Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

pole sana mkuu
 
Hapo cha kufanya usi top up mkuu...natumai deni limesogea,,utapo chukua mkopo awamu ijayo malizia vipengele vilivyo baki,ikiwemo kumalizia nyumba.
Sintachukua tena japokua unaisha 2030. Long way to go. Napambana nikipaua nihamie kimaisha plus. Kuna muda nataka nijenge one bedroom nihamie. Kodi dar ni mzigo mzito.
 
Hapa hujaandika wewe Coco, huu sio mwandiko wako.
 
Nta andika kitu juu yako utajifunza
 
Dr bhana usinifanye nicheke, hii yako sasa ni dictatorship hutaki kupitishwa na wajumbe unajikabidhi jimbo kinguvu..!!😹😹😹

Unashindwa kukubaliana kwenu wewe ni last born?
 

@de Gunner soma tena wapi nimesema nimelilia mapenzi? Wapi nimesema ana kasoro?
 
Dr bhana usinifanye nicheke, hii yako sasa ni dictatorship hutaki kupitishwa na wajumbe unajikabidhi jimbo kinguvu..!!😹😹😹

Unashindwa kukubaliana kwenu wewe ni last born?
HUJAWAI KUONA WABUNGE JIMBONI WANAPITA BILA KUPIGWA... Ndio Mimi mfano wa FRED LOWASSA

Ngoja nirudii huko NAANZA LOBBYING Jimbo ni langu umekosea kutangaza Mimi Nisha Anza lobbying... Ila Mimi ni mpole, mtaratibu, nidhamu kwa uchache..

Sipendii watu micharuko, mambo mengi (UNGA WA NGANO) ,Ujuaji mwingi , makelele... Ntatoka ndukii


NB. Lamomy kama wakuu wa majeshi nao hulia hata Osama bin laden, ayatollah KHEMENEI SUPREME LEADER marehemu amewai kutoa chozii Mimi ni nani LAMOMY πŸ˜Šβ˜ΊοΈπŸ˜€

Hakuna cha u last born, hapa nipo napiga konyagiiii ndogo moja mdogo mdogo.. soon ntaachaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…