RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Hua sihitaji kumuaminisha mtu yeyote yule ili aamini jambo langu,Aseee una bahati sana kama ni kweli uko hivi!
Kwenye media fulani hvKazi gani hiyo?
Hua sihitaji kumuaminisha mtu yeyote yule ili aamini jambo langu,
Coz jambo ni langu na mimi ndiye muhusika,it doesn't matter to me how people will react or believe it.
Staff members,dada mtu,mkubwa wa kada yetu,diwani,Hadi mwanafunzi niliyemfundisha walishirikiana pamoja kunitemesha familia niliyoipigania sana na kuamua upya maisha!!!
Niipokuja kugundua WALKING DEADLY aiseh!!
Hata alipojaribu Kuni drag back kwa nguvu nirudi kwenye mstari baada ya kuona naondoka,niligoma kurudi kabisa!!!
Ogopa cycle ya mkeo ni hatari sana
Majarubani!!
Nilikata tamaa ya kufika sehemu ninayotaka pale ambapo unaambiwa fanya uwezavyo ufike nyumbani hali ya kua nauli huna na nyumbani unapo kwenda ni mbali ila mungu anakuja kuleta kheri wasamalia wema wanakupa msaada wakati huo ulikua huna cha kufanya
Nilipoteza mradi wa pesa nyingi kwa fitina za wabongo nikatembea ughaibuni na nikaondoka na deni la zaidi ya 2.8B linazunguka tu kichwani kwngu, nikarudi umasikinini tu kule kwa baba yangu na babu zake, japo narudi taratibu na uzee ushafika!
If it's true used to cast doubt.Hapo kama kweli uko hivyo sio kwamba siamini ulichoandika mzee
Aseee! Pole sana
Everything for a reason, hii miandiko yetu huwa inaficha kitu ila deep down unasema hiii.Nilipompoteza my momy nilihisi dunia imefika mwisho..!! 😥
Nilikua nashinda nalia muda wote hata shule niliona ya uchungu..!
Ilikuja kunitokea tena hiyo hali kwa mwanaume niliyempenda sana aliponipa siri yake aliyonificha kipindi kirefu kwa kuogopa kunipoteza..!! 😭😭
Nilimuacha huku nampenda na sijawahi kutamani kuingia kwenye mapenzi tena..!!
Unatumia nini kuandika?Pole sana sana Joanah kwa yote uliyopitia. Kupoteza kazi ya ndoto yako kwa figisu na uongo ni jambo gumu sana, linavunja moyo na kukuacha na maswali mengi. Na pia kupoteza mama ni maumivu makali mno, na kupitia machungu ya mahusiano pia kunaacha kovu. Ni kweli, inachukua muda mrefu sana kupona kutoka kwenye majeraha kama haya, hasa pale akili inapokumbuka.
Mbaga Jr, nakuelewa kabisa unavyosema ni ngumu kupona wakati unazungukwa na mazingira yanayokukumbusha maumivu. Hiyo inafanya safari ya uponyaji iwe ndefu na yenye changamoto zaidi.
Lakini ninyi wote wawili, na wengine wote tunaopitia nyakati ngumu, msikate tamaa. Maisha yanaweza kuwa magumu sana wakati mwingine, lakini ndani yetu tuna nguvu kubwa ya kusimama tena. Chukua muda wako kupona, jipe nafasi ya kuhisi maumivu, lakini usikubali yakutawale kabisa. Hatua ndogo ndogo za kujiweka sawa zinahesabika. Na kumbuka, haupo peke yako kwenye hili, wengi wetu tumepitia au tunapitia changamoto kama hizi.
Tukumbushane tu, baada ya mvua, jua huchomoza tena. Msiache kutafuta mambo yanayowapa furaha na amani, hata kama ni madogo kiasi gani.
Pole sana mkuu,Nilipoteza mradi wa pesa nyingi kwa fitna za wabongo nikatembea ughaibuni na nikaondoka na deni la zaidi ya 2.8B za madafu linazunguka tu kichwani kwngu, nikarudi umasikinini tu kule kwa baba yangu na babu zake, japo narudi taratibu na uzee ushafika!
Yaani ulikua mshamba wa mahaba😂, mpaka uzi nitag niuone, hahaNilikuwa mtoto lakini pia mapenzi yalikuwa mageni 😃
Nilileta hadi uzi wa kuachwa hapa jukwaani
Mapenzi yakakuwehusha😅😅😅 kuwa serious basi de gunner!Hivi nani alishawahi kumpenda mtu then by one way or another isiwe meant to be?
Guys, Mwaka juzi nilipitia Maumivu makali saana, it was the most excruciating pain I ever had..
Nilipata dark night of the soul(yaani unakuwa kama mzoga unao tembea) nafsi inakosa mwanga kabisa, nothing feels exciting)
I never knew I was weak, nililia kama mtoto, nilimtumia message ka essay, nikawaambia watu wa karibu, mpk nikaja na uzi humu..
Hapo ndo nilipo funzwa ya kuwa, mapenzi ni usenge mambo ya hopeless romantics ni kuwaachia wazungu tu..
Healing, ilitokea pale nilipo amka siku moja na kugundua kuwa ukipenda bila return unakuwa mtumwa...
Niliacha, kumwaza ghafla nikaanza kufocus na kufurahia maisha ya kila siku, bila expectations za kupata mtu ka yeye..
Well, that's when nikakutana na mrembo mwingine, aliyenipenda ila sikutarajia kama tungeenda popote, we still together (long distance) ila ndo hivyo ile break up ndo imesababisha nimekuwa imara.
Cc meghan markle
Hapo ulipo kuna uafadhali sana wa maisha?