Wewee mimi nakunywa kila siku ujue?Ni pombe hiyo
Hakuna cha mahaba😂
Wachagga na mahaba wapi na wapi.Wewee mimi nakunywa kila siku ujue?
Wachagga na mahaba wapi na wapi.
Kunywa kila siku kawaida yenu
Hiyo so ndio chai yenu?
Ni mazoea tu 😀Duh... Kwa nini umeandika Mweee
Kumbe na wewe ni Mwaisa 😂😂
Mbaya.
Hii ngoma naipenda kinoumaMbaya.
Nikiwaletea yangu mtacheka mfe, kuna siku limeniita we shangingi mzima? 😹😹😹
Unasikiliza kwa vifaa vibovuMbaya.
Kuna vitu saa tisa tuna ongea hatumalizi😊Mbaya.
Kwamba🙂Kuna vitu saa tisa tuna ongea hatumalizi😊
Hii ngoma ina ubaya gani:?Kwamba🙂
Wachaga ambao hawajisifii kwa sasa wanakunywa pombe za kifala ,MUNGU wenuWachaga mmeanza lini kujisifia?
Kuna za free nyingi tuU
Ni unalipia au ni free?
Ahsate Mkuu Anne
Kila Leo wanavumbua namna mpya kabisa ya kuturoga. Nipo class wakati wa kipindi notes nachukua huku yaani Kama anajua namna watoto wataelewaHii chat naipataje mkuu? Naona wazungu wanazidi kuturoga.