Umemchoka mienendo yake ila unaogopa jamii itakusema ukimuacha

Hizo ndo route zako mkuu?
 
Ungemrudia wa kwanza
 
Hakika mkuu
 
Pole kwayaliyokukuta nitakutafuta PM tuyajenge
 
Wanaume wa siku hizi hawana uvumilivu wanawake wa siku hizi hawana utii na heshima. Hii imepelekea moto kulipuka Sana kwenye ndoa. Ishi kwa kufumba macho siku ziende mda wako wa kuondoka duniani ufike uwaaachie wengine nafasi wanaozaliwa, maana sote tu wapangaji.
 
Umeandika kweli kabisa,lakini muhimu ni kusisitiza watu kuheshimiana ndani ya ndoa, na ikibidi watu waache kitafutiana makosa na kufanya mashindano (hii inazigharimu ndoa nyingi).

Na hii habari ya kurahisisha/kuona kuachana kuwa y la kawaida, inaliingiza taifa kwenye crisis kubwa sana, kuna madhara makubwa kuwa na taifa la watu wasio na misingi imara ya kifamilia, watoto wanaolelewa na mzazi mmoja kwa sehemu kubwa huwa wana mapungufu makubwa kwenye maeneo mengi, ukifuatilia vizuri wengi wanaoshindwa kuishi na wake/waume zao wamelelewa na single parents, au wameishi na baba/mama wa kambo!
Tusione KUACHANA kwa wanandoa kuwa jambo rahisi, ina madhara makubwa sanaaaa!
 
Asante sana Kwa message
 
Yaan ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…