Sikudokoa Mboga yako
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 462
- 947
Nilirudina naye na sababu kuu ilikuwa she was financial good and I was broke as hell man but two years leter she went to study UK na baada ya hapo akaolewa huko huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siki hizi nimeacha kushauri watu visa vya mapenzi sababu hata mimi bado mwanafunzi huko 😂Kumbe wee ni faller 🤣🤣🤣🤣🤣
So unanishauri ata mie njsirudiane na bby mama wangu....ila haipiti siku bila kumkumbuka yule mwanamke jamani nifanyeje?
Kumbe hata wanaume mnakuaga after money sometimes ila full kutupopoa mawe wadada 😃😃Nilirudina naye na sababu kuu ilikuwa she was financial good and I was broke as hell man but two years leter she went to study UK na baada ya hapo akaolewa huko huko.
Shikilia hapo haposiwezi nina moyo mgumu sana
Mwanamke mwenzangu popote ulipo kataa ndoa na mzee baba mzabzab 😂😂Umenipa matumaini kumbe naweza rudiana na huyu mrembo. Ebu nipe mbinu sasa za kurudiana nae maana dah nimetambua kuwa ni mwanamke wakuoa kabisa huyu
Acha roho mbaya...wee sii tayari ulishapata wakukuwowa...wacha na mwenzio aolewe. Kweli wanawake hampendaniMwanamke mwenzangu popote ulipo kataa ndoa na mzee baba mzabzab 😂😂
😂😂😂 Utaniumizia mwanamke mwenzangu wewe. Nampenda ndo mana namkatazaAcha roho mbaya...wee sii tayari ulishapata wakukuwowa...wacha na mwenzio aolewe. Kweli wanawake hampendani
Hilo xaiv ndio kabisa oooh nataka mtu mwenye gari wakati kwao hakuna mtu mwenye gari,afu wenye pesa wapita njia [emoji1][emoji1][emoji1]yaan caiv akili za kuambiwa changanya na zako ni hayo tuNilirudina naye na sababu kuu ilikuwa she was financial good and I was broke as hell man but two years leter she went to study UK na baada ya hapo akaolewa huko huko.
Mbona uangalii upande wangu jee mie navyoteseka kwa kutokuwa nae wee hulioni hilo? Mie naumia kila leo namuwaza babby mama wangu jamani😂😂😂 Utaniumizia mwanamke mwenzangu wewe. Nampenda ndo mana namkataza
Duuh mbona maamuzi magumu jamani au kitu ulipigwa na kitu kizito.Them: Utamrudia Ex wako ama bora Kufa.
Me: Bora Kufaaaaaaaaaaaaaaa
Ahsante mkuuNatamani nami niandike hii rekodi siku moja.
View attachment 2363233
Duuh hatari mkuu.ndie mke kwa sasa lakin ndio kosa kubwa nililofanya na nalijutia maisha yangu yote [emoji17]
Khaa wewe huyo? We unaeita wanawake ni mashetani umekamatika 😂 haya kamtafuteMbona uangalii upande wangu jee mie navyoteseka kwa kutokuwa nae wee hulioni hilo? Mie naumia kila leo namuwaza babby mama wangu jamani
Huyu ni shetani mzuri tena anajua kupenda na mi a gud mum to my daughterKhaa wewe huyo? We unaeita wanawake ni mashetani umekamatika 😂 haya kamtafute
Kasikilize dear ex wa MariooHope mko poa,
Naomba kuuliza swali dogo, hivi ushawahi kurudiana na ex wako, afu penzi likanoga Kama zamani.
Two years ago, nilkuwa kwenye penzi zito Sana na mdada mmoja, yaani nilimpenda nae akanipenda kweli, basi tulikula maisha kwa furaha ya hali ya juu.
Baada ya muda tuliachana, japo mawasiliano ya kujuliana hali yalikuwepo, Sasa bi dada this year anaomba turudiane, nikikumbuka moments za nyuma natamani turudiane, Ila nahofia sitompenda Kama zamani.
Wakuu kwa walioweza kurudiana na ma ex wenu mliwezaje, na je penzi lenu lilinoga?