Unaoongelea cobra mkuu, sio koboko! Koboko haishi karibu walipo wanyama wengine ni kwenye misitu minene na hatanui shingo yake wala hawapulizi wala kutema sumu kwa mbaliHunyanyua kichwa juu kulingana na ukubwa wa anayepewa warning halafu hutanua nyama za shingo na kuwa bapa.
Kisha hufunua mdomo mweusii na kutoa mlio kama anapuliza hivi....... Hapo sasa yupo tayari kushambulia iwapo huta ondoka
Hayo ya Nat Geo Wild nashauri uyaache huko, lile onyo la WWE hapa linafit vizuri kabisa "don't try this at home, at school or anywhere". Usije kujaribu kumkamata nawe umweke kwenye mfuko na utarajie kumwacchia akimbilie porini, atakushangaza.DSTV kwenye chaneli ya Net Geo Wild kila siku Jmosi mchana kuna marudio ya Series ya Snake In The City ya wiki nzima
Jamaa na mke wake wanakwenda kukamata nyoka kwenye nyumba za watu, na most of the time wanakua ni Black Mamba....... Ukiangalia namna wanavyo wakamata utajua ninacho maanisha
Black Mamba sio agressive kihivyo ila ni moja ya nyoka wenye sumu kali sana duniani
Na jamaa huwa anasema kabisa Black Mamba unaweza kuishi naye kwenye nyumba ili mradi tu usimbananishe akafikia mhali akaona hatari hapo atashambulia kujihami na sio kuua nyumba nzima kama unavyodhania
Just imagine anamkamata kisha anamuweka kwenye mfuko na akifika porini anamfungua kasimama hapo hapo na nyoka kitu cha kwanza anachofanya ni kukimbilia porini
Hapo sawaHakika ni cobra, nimechanganya mafaili na mada lengw.
Nasikia akishiba bangi ndio ana. Kuwa mkali zaidi na yupoHayo ya Nat Geo Wild nashauri uyaache huko, lile onyo la WWE hapa linafit vizuri kabisa "don't try this at home, at school or anywhere". Usije kujaribu kumkamata nawe umweke kwenye mfuko na utarajie kumwacchia akimbilie porini, atakushangaza.
Achana na hao black mamba wa huko kwenye TV wanakuwa kama pets, hawa wa huku Kagera, Tabora, Kigoma nk kwanza wanatumia bangi kama chakula chao cha mara kwa mara.
Ninafahamu matukio kibao yaliyofanywa na koboko. Jambo ninalofikiri hao nyoka kadri wanavyokua wanaingiwa na kichaa, maana matukio yote ninayoyafahamu ni koboko wakubwa (wazee).
Koboko anarusha sumu namna gani? Nadhani hapa unamzungumzia swira (cobra)Nyoka karibu wote wana hulka mmoja..... Huwa wanajitahidi sana ku avoid kukutana ana kwa ana na viumbe ambao ni wakubwa kuliko wao, ni hatari kwao na ambao sio chakula chao.
Nyoka wana sense ya hali yajuu kupitia ulimi na macho yao kubaini kiumbe kinacho wakaribia....... Hivyo akikuhisi/ona kwa mbali kabla hujamuona huwa anajificha na kutulia tuli hadi upite
Na iwapo mtakutana ghafla ana kwa ana Kwenye open space au ukambananisha labda ukatani kwakawaida Koboko huwa kwanza lazima asimamishe kichwa na kutoa onyo kwa mlio mkali wa kupuliza, na ukizidi kumsogelea anaweza kukurushia sumu usoni ili kukupa upofu wa muda ili apate nafasi ya kusepa zake
Koboko huwa hashambulii bila warning labda umkanyage ghafla hapo ata attack bila warning
Kumekua na uongo mwingi kwamba ukikutana naye anakufukuzia hadi akung'ate au anaweza kuua hata mifugo mingi zizini just for fun........ Hii sio kweli
Wanaolima bangi wanampata vizuri koboko original, wakiona koboko wa Nat Geo Wild watakataa kabisa si koboko.Nasikia akishiba bangi ndio ana. Kuwa mkali zaidi na yupo
Sana kwenye mashamba ya bangi
Hapa sasa ni rasmi unamzungumzia cobraHunyanyua kichwa juu kulingana na ukubwa wa anayepewa warning halafu hutanua nyama za shingo na kuwa bapa.
