Umeona nini kwenye maziko ya yule tajiri wa Kibaniani, Patel tokea mwanzo hadi mwisho?

Hakuna cha ngozi nyeusi wala kijani, corona ikikupata sio kwamba itadunda kwa sababu wewe ni mweusi, NOOO....Mungu akiamua Kukuchukua anakuchukua tu.
 
Reactions: BAK
Waliwaahidi millioni 50 kila kijiji hamkuziona; wakawaambia watawanunulia NOAH kila mmoja wenu wakilipwa hela za makinikia nazo HOLAAAA!!! Bado mnawaamini tu!!! Mtakuwa mataahira.
Una mawazo kimarioo sana

Hakuna bure hapa futa kabisa hiyo boya wewe
 
Gelofulendi ofu my hati, hivi nchi nyingine wameshindwa kweli kuyafanya haya?
 
Mkuu mwana uvccm huyo hawezi kukuelewa mpaka apitie ubongo aliouacha pale Lumumba.
 
Hii corona inaua watu walio salama halafu inatuacha wapanda daladala

Upinzani bongo ni mzigo
 
mataga watakuambia zile barokoa zilitumika kujikinga na moshi wa moto.
 
na wewe kwa akili zako unaamini barakoa zinazuia Corona?
Unataka kusema watu wote walioumwa Corona na kufs walikuwa hawavai mask?.
 
Mkuu hayo ya wahindi kuvaa barakoa huku sisi 'waswahili' tukipuyanga tu ni mambo ya kisaikolojia.

Kwenye saikolojia ya Magonjwa ya mlipuko kuna watu ni Blunters na wengine Monitors.

Monitors ni kundi la watu ambalo liko too sensitive na masuala ya magonjwa. Kundi hili ni watu wenye fedha (they got a lot to lose), wako na access kubwa ya taarifa, wanauwezo wa kupata madaktari tofauti tofauti na pia wako karibu zaidi na ugonjwa(mfano wahindi wanacontacts na jamii za ulaya na asia ambao covid inawaua sana), so kundi hili huwa na mashaka na wasiwasi mkubwa juu ya magonjwa-wanajali na kupanick kupita kiasi. Ndio hao ulio waona na mabarakoa.

Kundi la pili ni kina 'sie'-Blunters.
Masikini(hatuna cha kupoteza so hatujali), hatuna elimu ya kina, hatuna access ya habari (hata mitandaoni ni umbeya tu), pia 'tuko' mbali na ugonjwa. Tofauti na wahindi ambao anapata taarifa ndg yake aliyepo London kafa kwa covid, sisi hatuna hiyo.

So, its just the pyschology of pandemics!
 
Acha ubishi wa kitoto! Unataka kubishia watu waliofanya utafiti kwamba masks 😷 zinapunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya COVID19?

If 95 percent of people wear cloth masks when within 6 feet of other people in public, it will reduce COVID-19 transmission by at least 30 percent. So if every infected person transmits the virus to 30 percent fewer people, it improves the chances of subduing COVID-19’s spread in the United States.


Acha Mambo ya you tube.

Tumia akili zako.unadhani watu wanaopata Corona na kufa walikuwa hawatumii mask?
 
kwani huko ulaya na marekani hizo mask hamna?.
Mbona sisi Tanzania hatuvai mask na HAKUNA Corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…