Umeshawahi kulipigania penzi lisivunjike lakini mwisho wa siku ukakubali kushidwa

Imagine na mtu akaniambia niondokee

I was Totally a fool/idiot
Aiseee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa na roho ngumu jamani [emoji23]
 
Hivi mwanaume mwenye hela huwa anaachwa
 
Vp
Vp umesamehe au ume move on?,
 
Mi nimenawa mikono April 1 2021 baada ya kubembeleza for 6 months huyo mwanamke abakie nami. All shall be well
Miezi 6 una bembeleza !? Hahahaha kuna watu mmeshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…