Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,637
- 6,896
KAZA JOMBAA, WEWE NI SHUJAAbaada ya kupoteza kaz mambo kwang yamekuwa magumu.kila nnacho gusa hakisong nlikuwa na mradi wa kuku mia 2 ila kwa bahati mbaya wakafa wote nimebakiwa na banda tu.
hata mbuz wangu nliokuwa nao kwet nyumban nilipigwa simu kuwa wameibwa wote.majukumu kwang n ming na mm ndiyo mtoto wa pekee nyumban kwet.baba na mama wananiangalia wote.
kwang kila jambo nkigusa hakiend kuna wakat hata nataman hata nsingekuwep dunian.bora hata nife nikapumzike zang kaburin.
dunia imekuwa katil sana kwangu na his kuchoka sijui kwa nn sif.japo najipa nguv lakin kun wakat nguvu zinaniishia
UTAINUKA TENA UZEE SIO HABARI, KUNA WATU WANA MIAKA 35 NI VIKONGWENA WENGINE WANA MIAKA 75 NI VIJANA. STRONG SPICIE SURVIVENilipoteza mradi wa pesa nyingi kwa fitina za wabongo nikatembea ughaibuni na nikaondoka na deni la zaidi ya 2.8B za madafu linazunguka tu kichwani kwngu, nikarudi umasikinini tu kule kwa baba yangu na babu zake, japo narudi taratibu na uzee ushafika!
Malaika Gabrieli unatumiaje maneno ya kihuni kama kaza ndugu malaika 😂KAZA JOMBAA, WEWE NI SHUJAA
😂😂 imebidi nicheke
Aliona yeye levels za waziri
Ulikua mdogo sana, ila hamkuwahi kufanya chochote?Umri wa kichuo chuo 😃
Iviii Joyce yupooUnanfanya mi Joyce wowowo au sio.
Joyce wowowo mwenyewe tulikua tunalipa 😁
(Gen Z watauliza Joyce wowowo ni nani)
Mkuu salamaleko 😁 unataka kusemajeUlikua mdogo sana, ila hamkuwahi kufanya chochote?
bahati yake, sema nakukubali kwa taarifa za jikoni mkuuNinazo Mbona kibao sema hayupo Tena serikalin
Watz baadhi wakoje kiasi ulichokitaja wapo watu wana umri mdg mkubwa wakati wanamilikiNilikuwa na $1.2M yani nusu yangu na nusu mkopo na nikapoteza yote na zawadi ya kisukari juu! Niliiraise nje na nikarudi bongo kufanya mradi na ukafa
Kumbe ndo maana2024 nilipofukuzwa kazi, ilikuwa n sehemu ya ndoto yangu kutokana na nilichosomea, mbaya zaidi niliondolewa kwa kusemewa mambo ya uongo 😭
Mpaka sasa bado siko Sawa kiakili, Hua najaribu kujiweka sawa ila bado ni kitu kinachoniumiza mno
Yah, ndio maanaKumbe ndo maana
Siri gani alikuficha?Nilipompoteza my momy nilihisi dunia imefika mwisho..!! 😥
Nilikua nashinda nalia muda wote hata shule niliona ya uchungu..!
Ilikuja kunitokea tena hiyo hali kwa mwanaume niliyempenda sana aliponipa siri yake aliyonificha kipindi kirefu kwa kuogopa kunipoteza..!! 😭😭
Nilimuacha huku nampenda na sijawahi kutamani kuingia kwenye mapenzi tena..!!
Kitengo gani?Kwenye media fulani hv