Hunyanyua kichwa juu kulingana na ukubwa wa anayepewa warning halafu hutanua nyama za shingo na kuwa bapa.Warning gani mkuu??
AseeeHuyo ilikuwa nikimuona najihami kwa kukimbia huwa hataki mpishane mara mbili, huwa sio mkali kama watu wanavyosema kwamba akikuona tu anaanza kukuwinda., bali ukimchokoza au mtu alimchokoza wewe ukapita hapo. Au amekuona na bado ukaendelea kubaki eneo lake hapo ndipo huanza kuliamsha labda kama umejiandaa kupambana
Inawezekana kabisa....ukimwahi kichwa umemalizaUmuzungushe black mamba apn mkuu🤣🤣
Kwa mfano usipomsikia inakuaje sasa😂😂😂Hunyanyua kichwa juu kulingana na ukubwa wa anayepewa warning halafu hutanua nyama za shingo na kuwa bapa.
Kisha hufunua mdomo mweusii na kutoa mlio kama anapuliza hivi....... Hapo sasa yupo tayari kushambulia iwapo huta ondoka
Ni kweli kabisa mkuuCha ajabu ambao hawajaishi vijijini wanamjua kiboko kwa picha ni wakwanza kuelimisha eti akikuona lazima akushambulie, waongo kweli , huyo kukushambulia labda iwe bahati mbaya kuna mtu alimchokoza eneo hilo kwa hiyo awe na hasira alafu wewe ukapita hapo utaona amekushabulia bila kumchokoza,, vinginevyo huyo huwa mpaka umchokoze
Kama usipo sikia warning na usipo muona na ukazidi kusogea alipo atakung'ata tu hamna namna...... Anajihami piaKwa mfano usipomsikia inakuaje sasa😂😂😂
UkimuwahiKoboko unamshikaje kichwa 🤣🤣🤣🤣 acha masiala basi
Don't Hunt what u can't kill[emoji23][emoji23]Nyoka anaogopa binadamu kuliko unavyomuogopa wewe, black mamba ana sumu za aina mbili,inayoweza kugandisha damu na inayoweza kuharibu mishipa ya fahamu,, ukimuona achana nae, endelea na shughuli zako,, ukiamua kupambana nae ili kumuua inawezekana lakini ujue hatari ya hiyo vita uliyoanzisha.
Afu mbona umeanzisha Uzi ambao una majibu yake unayoyafahamuKoboko unamshikaje kichwa 🤣🤣🤣🤣 acha masiala basi
AiseeeNinaye katulia ndani ya Calvin Klein
Anamaanisha kumuwahi kumpiga umuue,sio kumshika , sio rahisi kumshikaKoboko unamshikaje kichwa 🤣🤣🤣🤣 acha masiala basi
Kabisa , ukimrushia hata jiwe uwe unaimudu vita,Nyoka anaogopa binadamu kuliko unavyomuogopa wewe, black mamba ana sumu za aina mbili,inayoweza kugandisha damu na inayoweza kuharibu mishipa ya fahamu,, ukimuona achana nae, endelea na shughuli zako,, ukiamua kupambana nae ili kumuua inawezekana lakini ujue hatari ya hiyo vita uliyoanzisha.
Hili la kurusha sumu pia sio la kweli. Hii ni kwa cobra, tena sio wote, wapo jamii ya "spitting cobra"Nyoka karibu wote wana hulka mmoja..... Huwa wanajitahidi sana ku avoid kukutana ana kwa ana na viumbe ambao ni wakubwa kuliko wao, ni hatari kwao na ambao sio chakula chao.
Nyoka wana sense ya hali yajuu kupitia ulimi na macho yao kubaini kiumbe kinacho wakaribia....... Hivyo akikuhisi/ona kwa mbali kabla hujamuona huwa anajificha na kutulia tuli hadi upite
Na iwapo mtakutana ghafla ana kwa ana Kwenye open space au ukambananisha labda ukatani kwakawaida Koboko huwa kwanza lazima asimamishe kichwa na kutoa onyo kwa mlio mkali wa kupuliza, na ukizidi kumsogelea anaweza kukurushia sumu usoni ili kukupa upofu wa muda ili apate nafasi ya kusepa zake
Koboko huwa hashambulii bila warning labda umkanyage ghafla hapo ata attack bila warning
Kumekua na uongo mwingi kwamba ukikutana naye anakufukuzia hadi akung'ate au anaweza kuua hata mifugo mingi zizini just for fun........ Hii sio kweli
Mimi nilikutana Naye mbugani akawa anainua kichwa chake.Nikambana na mti kichwa chake na nikamshika mkia wake nikaanza kumzungusha juu Hadi akalegea na kumng'oa meno yake.Nilifanya Hivyo Kwa kutomjua kuwa alikuwa ni black mamba Hadi pale watu wanaojua nyoka wakaja wakamtambua Kwa jina na wanasema nilikuwa nacheza na moto
Hizo sumu zake zote ni balaa.Nyoka anaogopa binadamu kuliko unavyomuogopa wewe, black mamba ana sumu za aina mbili,inayoweza kugandisha damu na inayoweza kuharibu mishipa ya fahamu,, ukimuona achana nae, endelea na shughuli zako,, ukiamua kupambana nae ili kumuua inawezekana lakini ujue hatari ya hiyo vita uliyoanzisha.