Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

Mhhh basi binadamu anaweza kutrainiwa akawa hata shetani mtu aisee.
 
Hiyo ni kama wine ๐Ÿท tu kwake
 
Hapa napo unasemaje
View: https://youtu.be/4L0K6-RjaTg?si=w9aXpmdbSMgQEWtI
 
Hatari sana
 
kwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya
Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze๐Ÿ˜
Sio kukutana naye tu, nimewaua wengi.
 
Jina lake lingine ni songwe?
Kila eneo anajulikana kwa jina tofauti.
Iringa wahehe wanamwita "Mhando", Baadhi ya maeneo ya mkoa wa Morogoro anaitwa "Muyombo"na baadhi ya maeneo anaitwa "Runyasi".
 
Kuna shule moja huko tabora ilifungwa kwa muda ili wapambane na koboko waliitwa waganga wa jadi wanasema walikuwa wakirusha mawe anakwepa anajirusha mti mmoja hadi mwingine asee
Kifupi unaambiwa koboko ni kiboko na nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