Alikuwa kanizidi mwaka mmoja tuuu na miezi kadhaa
Nafikiri maumivu yalitokana na kwamba alikuwa mtu wangu wa kwanza,nilimpenda kweli kweli na sikuwa na mtu wa pembeni wa kunifariji wakati yeye ananiacha
Mkuu duniani humu wenye ufahamu na kujua mema na mabaya ni kiumbe binadamu. Sasa unataka ukatishwe tamaa na Ng'ombe? Ukiona hukatishwi tamaa na kiumbe binadamu basi bado maisha hayajashika speed.... Up and down kwenye maisha ni kawaida ila tunatofautiana level....Ukisoma posts zote kwa huu uzi utaona kila mtu hapa alitaka kukata tamaa kwa sababu ya kuumizwa na mtu mwingine tazama dada yetu Joanah aliyeanzisha uzi hadi wa mwisho kbs hamna aliyekutana na tukio natural, ni watu tu waliotaka aumie na wakamuumiza!
Watu wanatofutiana level katika kukata tamaa na kuwa disappointed. Wengine wanakwama wengine wanachukulia easy wana move...Hadi umri huu niliofika bado sijafikia hiyo Hali, Kwa Hilo Tu nashkuru, sio kwamba sijapitia magumu hapana Bali kuna namna Tu najikuta Niko salama bila kutarajia.
Kuna jambo la msingi sana umeliongea hapo "Nafikiri maumivu yalitokana na kwamba alikua mtu wangu wa kwanza''Alikuwa kanizidi mwaka mmoja tuuu na miezi kadhaa
Nafikiri maumivu yalitokana na kwamba alikuwa mtu wangu wa kwanza,nilimpenda kweli kweli na sikuwa na mtu wa pembeni wa kunifariji wakati yeye ananiacha
Kwahyo kwasasa unaye wa og na assistant.Alikuwa kanizidi mwaka mmoja tuuu na miezi kadhaa
Nafikiri maumivu yalitokana na kwamba alikuwa mtu wangu wa kwanza,nilimpenda kweli kweli na sikuwa na mtu wa pembeni wa kunifariji wakati yeye ananiacha
kinacho muuma uyo ni kwamba ame date na uyo mwanamke tangu akiwa chuo lakini uyo mwanamke ali mcheat na wanauw wengine yeye akijua yupo pekeakeDaah nimecheka!!
Kinachokuuma ni mkeo alishawahi kuolewa,kwamba wewe ni mume wake wa pili 😂
Cha maana hakikosekani, sio kwa mahaba hayo😂TBH bado namkumbuka sana na wala hakuna alichonipa cha maana, nilimpenda sana ndo maana
Amen. 🙏Mungu alijaze nuru kaburi la mama,
Hiyo siri itakua ni siri haswaaa, maisha yana mambo mengi sana!
Mkuu,Mungu atubariki sote,sisi sote ni Binadamu tunaopita tu kwenye hii Dunia,Ngwathra na The Icebreaker nimevutiwa sana na discussion yenu…Mungu aendelee kuwabariki huko mliko na ipo siku huenda tutakutan na kula pamoja.
Amen…Siku ukija Tanzania 🇹🇿 naomba hata nikupokee mkuu.Mkuu,Mungu atubariki sote,sisi sote ni Binadamu tunaopita tu kwenye hii Dunia,
Good luck Mkuu.
Yep nipo naye. Ashanivumilia mpaka mimi ndio nikaamua nitulie sasa.Umepata mke mwema sana na mvumilivu mkuu,
Hope upo nae mpaka sasa,mshikilie sana wala usije kumuumiza.
Ahsante Eron..Everything for a reason, hii miandiko yetu huwa inaficha kitu ila deep down unasema hiii.
Pole sana!
Hapana uvulana nilitoa kipind na miaka 13! Huyo nilimpenda Mm, nikaoza akausambaratisha moyo wangu💔.
He abused you why keep him in your mind. Find alternative means. Huyo uliyenaye Sasa kama anakutreat right unakila sbbu ya kuachilia moyo wako.TBH bado namkumbuka sana na wala hakuna alichonipa cha maana, nilimpenda sana ndo maana
Babu, kwenye mapenzi u seriousness huwa una fade.Mapenzi yakakuwehusha😅😅😅 kuwa serious basi de gunner!
Kumbe na wewe ni wale wale tu😂TBH bado namkumbuka sana na wala hakuna alichonipa cha maana, nilimpenda sana ndo maana
Kamba hiiNilipoteza mradi wa pesa nyingi kwa fitina za wabongo nikatembea ughaibuni na nikaondoka na deni la zaidi ya 2.8B za madafu linazunguka tu kichwani kwngu, nikarudi umasikinini tu kule kwa baba yangu na babu zake, japo narudi taratibu na uzee ushafika!
Kweli watu hutofautiana, Mimi Kipindi nahangaika naweza kusema nlikuwa na bahati tu...Watu wanatofutiana level katika kukata tamaa na kuwa disappointed. Wengine wanakwama wengine wanachukulia easy wana move...