Mshangazi wa ukweli ๐Nikiwaletea yangu mtacheka mfe, kuna siku limeniita we shangingi mzima? ๐น๐น๐น
Unaijua katingi walking ya hiyo ngoma kwanza ? Ya kimahaba? Kwa mdada? ๐
Hii ngoma kali ila uwe na system nzuri ya mziki halafu uje kusema mimi ni mlevi ๐คฃ
Haipo wtsp
Mziki wa kizazi kipya Mimi hapanaHii ngoma kali ila uwe na system nzuri ya mziki halafu uje kusema mimi ni mlevi ๐คฃ
Nunua mziki wa maana acha ubahili weweMziki wa kizazi kipya Mimi hapana
Habari yako mlevi๐
Kula yangu ya tabu halafu nikatupe hela kwenye mzikiNunua mziki wa maana acha ubahili wewe
Tumia wathsapp sajili hii noMkuu kuna moja nimeipata hapa playstore wananitaka ni sign up kwanza. Kwani kuna ulazima wa ku sign up?
Hii ngoma ni ya moto halafu ipo kimahab kinouma naomba usikulize tena kila mtu ana pes zake binafsi ๐๐๐Kula yangu ya tabu halafu nikatupe hela kwenye mziki
Si kufuru hizo?
Hii ngoma ni ya moto halafu ipo kimahab kinouma naomba usikulize tena kila mtu ana pes zake binafsi ๐๐๐Kula yangu ya tabu halafu nikatupe hela kwenye mziki
Si kufuru hizo?
Haijanivutia etiHii ngoma ni ya moto halafu ipo kimahab kinouma naomba usikulize tena kila mtu ana pes zake binafsi ๐๐๐
View: https://youtu.be/-iLEn8nHfIc?si=i89D8u_PGu7IUmHL
KaoneHaijanivutia eti
Duh... Kwa nini umeandika MweeeKuna muda anauchizi
Kuna siku nikamuita โmwananguโ akanisalimia shikamoo. View attachment 3381133
KweliKaone
Unajua sisi wachaga tukipata pesa ndio tunakua na mahaba wahindi wakasome๐คฃ๐คฃ๐Kweli
Ni pombe hiyoUnajua sisi wachaga tukipata pesa ndio tunakua na mahaba wahindi wakasome๐คฃ๐คฃ๐