Umeshawahi kulipigania penzi lisivunjike lakini mwisho wa siku ukakubali kushidwa

Umeshawahi kulipigania penzi lisivunjike lakini mwisho wa siku ukakubali kushidwa

Kanuni yangu tangu zamani ni kutojishusha, naitwa kiburi ila ndo hata sijali, Kuna aliyefanikiwa kunitikisa ila baada ya mwezi nilimsahau totally nashukuru kwa somo nililopata huko nyuma kwani ndio limefanya nimuwin mume wangu(dhahabu yangu),,,
 
Hapo umemuwin ndo kwamba unamuendesha
 
Nilifumaniwaga na manzi wangu mcha Mungu Sana, mbaya zaidi na kademu ambako hata sijui Kali nishawishi nini,..kasura kakitoto ,tako lenyewe hakana,viuno sasa Feni ikasome.

Aisee nilipigania lile penzi mpaka tone la mwisho. Nikaishia kubadilishiwa laini.

Nashukuru baada ya miaka2 nilionana naye mkoa jirani,tukaongea yakaisha kiroho Safi.

Yeye na familia yake Mimi bado akili haitaki kabisaa kuoa. Maana huyu mwenye family yake bado ananiambia milango IPO wazi .

Kama ndoa ni hivyo big No.

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Ukafanye nn sasa
 
baby please Kuna hela naiskilizia akajibu "nmeshachoka niache"

Yapata miez mitatu sasa,nlikutana nae juz Niko na Dem wangu maisha yamemgegeda anafanya kaz salon ya kike.nikamuamuru amsuke Dem wangu (in Jesus voice)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najua, ila kama ningekuelezea scenario nzima from the start ungeelewa kwa nini nilikuwa napiga mara nyingi, ila kiufupi ni kuwa nilijitahidi sana kulipambania sana hilo penzi nikijifunza kupenda ile ya kufa kuoza (mimi nina asili ya ubandidu, sibembelezagi sana so nilitaka kujifunza mapenzi ya kifilipino kwa huyu). Ila kwa kilichonikuta nime'reset settings zangu to factory setting....Mamaee

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom