Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waoe haohao wa chuo waliokua hawakupigi vizingaKuhusu ajira ilikuwa kipengele kidogo , nilisota kiaina mtaani, andika sana barua cha kushangaza nilikuwa hata sijibiwi japo kimaisha sikusota sana sababu nilikuwa nina sapoti ya ndugu hivyo ilisaidia kubalance stress
Niliomba sana Mungu naye akanibariki na Internship, baada ya muda akanifungulia njia zaidi nikapata ajira na kuanza kula mshahara huku life linasonga, sijajipata kivile ila nashukuru nilipo ni kwema na-pay bills na kusaidia wengine.
Kuhusu mapenzi nilisota kiaina, ilinibidi nirudi kwenye makoloni yangu ya chuo hata baada ya kumaliza maana mtaani vilikuwa vipengele vingi😁 bora wale niliowaacha school walionijua jobless hivyo kiaina walini-bless bila vizinga vya kijinga
Mengineyo, wakati wa Mungu ndio wakati sahihi ukimtumainia atakupigania, cha msingi weka nia na bidii bila kuhofia.
Hongera!Mkuu !Pole sana kwa unayopitia kwa sasa.
Kwanza, naomba nikwambie jambo moja USIKATE TAMAA, maisha hayana kuchelewa wala kuwahi, nakwambia siku yako ikifika basi na mambo yako yatanyooka vizuri tu.
SIKILIZA KISA CHANGU
Mwaka 2018 nilikua na miaka 27 kama wewe, na nilikua nimejitolea katika shirika moja na posho yangu kwa mwezi nilikua napewa 42,000/= ( Elfu Arobaini na Mbili tu). Na hii nilikua napewa kama pesa ya sabuni tu lakini uhalisia nilikua ninafanya kazi bure.
Kiukweli kama binadamu na pia kijana wa kiume nilikua napitia wakati mgumu sana, nilikua naona kila kitu kiko against na mm, nilikua na stress sana..ilifika kipindi hata mademu walikua hawanitaki bro[emoji1][emoji1], nilijiona ni mtu mwenye mikosi kwani nilikua nikijaribu kujilinganisha na wana niliosoma nao, nilikua naona wameniacha mbali sana kiuchumi na hata kifamilia(Kosa kubwa sana kujilinganisha na watu).
Lakini broo huwezi amini ilipofika mwaka 2020 milango yangu ya kiuchumi ilifunguka, nikapata kazi ambayo iliniwezesha kuendesha maisha yangu na nikawa na uhakika wa kuingiza 4M kila mwezi, wale niliokua najilinganisha nao nikagundua sikuwa sahihi kwani hata maisha yao ni yakawaida sana, lakini pianilikua najiona nimechelewa kimaisha lakin kumbe nilikua pazuri tu na wala sijachelewa.
Bro USIKATE TAMAA....MAISHA NI KUPAMBANA NA MUDA WAKO UTAFIKA ONE DAY
KUWA STRONG MZEE
HahahahahahYani una miaka 27 afu una lalama
Kua serious budaaa
Mungu akufanyie wepesiAcha tu nimeanza masters yangu MBA since 2021 changamoto za ada,ujana na majukumu ya watoto wawili mpaka sasa sijamaliza,ada Sasa semester ya mwisho ndo imekuwa ngumu mikopo nadaiwa kuanzia garage mpaka dukani mpaka najuta kusoma MBA....ooh God please hii MBA ije inilipe maana inanitesa sana familia inakula wali kama wanafunzi waa boarding
Usijipe stress,juhudi zako tu.Ninaposikia story za watu wanamaliza chuo wanalia[emoji23] navurugika cz soon na mimi namaliza[emoji3064]
Duh! Pole Sana mkuuNilikosa kibarua nkawa sina hata geto naishi porini, baadae kwa ugumu sana nkaja kupata kichumba yaan kijistoo cealing board hakuna upande wa pili choo. Watu wana sifa akiwa anakunya unamsikia anahema na kujamba kana kwamba amekula mbigili, alafu harufu kali kichizi. Nilkua nakereka sana. Alhamdulillah nilivuka.
Kuhusu ajira ilikuwa kipengele kidogo , nilisota kiaina mtaani, andika sana barua cha kushangaza nilikuwa hata sijibiwi japo kimaisha sikusota sana sababu nilikuwa nina sapoti ya ndugu hivyo ilisaidia kubalance stress
Niliomba sana Mungu naye akanibariki na Internship, baada ya muda akanifungulia njia zaidi nikapata ajira na kuanza kula mshahara huku life linasonga, sijajipata kivile ila nashukuru nilipo ni kwema na-pay bills na kusaidia wengine.
Kuhusu mapenzi nilisota kiaina, ilinibidi nirudi kwenye makoloni yangu ya chuo hata baada ya kumaliza maana mtaani vilikuwa vipengele vingi😁 bora wale niliowaacha school walionijua jobless hivyo kiaina walini-bless bila vizinga vya kijinga
Mengineyo, wakati wa Mungu ndio wakati sahihi ukimtumainia atakupigania, cha msingi weka nia na bidii bila kuhofia.
Mimi nimepitia changamoto ya ajira need liajiriwa serikalini nikaondolewa kwenye payroll kimajungu baada ya kwenda masomoni kusoma fani tofauti na ajira.Kama binadaamu kuna wakati mtu unapitia magumu mpaka hujui nani wa kukusaidia hata kimawazo.
Leo nimeanzisha thread hii ili tushare mambo au changamoto mbalimbali ambazo tunapitia sisi viumbe wa Mungu.
Orodhesha changamoto na jinsi ulivofanikiwa kutatua ili umsaidie mtu mwingine huko aliko.
1. Changamoto ya ajira.
2. Changamoto ya mapenzi.
3. Changamoto ya biashara au maisha kiujumla
Unasoma coz ganNinaposikia story za watu wanamaliza chuo wanalia[emoji23] navurugika cz soon na mimi namaliza[emoji3064]
Ndugu mtanzania hapo sio majungu yaliyotumika kukuondoa kwenye ajira. Uliondolewa kisheria kwani mtu anapoenda kusoma akiwa kazini anatakiwa akasomee kilekile anachotumikia kwenye ajira ili kuongeza ufanisi.Mimi nimepitia changamoto ya ajira need liajiriwa serikalini nikaondolewa kwenye payroll kimajungu baada ya kwenda masomoni kusoma fani tofauti na ajira.
Nilianza kurudi kazini 2018 mpaka Sasa Nina barua toka utumishi yenye check namba ikinitaka niombe ajira mamlaka yoyote ya ajira pindi tangazo litakapotoka ili nipangiwe kazi kulingana na uhitaji uliopo ndivyo barua inavyosema.
Kumbuka barua zangu zimecheza utumishi ikulu na wizara ya elimu.
Shida au changamoto nipitie wapi? Ili nifanikishe hatua ya mwisho. Niliwaza nimwandikie mama Samia changamoto je barua ataipata na kama ataipata je ni nini niandike mpaka aridhie kuniajiri? My no 0786601598
Kuna muda saa mbovu husema ukweli, sali sala ya toba kijana.Nina mashaka na afya yako ya akili
Have faith.May God open doors for you.Let's pray to God but things are not easy.
Relax..fanya kile ambacho kinaboresha maisha yako kila siku.Ipo siku itajibuPia changamoto nyingine kwa sasa nina 27 years ninaona nmechelewa wenzangu wana kazi nzuri wana magari wanapost wanaenda sehem nzuri wanavaa nguo nzuri mi narudia rudia tu nguo