Umemchoka mienendo yake ila unaogopa jamii itakusema ukimuacha

Unanisema kwa kuzunguuka sana mkuu
 
Aisee kweli kabisa [emoji174]
 
Mimi nadhani Kila Mtu anayeingia kwenye ndoa au mahusiano anakuwa amemjua vema aliyeingia naye lakini Cha msingi jua kuwa binadamu hubadilika, kwahiyo akibadilika na wewe badilika
 
Kinachofanya mtu kung'ang'ania mwenzi mmoja ni umaskini tu wala Sio upendo yaani kubana matumizi!!Sio NDOA wala hofu ya kuchomwa Moto hukooo!!

Hata sheria ya NDOA ya mke MMOJA ni ya kubana matumizi ya kuhudumia wafanyakazi wa viwanda hasa kuwahamisha toka kiwanda kimoja Hadi kingine Ndio Maana ya nuclear family KIPINDI cha industrial revolution!!
Ni vile usawa unakaba tu pesa ya shida Sana!!ukipata pesa ya kutosha kuwa na mwenzi mmoja utaona ni ufala wa karne!!
Ni Basi tu!!!
 
Halafu upumbavu mkuu!
Ni kufikiri kuwa ile tafrija, mahari Ndio kufunga NDOA!!
NDOA ni hayo Maisha ya KILA SIKU unayoishi na mwenzi ndani ya nyumba!
Sio hizo mbwe mbwe!!
 
Umesema ukweli mtupu
 
Halafu upumbavu mkuu!
Ni kufikiri kuwa ile tafrija, mahari Ndio kufunga NDOA!!
NDOA ni hayo Maisha ya KILA SIKU unayoishi na mwenzi ndani ya nyumba!
Sio hizo mbwe mbwe!!
Hakika mkuu
 
Nilimpa za kutosha mwanzo, Ila kwa sasa nampaje?? Ni sawa na kula muwa uliotafunwa

Naomba nikupatie chochote kama unauhitaji wa haraka
🤣🤣Aisee,we jamaa wewe🙌
 


Ushauri kwa vibinti na wasichana wadogo ukisikiliza ushauri wa masingle mother na wewe jiandae kua single mother. Watakurubuni na kauli kama - "Maisha ya kugandana gandana yamepitwa na wakati, unajizalia watoto wako unalea kwa raha zako". Ukifuatana na kujenga urafiki na wanawake wawili walioachika wewe utakuja kua watatu kati yao.

Wanawake walioachika WANACHUKIA SANA KUWAONA WENZAO WAKIDUMU KATIKA NDOA. Watachomekea vimaneno kujenga uadui ili ndoa ivunjike wawe kama wao. Japo kweli ndoa nyingi za wakati huu zina mivutano,

ila utajiuliza mtoa mada na ndoa yake iliyovunjika pili pili ya shamba yamuwashia nini, na kwanini asizungumzie katika hali nutrual ila kaegemea kuwakatisha tamaa na kusisitiza ndoa zivunjike.

Ikumbukwe wanawake wanachukiana, kuona wenzake wanadumu katika ndoa hupata HASIRA NA KISISANI kikuu. Ikumbukwe pia furaha ya mwanamke ni kupendwa, kutunzwa na kulindwa HATA KAMA MWANAMKE NI MILLIONEA AU TRILLIONEA ILA NI NUNGAIYEMBE, HAWEZI KUA NA FURAHA ANATEMBEA KAMA MSUKULE TU, UPWEKE KAMA ZOMBIE sasa aone wenzake wana ndoa kamili anatamani waachike kama yeye wote wasote.

Wakiona mwanamke ana adabu, utii na heshima watamjaza maneno "wewe ni mjinga unaendeshwa, ona sisi tuko huru" ila ukweli ndani wanaungua kwa wivu mkali na chuki nzito.

Msemo wa kuelezea tabia, hulka na hari ya mtoa mada ni msemo wa kale: Sizitaki mbichi hizi. Hiyo ni baada ya kua hawezi kuzifikia au kuzipoteza ndizi ndio anaziitj mbichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…