Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Sasa sie tulozaliwa dar tuondoke twende wap wakat mikoani hatuna ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena mwalimu mkuu wa upeMwalimu
Mungu aniepushe nisikujibu tena mpumbavu kama weweMbona wa mikoani mnanuka mikyundu na tumekaa kimya?
Tatizo tumeshawatambia watu kijijini tupo Dar kwenye flyover,tuna maisha mazuriBila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu.
Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu.
Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu.
Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote.
Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna nyumba, huna kiwanja, kula kwako ndo kule unatafuta leo ili ule leo, kila siku kwenye daladala wewe ukichomoa pesa kubwa basi buku 2.
Unalala store (jiko, meza, sofa, feni, kitanda, pasi, bag la nguo na vitu vingine vyote ukifungua macho tu hivi hapa.
Tanzania hii kuna mahali kama Liwale huko Lindi ukifika kijiji chochote ukiomba ardhi ya kujenga au kulima unapewa bure kabisa. Yet wewe uko dar hata hatua 4 za ardhi Chanika huna . Umerogwa shituka
Kijijini wenzako wenye bidii wanamiliki pikipiki, gari, guta, nyumba, duka nk.
Kijijini ni bidii zako tu. Mjini kuna pesa kuliko kijijini ila kama kila ukihangahika huzipati za kukukwamua ni vyema utafute chimbo kijijini.
Braza alifika kijiji fulani kuuliza ardhi ya kulima huko chobingo akapewa upana wa hekari 5 urefu ajipimie mwenyewe.
Kama akilima hekari 40 na kupanda mikorosho baada ya miaka 5 atakuwa wapi?
Nakuuliza wewe unayelipwa laki 2 na Mwindi.
Majinga tu hayo yaliyofeli Dar na kukimbia mjini hayajui kuwa asilimia kubwa ya wanaofanya kazi kwa wahindi ni wazawa maana mgeni ni ngumu ku survive kwa mshahara wa mhindi na huko shambani sijui wanaamka saa sita ndo wanaendaWatu wanachuki ambazo hazina logic.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee,Nimegundua kitu
Wanaoponda Dsm wote ni sababu ya ujinga wa wazazi wao kutowekeza Dar, kutokuwa na viwanja Dar
[emoji23]Huna pesa
Wewe ni mbwa tu
Mbwa koko[emoji41] Uzuri mbwa anawajua mbwa wenzake sawa kabwela mkuu
Watu wa Dar kuamka saa 10 sio kupenda, ni kutokana na adha ya usafiri. Sasa niambie wewe mkoa gani una foleni na adha ya usafiri kama Dar?Nimefanya kazi kiwandani mikoa ya kaskazini napo nilikuwa naamka saa 10 alfajiri to me hakuna tofauti
Usicheke si vizuri[emoji23]
Ndiyo ukweli, hivyo mtu akiangalia kila upande haoni sababu ya kuipenda Dsm.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee,
Mpumbavu ni baba na mama yakoMungu aniepushe nisikujibu tena mpumbavu kama wewe
Dar kuzuri??Usicheke si vizuri
Kama mie tu[emoji23]Ndiyo ukweli, hivyo mtu akiangalia kila upande haoni sababu ya kuipenda Dsm.
Wakati wazazi wa wengine wanatafuta maeneo,wazazi wao wanakata mauno bar
Inategemea wapi na wapi ila Mbagala ni pazuri kuliko mikoa mingiDar kuzuri??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee,kwahiyo mbagara imeipiku mbeya??Inategemea wapi na wapi ila Mbagala ni pazuri kuliko mikoa mingi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee,kwahiyo mbagara imeipiku mbeya??Inategemea wapi na wapi ila Mbagala ni pazuri kuliko mikoa mingi
Mbagala imeipita mbeya kwa idadi ya majengo, watu, magari.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee,kwahiyo mbagara imeipiku mbeya??
Mbagara kiwanja ni bei gani??Mbagala imeipita mbeya kwa idadi ya majengo, watu, magari.