Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna bar moja nikwenda. Kufika tu akajipendekeza bar maid mmoja kuja kunihudumia. Basi nikamwambia akaniletee supu ya kuku jikoni na yeye achukue yake. Dakika tano nyingi supu hizi hapa. Huku nnaendelea kusoma gazeti na kunywa supu. Nikamwambia aniletee castle baridi na yeye achukue yake. Dakika nyingi beer ziko mezani. Nikaagiza castle ya pili na yeye nikamwambia achukue yake. Baadae kidogo nikaomba bili nilipe niondoke. Kabla sijawasha gari namuona huyu ananikimbilia na kuniambia. Kaka umesahau kuchukua namba yangu......
Hahahahaaa!dahh!yaani usidharau usiemjua!!!Enzi hizo nakunywa safari beer baridi nilikua na rafiki yangu tajiri wa mabasi ya mikoani, lkn huyu jamaa vaa yake usingejua kwamba Ni tajiri. Tulikwenda bar moja Ina wahudumu wawili, jamaa akamtaka mmoja white lkn white akajifanya matawi. Basi jamaa akamjaribisha yule sura mbaya na sura mbaya akakubali.
Jamaa yangu kila siku Basi likitoka mikoani lzm lije na Michele, samaki, ndizi, kuku ndio usiseme. Baadae akaamua kuoa kabisa.
Tukamwacha white na uzuri wake akiendelea kuuza bar.
What a perfect movie...!!!hahahaNgoja nishee habari Moja kuhusu ma secretary wenye nyodo mwaka ya 98 nilikuwa na mgogoro wa ardhi na mtumishi mmoja wa umma akiwa Ni afisa ardhi.Baada ya suala kuwa halishughulikiwi nikaamua kwenda ofisi ya Mkuu wa mkoa kupata msaada nilikuwa na miaka16 kipindi hicho.
Sasa nilipofika kwa katibu muhutasi huyo ili kupata ruhusa akanikatalia eti nimwambie shida yangu halafu akamwambie bosi wake akikubali ndo ataniruhusu, Katibu muhutasi akaniuliza kwa ukali "UNATAKA NINI NAWEWE KIBWENGO" Nikamjibu NIMEKUJA kuongea na Baba kwani Mimi hunijui? Basi akajifanya kunijua akaniruhusu nikaingia.
Muda kidogo akaniletea chai nzitoooo. Mkuu wake akashikwa na butwaa.alipotoka Yule muhutasi nikamueleza Miuu Yule shida yangu Mambo yakaenda sawa.nkatoka na kumuaga.INA MAANA NISINGE MDANGANYA NISINGE WEZA KUFIKISHA UJUMBE WANGU KWA MKUU WA MKOA NA HUWENDA TATIZO LISINGEPATIWA UFUMBUZI
Upo sahihi mkuu. Majirani zetu wakenya wametuzidi kwenye customer care.. Hii kitu hata marehemu Sitta akiwa waziri wa wizara ya afrika mashariki aliwasifu wakenya bungeni.Kairuki hospital dada wa mapokezi namuongelesha ananipuuza huku anapiga stori na mwezake .
Moto niliomuwashi hatukuja sahau
Wabongo customer care tuko shallow Sana .
Ukishashiba mshahara unaanza fanya kazi kwa mazoea .
Mi sikukopeshi nakulipa hapo hapo
Vipi wanavyowahudumia nyie wanawake wenzao? Nadhani bora ya sisi wanaumeVihudumu vya bank hasa visichana vinakuaga na dharau sana. Mimi sehemu ninayokua mpole ni hospital na polisi tena kama ninayemfahamu hayupo. Sehemu nyingine moto nauwasha saa yoyote
Bora wanaume jamani wengii wana customer care nzuri. hata kwenye restaurants nyingi visichana vidomo juu juu. Mimi sipendi dharau ukiangalia vijicent vyangu vinahusika kwenye kukulipa mshaharaVipi wanavyowahudumia nyie wanawake wenzao? Nadhani bora ya sisi wanaume
Ata wamama nao ni tatizoBora wanaume jamani wengii wana customer care nzuri. hata kwenye restaurants nyingi visichana vidomo juu juu. Mimi sipendi dharau ukiangalia vijicent vyangu vinahusika kwenye kukulipa mshahara
Aisee nilipata hayo mawazo na hasira juu ila niliamua tu kupotezea na kutafuta michongo sehemu nyinginehuyo mama angekutana na mimi ningemvizia popote pale nampiga tukio ambalo asingesahau maishani mwake
Huyo alikuwa hakudharau.. alikuelewa akajikuta ana play hard to get.Mimi ilinikuta, muhudumu wa hotel alinionesha dharau,
Nikamchunia siku hiyo, nikapanga kukipiza,
Nikamtongoza na nikahakikisha amedata nami nikala mzigo halafu nikapiga chini!
Na nikamchana ukweli, nilikuwa nakuonyesha mie ni zaidi yako!
Mpaka leo mnyonge!
Ccbrt hawana nyodo boss tena kuna vipaza sauti kabisa kazi yako ni kusikiliza tu.ndio ccbrt hospital ness pale kwenye kupata risiti baada ya malipo ukamuone dr hataki umuulize mara mbili hata kama hujasikia na ubaya kavaa barakoa sauti haitoki wanaudhi sana 3/9/21
"play hard to get" inaingiaje hapo mkuu 6Was9 wakati jamaa Fmruma amekwenda kama mteja tu ila mhudumu akamuona mshikaji kama mlalahoi tu?Huyo alikuwa hakudharau.. alikuelewa akajikuta ana play hard to get.
Hao design hiyo ukiwauliza kitu anakujibu akiwa overconfidence unaweza hisi ni dharau.. kumbe sio..
Dem akisha kudharau kuna kazi kubwa sana kugain respect na kumattract tena
wengi ni kama hawatambui pesa ya mteja ndio chanzo pia cha mshahara wao.Bora wanaume jamani wengii wana customer care nzuri. hata kwenye restaurants nyingi visichana vidomo juu juu. Mimi sipendi dharau ukiangalia vijicent vyangu vinahusika kwenye kukulipa mshahara
Kuna bar moja nikwenda. Kufika tu akajipendekeza bar maid mmoja kuja kunihudumia. Basi nikamwambia akaniletee supu ya kuku jikoni na yeye achukue yake. Dakika tano nyingi supu hizi hapa. Huku nnaendelea kusoma gazeti na kunywa supu. Nikamwambia aniletee castle baridi na yeye achukue yake. Dakika nyingi beer ziko mezani. Nikaagiza castle ya pili na yeye nikamwambia achukue yake. Baadae kidogo nikaomba bili nilipe niondoke. Kabla sijawasha gari namuona huyu ananikimbilia na kuniambia. Kaka umesahau kuchukua namba yangu......