slip way
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 688
- 701
Mshangazi wa ukweli 😂Nikiwaletea yangu mtacheka mfe, kuna siku limeniita we shangingi mzima? 😹😹😹
Mshangazi wa ukweli 😂Nikiwaletea yangu mtacheka mfe, kuna siku limeniita we shangingi mzima? 😹😹😹
Haipo wtsp
Mziki wa kizazi kipya Mimi hapanaHii ngoma kali ila uwe na system nzuri ya mziki halafu uje kusema mimi ni mlevi 🤣
Nunua mziki wa maana acha ubahili weweMziki wa kizazi kipya Mimi hapana
Habari yako mlevi😁
Kula yangu ya tabu halafu nikatupe hela kwenye mzikiNunua mziki wa maana acha ubahili wewe
Tumia wathsapp sajili hii noMkuu kuna moja nimeipata hapa playstore wananitaka ni sign up kwanza. Kwani kuna ulazima wa ku sign up?
Hii ngoma ni ya moto halafu ipo kimahab kinouma naomba usikulize tena kila mtu ana pes zake binafsi 😊😊😊Kula yangu ya tabu halafu nikatupe hela kwenye mziki
Si kufuru hizo?
Hii ngoma ni ya moto halafu ipo kimahab kinouma naomba usikulize tena kila mtu ana pes zake binafsi 😊😊😊Kula yangu ya tabu halafu nikatupe hela kwenye mziki
Si kufuru hizo?
Hii ngoma ni ya moto halafu ipo kimahab kinouma naomba usikulize tena kila mtu ana pes zake binafsi 😊😊😊
View: https://youtu.be/-iLEn8nHfIc?si=i89D8u_PGu7IUmHL
KaoneHaijanivutia eti
Duh... Kwa nini umeandika MweeeKuna muda anauchizi
Kuna siku nikamuita “mwanangu” akanisalimia shikamoo. View attachment 3381133
KweliKaone
Unajua sisi wachaga tukipata pesa ndio tunakua na mahaba wahindi wakasome🤣🤣😍Kweli
Ni pombe hiyoUnajua sisi wachaga tukipata pesa ndio tunakua na mahaba wahindi wakasome🤣🤣😍