Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,280
unaweza kuitumia bila sign up ila majibu yanakuwa ni short so sign up kwa kutumia gmail ili upate content muruaMkuu kuna moja nimeipata hapa playstore wananitaka ni sign up kwanza. Kwani kuna ulazima wa ku sign up?
Sawa mkuu.unaweza kuitumia bila sign up ila majibu yanakuwa ni short so sign up kwa kutumia gmail ili upate content murua
Sawa mkuu+18002428478
Save WhatsApp uanze kuchat.
InategemeaMkuu kuna moja nimeipata hapa playstore wananitaka ni sign up kwanza. Kwani kuna ulazima wa ku sign up?
Mbaya Mno!
+18002428478Inategemea
Hebu nifundishe niwe nachat nalo🤣🤣🤣
shindikanaa Kumbe ni depresheni tena🤣🤣🤣
Yaani malaika wa watu mnanipachika tu majina😭😭😭shindikanaa Kumbe ni depresheni tena🤣🤣🤣
Malaika wa nyokwe😅😅😅😅Yaani malaika wa watu mnanipachika tu majina😭😭😭
Shindiii mimi sio mdhambi mwenzio🤣🤣Malaika wa nyokwe😅😅😅😅
Shindi kama shindi kawadanganye waliosinzia shindikanaa wanguShindiii mimi sio mdhambi mwenzio🤣🤣
Kafuta futa jina lake baadae kajisahau. Nikitumia chatgpt naona kabisa kazi ya ualimu itapotea ya kwanza muda si mrefuOga Bhoke na AI wametisha