Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi wasipoishi maisha ya kuunga unga hapa Tanzania??Mji wa Dar ni wachache wenye pesa zao wanakula maisha,lakini wengi ni waganga njaa tu,wanaishi maisha ya kuunga unga...
Mimi niko Dar mwaka wa 8 sasa ni government employee . Sasa unataka niache kazi ya uhakika nikalime?
Nikitaka kulima huwa nalima mazao ya msimu Njombe viazi mviringo.
Kila mkazi wa kijijini ni tajiri? Kama kijijini kuna utajiri kwa nini ndipo kunaoongoza kuwapo na matatizo kama miundombinu mibovu, huduma za afya hakuna, elimu mbovuMkuu nikusahihishe mjini hakuna pesa bali mjini ni logistics tuu ya mali iliyotoka shamba,
Utajiri upo kijijini (shambani)
Mkuu,Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu.
Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu.
Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu.
Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote.
Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna nyumba, huna kiwanja, kula kwako ndo kule unatafuta leo ili ule leo, kila siku kwenye daladala wewe ukichomoa pesa kubwa basi buku 2.
Unalala store (jiko, meza, sofa, feni, kitanda, pasi, bag la nguo na vitu vingine vyote ukifungua macho tu hivi hapa.
Tanzania hii kuna mahali kama Liwale huko Lindi ukifika kijiji chochote ukiomba ardhi ya kujenga au kulima unapewa bure kabisa. Yet wewe uko dar hata hatua 4 za ardhi Chanika huna . Umerogwa shituka
Kijijini wenzako wenye bidii wanamiliki pikipiki, gari, guta, nyumba, duka nk.
Kijijini ni bidii zako tu. Mjini kuna pesa kuliko kijijini ila kama kila ukihangahika huzipati za kukukwamua ni vyema utafute chimbo kijijini.
Braza alifika kijiji fulani kuuliza ardhi ya kulima huko chobingo akapewa upana wa hekari 5 urefu ajipimie mwenyewe.
Kama akilima hekari 40 na kupanda mikorosho baada ya miaka 5 atakuwa wapi?
Nakuuliza wewe unayelipwa laki 2 na Mwindi.
Hakuna anaediss kuhusu Dar tunazungumzia wanaong'ang'ania dar na wakati wapo muda mrefu hawana cha maaana wanachofanya wakidhani maisha yapo hapo tu kumbe anaweza kujaribu sehemu zingine, we miaka 10+ bado unaoga kwenye bafu au choo hakina mlango inabidi mlangoni uweke shuka unalojifunika usiku sasa kwanini usiondoke hapo ukatafute maisha sehem nyingine?Samsung na iphone zinamilikiwa na vijana wa dar tu? Mbona Tecno, infinix na Itel zinatumiwa na vijana wengi Dar es salaam..
Sasa kama wachumi wameligrade jiji la Dar kama jiji la kibiashara ambalo linaimpact kubwa kwenye uchumi wa Tanzania unaanza kudiss kwa kutumia maisha ya vijana wachache waliamua kuishi lifestyle zao.
Haaa haaa haaaWanajiona wa town....kuwahi mwendo kasi ili wawahi kwa Mwindi.... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Tofauti ipo mwendokasi una barabara yake kabisaMm nimetania tuu..sasa mwendokasi una tofauti na bajaji?...au boda boda?
Majority nyie wa kuja hapo Dar hamna namna ya kupata kipato zaidi ya kuamka saa 10 ili uwahi kibarua kwa MWINDI la sivyo ukichelewa geti la kazini linafungwa.Basi mikoa yote ni majinga sio Dar pekee wanaoamka saa 10 afu usiwe na fikra potofu sio kila mtu dar anaamka saa kumi.
Swali la msingi. Waliopo hizo sehemu wamefanikiwa kiasi kwamba ni guarantee asilimia 100 ukienda kahama utafanikiwa??Hakuna anaediss kuhusu Dar tunazungumzia wanaong'ang'ania dar na wakati wapo muda mrefu hawana cha maaana wanachofanya wakidhani maisha yapo hapo tu kumbe anaweza kujaribu sehemu zingine, we miaka 10+ bado unaoga kwenye bafu au choo hakina mlango inabidi mlangoni uweke shuka unalojifunika usiku sasa kwanini usiondoke hapo ukatafute maisha sehem nyingine?
Maana mikoani baadhi ya maeneo maendeleo na fursa zipo nyingi na watu wanaishi kwenye nyumba za hadhi ya kibinadam angalau haweki shuka kwenye mlango wa bafu
Nenda kahama,katoro,njombe na maeneo mengne katafute ukijiimarisha unaweza kurudi Dar ukiwa hata na mtaji
Machawa wote wamezaliwa na kukulia Kigoma labda na Kagera kidogo ila sio Dar.Sahivi baadhi vijana wa daslam wameanzisha tabia ya kuwasifia wanaume wenzao wenye kipato tena wanawasifia kupita kiasi ili tu wapewe chochote wanajiita machawa mwisho nao wanalilia kuolewa
Nimefanya kazi kiwandani mikoa ya kaskazini napo nilikuwa naamka saa 10 alfajiri to me hakuna tofautiMajority nyie wa kuja hapo Dar hamna namna ya kupata kipato zaidi ya kuamka saa 10 ili uwahi kibarua kwa MWINDI la sivyo ukichelewa geti la kazini linafungwa.
Jibu ni ndiyo vijana wametoboa kwa asilimia kubwaSwali la msingi. Waliopo hizo sehemu wamefanikiwa kiasi kwamba ni guarantee asilimia 100 ukienda kahama utafanikiwa??
Jibu kama ndio basi mnachosema kipo sawa jibu kama ni hapana basi hamna hoja
wamejaa machawa kibao kazi kusifia watu ndo waishiwala chips mikoani hawawezi toboa, nasikia huko daslama ukimsifia na kumpamba mtu anakupa hela...!! et ni kweli wajameni..??
Tupe takwimu za waliofanikiwa maeneo tajwaJibu ni ndiyo vijana wametoboa kwa asilimia kubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kulala store [emoji23]
Tembea uende ukajionee siyo habari za kuambiwa ni habari za kushuhudiaTupe takwimu za waliofanikiwa maeneo tajwa