachika kitambo, yani katika umri huo tayari anajua mema na mabaya ya ndoa🤦🏽♀️bado bwana mdogo kabisa huyo
tayari kaoa na ana familia anaona rahaa kuiloweka deili😁
Hahhaah ajenge njiani sio?
Siwezi ruhusu mwanaume aninenepee mimi! Dharau hizi🤓Safi kabisa Kuna mwanangu kaoa majuzi tu sasa hivi kanenepa balaa yani anannambia fulu raha we pata tu wakuendana nae utaenjou balaa yani jamaa kapendeza
Na hizo hela zimekuja kimiujiza?Si miujiza ya maombi hiyo au?
maturity ilikosekanaTayari kaachika kitambo, yani katika umri huo tayari anajua mema na mabaya ya ndoa🤦🏽♀️
aaahHahhaah ajenge njiani sio?
Hela zipi bro? Ule ni ufadhil sio tangible kwamba utazishika pesa!Na hizo hela zimekuja kimiujiza?
Ndoa ni ngumu!maturity ilikosekana
aaah