For learning purposes, it is allowed my dearMkuu, do you feel proud to hurt someone's heart? That's not good and fair.🙄 siku yatakurudia pia
Niliwahi kupigania pensi pale karume ooh sorry kumbe ni penzi?
Hapo umemuwin ndo kwamba unamuendeshaKanuni yangu tangu zamani ni kutojishusha, naitwa kiburi ila ndo hata sijali, Kuna aliyefanikiwa kunitikisa ila baada ya mwezi nilimsahau totally nashukuru kwa somo nililopata huko nyuma kwani ndio limefanya nimuwin mume wangu(dhahabu yangu),,,
Nadhani Si wajibu wangu kukupa maelezo dhidi ya kile fikra zako zilichokitafisri😏 ulivyotafsiri Ni hivyo hivyo pigia mstariHapo umemuwin ndo kwamba unamuendesha
Poa poaNadhani Si wajibu wangu kukupa maelezo dhidi ya kile fikra zako zilichokitafisri😏 ulivyotafsiri Ni hivyo hivyo pigia mstari
Huyo ex ni mwenyeji wa wapiMkuu, Waridi mbona ni jina la X wangu pia na sasa yupo Dar pia... Mpaka nimeshangaa isijekuwa ni the same girl. Wanawake hawa!!
Baba bulubendi miss you😍[emoji124]
Love you so much ❤️Baba bulubendi miss you😍
Love you too. Nimefurahi kukuona.Love you so much [emoji3590]
Dah.. Mkuu hii signature yako yako ya #freemaxence melo imenikumbusha utawala wa mkono wa chuma![emoji38]
Ukafanye nn sasaNilifumaniwaga na manzi wangu mcha Mungu Sana, mbaya zaidi na kademu ambako hata sijui Kali nishawishi nini,..kasura kakitoto ,tako lenyewe hakana,viuno sasa Feni ikasome.
Aisee nilipigania lile penzi mpaka tone la mwisho. Nikaishia kubadilishiwa laini.
Nashukuru baada ya miaka2 nilionana naye mkoa jirani,tukaongea yakaisha kiroho Safi.
Yeye na familia yake Mimi bado akili haitaki kabisaa kuoa. Maana huyu mwenye family yake bado ananiambia milango IPO wazi .
Kama ndoa ni hivyo big No.
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
baby please Kuna hela naiskilizia akajibu "nmeshachoka niache"
Yapata miez mitatu sasa,nlikutana nae juz Niko na Dem wangu maisha yamemgegeda anafanya kaz salon ya kike.nikamuamuru amsuke Dem wangu (in Jesus voice)
Ilikuwaje?Mwishoni kulikua na mapichapicha mengi nikaona aaarrrgghh huu ni utumwa sasa potelea pote!
Najua, ila kama ningekuelezea scenario nzima from the start ungeelewa kwa nini nilikuwa napiga mara nyingi, ila kiufupi ni kuwa nilijitahidi sana kulipambania sana hilo penzi nikijifunza kupenda ile ya kufa kuoza (mimi nina asili ya ubandidu, sibembelezagi sana so nilitaka kujifunza mapenzi ya kifilipino kwa huyu). Ila kwa kilichonikuta nime'reset settings zangu to factory setting....Mamaee
Pole mkuu. Ndomaana zile cc zimeyeyuka. Katika swala la mahusiano usimuamini mtu yeyote hata kama anaonyesha kukupenda kwa kiasi gani.Mwishoni kulikua na mapichapicha mengi nikaona aaarrrgghh huu ni utumwa sasa potelea pote!
[emoji23][emoji23][emoji23]Miaka 6!
Nakupa phd ya Love bembelezaring and applied science