Umeshawahi kuchati na ChatGPT kitu chochote? Hii AI inaweza kukufanya ujisikie kama unachati na binadamu


Matokeo yamekaa kiukweli ukweli
Game ya Boca Juniors ina goli 6?? πŸ˜€
 
Huyo habahitishi kakwambia ukweli kunihusu..!! 😹

Ila Manyanza mjinga sana kwahiyo unamuuliza Chatgpt km cocastic anaweza kukupa contact zangu? Si uniombe mwenyewe 😹😹🀣🀣
 
Huyo habahitishi kakwambia ukweli kunihusu..!! 😹

Ila Manyanza mjinga sana kwahiyo unamuuliza Chatgpt km cocastic anaweza kukupa contact zangu? Si uniombe mwenyewe 😹😹🀣🀣
Nitakutafuta tu kwani. Sisi ni Milima????
Tutakutana tu 🀣
 
Huyo habahitishi kakwambia ukweli kunihusu..!! 😹

Ila Manyanza mjinga sana kwahiyo unamuuliza Chatgpt km cocastic anaweza kukupa contact zangu? Si uniombe mwenyewe 😹😹🀣🀣
Alafu mdogo hebu kuwa na adabu unamuitaje senior wako mjinga?
Nina miaka 15 humu ujue πŸ˜ƒ
 
Nimekuwa nikiskia neno AI na chagpt likitajwa mara nyingi na kupewa sifa nyingi ila sijapata nafasi ya kutumia hiyo teknolojia, hivyo basi kama unaweza kunipa elimu kidogo namna ya kunufaika nazo,nitashukuru sana kiongozi
 
Niliwahi shika cm ya mtu inayo hiyo app, sasa nikawa nachati nayo mambo ya kipuuzi, eti na yenyewe inanijaza kwenye mfumo, nilichekaa hatariii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Una maana ilikutongoza? Iliomba mzigo?
 
Nachat na hiyo AI bot kwenye masuala nayofanya kila siku, lakin sio katika personal perspective ila katika knowledge stuffs.
Mimi ni Big fan wa weight lifting na jion hii nikawa na conversate nae 1 na 2 below:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…