Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

Kumbe wee ni faller 🀣🀣🀣🀣🀣
So unanishauri ata mie njsirudiane na bby mama wangu....ila haipiti siku bila kumkumbuka yule mwanamke jamani nifanyeje?
Siki hizi nimeacha kushauri watu visa vya mapenzi sababu hata mimi bado mwanafunzi huko πŸ˜‚
 
Nilirudina naye na sababu kuu ilikuwa she was financial good and I was broke as hell man but two years leter she went to study UK na baada ya hapo akaolewa huko huko.
Kumbe hata wanaume mnakuaga after money sometimes ila full kutupopoa mawe wadada πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Umenipa matumaini kumbe naweza rudiana na huyu mrembo. Ebu nipe mbinu sasa za kurudiana nae maana dah nimetambua kuwa ni mwanamke wakuoa kabisa huyu
Mwanamke mwenzangu popote ulipo kataa ndoa na mzee baba mzabzab πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanamke mwenzangu popote ulipo kataa ndoa na mzee baba mzabzab πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha roho mbaya...wee sii tayari ulishapata wakukuwowa...wacha na mwenzio aolewe. Kweli wanawake hampendani
 
Acha roho mbaya...wee sii tayari ulishapata wakukuwowa...wacha na mwenzio aolewe. Kweli wanawake hampendani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Utaniumizia mwanamke mwenzangu wewe. Nampenda ndo mana namkataza
 
Nilirudina naye na sababu kuu ilikuwa she was financial good and I was broke as hell man but two years leter she went to study UK na baada ya hapo akaolewa huko huko.
Hilo xaiv ndio kabisa oooh nataka mtu mwenye gari wakati kwao hakuna mtu mwenye gari,afu wenye pesa wapita njia [emoji1][emoji1][emoji1]yaan caiv akili za kuambiwa changanya na zako ni hayo tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Utaniumizia mwanamke mwenzangu wewe. Nampenda ndo mana namkataza
Mbona uangalii upande wangu jee mie navyoteseka kwa kutokuwa nae wee hulioni hilo? Mie naumia kila leo namuwaza babby mama wangu jamani
 
Mbona uangalii upande wangu jee mie navyoteseka kwa kutokuwa nae wee hulioni hilo? Mie naumia kila leo namuwaza babby mama wangu jamani
Khaa wewe huyo? We unaeita wanawake ni mashetani umekamatika πŸ˜‚ haya kamtafute
 
Kasikilize dear ex wa Marioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…