Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

Kumbe wee ni faller 🤣🤣🤣🤣🤣
So unanishauri ata mie njsirudiane na bby mama wangu....ila haipiti siku bila kumkumbuka yule mwanamke jamani nifanyeje?
Siki hizi nimeacha kushauri watu visa vya mapenzi sababu hata mimi bado mwanafunzi huko 😂
 
Nilirudina naye na sababu kuu ilikuwa she was financial good and I was broke as hell man but two years leter she went to study UK na baada ya hapo akaolewa huko huko.
Kumbe hata wanaume mnakuaga after money sometimes ila full kutupopoa mawe wadada 😃😃
 
Acha roho mbaya...wee sii tayari ulishapata wakukuwowa...wacha na mwenzio aolewe. Kweli wanawake hampendani
😂😂😂 Utaniumizia mwanamke mwenzangu wewe. Nampenda ndo mana namkataza
 
Nilirudina naye na sababu kuu ilikuwa she was financial good and I was broke as hell man but two years leter she went to study UK na baada ya hapo akaolewa huko huko.
Hilo xaiv ndio kabisa oooh nataka mtu mwenye gari wakati kwao hakuna mtu mwenye gari,afu wenye pesa wapita njia [emoji1][emoji1][emoji1]yaan caiv akili za kuambiwa changanya na zako ni hayo tu
 
Mbona uangalii upande wangu jee mie navyoteseka kwa kutokuwa nae wee hulioni hilo? Mie naumia kila leo namuwaza babby mama wangu jamani
Khaa wewe huyo? We unaeita wanawake ni mashetani umekamatika 😂 haya kamtafute
 
Hope mko poa,

Naomba kuuliza swali dogo, hivi ushawahi kurudiana na ex wako, afu penzi likanoga Kama zamani.

Two years ago, nilkuwa kwenye penzi zito Sana na mdada mmoja, yaani nilimpenda nae akanipenda kweli, basi tulikula maisha kwa furaha ya hali ya juu.

Baada ya muda tuliachana, japo mawasiliano ya kujuliana hali yalikuwepo, Sasa bi dada this year anaomba turudiane, nikikumbuka moments za nyuma natamani turudiane, Ila nahofia sitompenda Kama zamani.

Wakuu kwa walioweza kurudiana na ma ex wenu mliwezaje, na je penzi lenu lilinoga?
Kasikilize dear ex wa Marioo
 
Back
Top Bottom