Kisha hufunua mdomo mweusii na kutoa mlio kama anapuliza hivi....... Hapo sasa yupo tayari kushambulia iwapo huta ondoka
Mm siwez fika tabora kwasababu hiyo tuWanaolima bangi wanampata vizuri koboko original, wakiona koboko wa Nat Geo Wild watakataa kabisa si koboko.
Nami huwa nashangaa wale wa Nat Geo ni koboko gani walaini vile
Mkuu kazi inaonekana nyepesi Kwa sababu inafanywa na anayeijua wewe kama ukipewa huweziHawana lolote kuna wale wa south mtu na mkewe wanawakamata kama panya tu wanawaweka kwenye mfuko, haya mambo ya koboko yamekuzwa sana japo ni nyoka mkali sana.
Hii ni kweli,kuna siku nilimuona nyoka nilikimbia upande wangu na yeye akakimbia upande wake,nilivyotulia nikawaza Kumbe tunaogopana🤓🤓🤓🤓🤓Nyoka anaogopa binadamu kuliko unavyomuogopa wewe, black mamba ana sumu za aina mbili,inayoweza kugandisha damu na inayoweza kuharibu mishipa ya fahamu,, ukimuona achana nae, endelea na shughuli zako,, ukiamua kupambana nae ili kumuua inawezekana lakini ujue hatari ya hiyo vita uliyoanzisha.
Ukihamishiwa huko kikazi huendi??Mm siwez fika tabora kwasababu hiyo tu
Mkuu hao nyoka nimeishi kwenye mikoa wapo kibao, hawa nyoka kwanza wanajificha mno , pili wanawakwepa binadamu kivyovyote vile , tatu wanatunza sana sumu yao kwa dhumuni la mawindo yao tu kama hakuna hatari ya ulazima.Mkuu kazi inaonekana nyepesi Kwa sababu inafanywa na anayeijua wewe kama ukipewa huwezi
Uzuri wao hawazagai mitaani wanaishi maporini huko.Mm siwez fika tabora kwasababu hiyo tu
Ina maana anaamua tu muda huu atumie sumu gani?Nyoka anaogopa binadamu kuliko unavyomuogopa wewe, black mamba ana sumu za aina mbili,inayoweza kugandisha damu na inayoweza kuharibu mishipa ya fahamu,, ukimuona achana nae, endelea na shughuli zako,, ukiamua kupambana nae ili kumuua inawezekana lakini ujue hatari ya hiyo vita uliyoanzisha.
Wewee unawajuaUzuri wao hawazagai mitaani wanaishi maporini huko.
Unaweza kuzaliwa, kukua na kuzeeka ukiwa Tabora na usiwahi kumwona koboko, inategemea na location na aina ya harakati zako
Siendi nita piganishaUkihamishiwa huko kikazi huendi??
Duh mimi basi na juaga tabora nyoka wapo wengi sana sijawaiUzuri wao hawazagai mitaani wanaishi maporini huko.
Unaweza kuzaliwa, kukua na kuzeeka ukiwa Tabora na usiwahi kumwona koboko, inategemea na location na aina ya harakati zako
Daa!! RADI ni mziki mwingine ikipiga huwa nakosa pozi kwakweli ile kitu isikie tuIla bora bora hata Koboko....kuna mziki wa "RADI"...asee ule umeme sio! Ukishuhudia matukio yake....huwezi amini.