Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Sijawahi kukatishwa tamaa na kitu chochote kile wala kuumizwa na kitu chochote kile,
Hua naamini matatizo ni sehemu ya maisha na hua yanakuja ili kutufunza jambo tukomae kiakili na kuchukua tahadhari juu ya jambo hilo next time,hua nayakabili matatizo kwa ujasiri wote coz huo ndio muda wa kujitambua kua mimi ni nani,

Mimi ni miongoni mwa Binadamu wenye roho ngumu sana with full self confidence na ujasiri wa hali ya juu sana,

Nafurahia maisha yangu kwa ninavyotaka mimi,naishi ninavyotaka mimi coz haya maisha ni yangu na huu muda ni wangu,Dunia ilikuwepo kabla yangu na itaendelea kuwepo baada yangu,so this is my only time to live,
Make mistakes,make enemies,make history But never make yourself small,

My Life My Rules,
Love Me or Reject Me,
I don't Care.
 
Message yako imenigusa, mara kadhaa ndani ya wiki hizi mbili nimekuta nawaza kufanya kama yule boda.
 
mkuu hii inasaidia sana kurejesha tumain kwa wanao ona kama faraja haitorudi tena nakumbuka mwaka Juzi nilikuwa napitia ukata wa hatari kwenye eneo la uchumi ,

Kuna kisa humu nilisomaga kuna jamaa alikuwaga na mpenzi akafariki, yule jamaa aliwahi pewa kesi ya ukibaka Moshi akafungwa alipotoka akajikuta kaingia familia ya watu wanaouza gongo napo akafungwa mpka siku akadandia Lorry linaloenda Dar.

Baadae Mungu akamuona na maisha yakabadilika kabisa.

Nilijifunza sana kupitia ule uzi.Na uliniimarisha haswa..

Hili linalofanyika hapa Kisaikolojia lina umuhimu sana ndo maana Mataifa yaliyoendelea yana hii kitu inaitwa self Help Group. Au support group.
 
Ulikua bado mtoto eeh?, mana kutaka kuacha shule ajili ya mahaba ni kipengele jamani!
 
baada ya kupoteza kaz mambo kwang yamekuwa magumu.kila nnacho gusa hakisong nlikuwa na mradi wa kuku mia 2 ila kwa bahati mbaya wakafa wote nimebakiwa na banda tu.

hata mbuz wangu nliokuwa nao kwet nyumban nilipigwa simu kuwa wameibwa wote.majukumu kwang n ming na mm ndiyo mtoto wa pekee nyumban kwet.baba na mama wananiangalia wote.

kwang kila jambo nkigusa hakiend kuna wakat hata nataman hata nsingekuwep dunian.bora hata nife nikapumzike zang kaburin.

dunia imekuwa katil sana kwangu na his kuchoka sijui kwa nn sif.japo najipa nguv lakin kun wakat nguvu zinaniishia
 
2024 nilipofukuzwa kazi, ilikuwa n sehemu ya ndoto yangu kutokana na nilichosomea, mbaya zaidi niliondolewa kwa kusemewa mambo ya uongo 😭

Mpaka sasa bado siko Sawa kiakili, Hua najaribu kujiweka sawa ila bado ni kitu kinachoniumiza mno
Why do you look so sad and forsaken?
When one door is closed don't you know,another is open?
 
Mungu alijaze nuru kaburi la mama,
Hiyo siri itakua ni siri haswaaa, maisha yana mambo mengi sana!
 
Hapa umemix mwandiko wako na AI
 

Aseee una bahati sana kama ni kweli uko hivi!
 
Pole
Lakini hatuna uhakika kama tukifa tunapumzika kweli
 

link ya uzi tafadhali na wengine tusome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…