Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

Hunyanyua kichwa juu kulingana na ukubwa wa anayepewa warning halafu hutanua nyama za shingo na kuwa bapa.
Kisha hufunua mdomo mweusii na kutoa mlio kama anapuliza hivi....... Hapo sasa yupo tayari kushambulia iwapo huta ondoka
Unaoongelea cobra mkuu, sio koboko! Koboko haishi karibu walipo wanyama wengine ni kwenye misitu minene na hatanui shingo yake wala hawapulizi wala kutema sumu kwa mbali
 
DSTV kwenye chaneli ya Net Geo Wild kila siku Jmosi mchana kuna marudio ya Series ya Snake In The City ya wiki nzima
Jamaa na mke wake wanakwenda kukamata nyoka kwenye nyumba za watu, na most of the time wanakua ni Black Mamba....... Ukiangalia namna wanavyo wakamata utajua ninacho maanisha

Black Mamba sio agressive kihivyo ila ni moja ya nyoka wenye sumu kali sana duniani
Na jamaa huwa anasema kabisa Black Mamba unaweza kuishi naye kwenye nyumba ili mradi tu usimbananishe akafikia mhali akaona hatari hapo atashambulia kujihami na sio kuua nyumba nzima kama unavyodhania

Just imagine anamkamata kisha anamuweka kwenye mfuko na akifika porini anamfungua kasimama hapo hapo na nyoka kitu cha kwanza anachofanya ni kukimbilia porini
Hayo ya Nat Geo Wild nashauri uyaache huko, lile onyo la WWE hapa linafit vizuri kabisa "don't try this at home, at school or anywhere". Usije kujaribu kumkamata nawe umweke kwenye mfuko na utarajie kumwacchia akimbilie porini, atakushangaza.

Achana na hao black mamba wa huko kwenye TV wanakuwa kama pets, hawa wa huku Kagera, Tabora, Kigoma nk kwanza wanatumia bangi kama chakula chao cha mara kwa mara.

Ninafahamu matukio kibao yaliyofanywa na koboko. Jambo ninalofikiri hao nyoka kadri wanavyokua wanaingiwa na kichaa, maana matukio yote ninayoyafahamu ni koboko wakubwa (wazee).
 
Nasikia akishiba bangi ndio ana. Kuwa mkali zaidi na yupo
Sana kwenye mashamba ya bangi
 
Nyoka karibu wote wana hulka mmoja..... Huwa wanajitahidi sana ku avoid kukutana ana kwa ana na viumbe ambao ni wakubwa kuliko wao, ni hatari kwao na ambao sio chakula chao.

Nyoka wana sense ya hali yajuu kupitia ulimi na macho yao kubaini kiumbe kinacho wakaribia....... Hivyo akikuhisi/ona kwa mbali kabla hujamuona huwa anajificha na kutulia tuli hadi upite

Na iwapo mtakutana ghafla ana kwa ana Kwenye open space au ukambananisha labda ukatani kwakawaida Koboko huwa kwanza lazima asimamishe kichwa na kutoa onyo kwa mlio mkali wa kupuliza, na ukizidi kumsogelea anaweza kukurushia sumu usoni ili kukupa upofu wa muda ili apate nafasi ya kusepa zake

Koboko huwa hashambulii bila warning labda umkanyage ghafla hapo ata attack bila warning

Kumekua na uongo mwingi kwamba ukikutana naye anakufukuzia hadi akung'ate au anaweza kuua hata mifugo mingi zizini just for fun........ Hii sio kweli
Koboko anarusha sumu namna gani? Nadhani hapa unamzungumzia swira (cobra)
 
Tulikutana naye Mwanza SAUT chuo.. ilikuwa around mwaka 2011 ctasahau ilikuwa Mishale ya saa mbili ucku tumetoka kula tunaludi hostel..gafla mwezetu katushitua nyoka..kuanza kutafuta mawe..akaingia hostel yakalibu...ndani mule ndani wanawake wanapiga kelele..kishenzi.. nahisi sababu ya tiles mule ndani..anapoteza balance... kutembea.. tuliiingia kundi la wanafunzi wakiume tukafanikiwa kumuu. Ila tunashukuru MUNGU hakumzulu mtu yoyote.
 
Nyoka anaogopa binadamu kuliko unavyomuogopa wewe, black mamba ana sumu za aina mbili,inayoweza kugandisha damu na inayoweza kuharibu mishipa ya fahamu,, ukimuona achana nae, endelea na shughuli zako,, ukiamua kupambana nae ili kumuua inawezekana lakini ujue hatari ya hiyo vita uliyoanzisha.
Hii ni kweli,kuna siku nilimuona nyoka nilikimbia upande wangu na yeye akakimbia upande wake,nilivyotulia nikawaza Kumbe tunaogopana🤓🤓🤓🤓🤓
 
Mkuu kazi inaonekana nyepesi Kwa sababu inafanywa na anayeijua wewe kama ukipewa huwezi
Mkuu hao nyoka nimeishi kwenye mikoa wapo kibao, hawa nyoka kwanza wanajificha mno , pili wanawakwepa binadamu kivyovyote vile , tatu wanatunza sana sumu yao kwa dhumuni la mawindo yao tu kama hakuna hatari ya ulazima.
 
Nyoka anaogopa binadamu kuliko unavyomuogopa wewe, black mamba ana sumu za aina mbili,inayoweza kugandisha damu na inayoweza kuharibu mishipa ya fahamu,, ukimuona achana nae, endelea na shughuli zako,, ukiamua kupambana nae ili kumuua inawezekana lakini ujue hatari ya hiyo vita uliyoanzisha.
Ina maana anaamua tu muda huu atumie sumu gani?
 
Uzuri wao hawazagai mitaani wanaishi maporini huko.

Unaweza kuzaliwa, kukua na kuzeeka ukiwa Tabora na usiwahi kumwona koboko, inategemea na location na aina ya harakati zako
Duh mimi basi na juaga tabora nyoka wapo wengi sana sijawai
Fika na naogopa kwenda kwasababu hiyo
 
Back
Top Bottom