Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

Huyo ni koboko wa wapi?
 
Wewe unamuongelea cobra na sio koboko. Koboko ni shida kile kiumbe aisee.
 
Wewe unamuongelea cobra na sio koboko. Koboko ni shida kile kiumbe aisee.
Huyo ni koboko wa wapi?
Nimechanganya kuhusu kuruga rusha sumu tu.....

Wakuu dunia ya leo tumekwisha toka kwenye myth za kudanganyana toka utotoni kwamba Koboko anafukuza watu sijui anau ng'ombe zizi zima just for no reason au amekasirika

Google it
Ask Ai
Kaulize Quora
Nenda Youtube

Achana na habari za "nasikiaga" au kuna jamaa aliniambiaga

Hakuna nyoka dunia anakazi ya kufukuzana na binadamu labda wale wanaoweza kutufanya chakula...... The rest wata kukwepa na ukimbananisha sana atakushambulia
 
Unaoongelea cobra mkuu, sio koboko! Koboko haishi karibu walipo wanyama wengine ni kwenye misitu minene na hatanui shingo yake wala hawapulizi wala kutema sumu kwa mbali
Ni kweli koboko harushi mate....... Lakini wanaishi popote hata ndani ya nyumba yako kama anaweza kujificha,
Anasimamisha shingo na kuitanua kama cobra na anatoa mlio wa warning........ You have the internet do your research mkuu
 
Ushatumia akili mnembe umeanza kusumbua 🤣🤣
 
Wanafanyaje exactly?

Wanafukuza watu tu wakikutana porini?
Wanavamia boma na kuua Ng'ombe boma zima?
Au anaweza kuvamia mkutano na kuua watu 100?

Hizi ni myth ulizolishwa toka utotoni na ukaamini
Jitahidi kutafuta taarifa sahihi mkuu
 
Ushatumia akili mnembe umeanza kusumbua 🤣🤣
Nimekupa vyanzo 5 umeona akili mnemba tu?

Nimeishi na koboko ndani kwetu kijiji na nimekutana nao mara kibao achilia mbali kuchat na AI
 
Nimekupa vyanzo 5 umeona akili mnemba tu?

Nimeishi na koboko ndani kwetu kijiji na nimekutana nao mara kibao achilia mbali kuchat na AI
Lbd humjui koboko utkuwa ni cobra au nyoka wengine
 
Nimekupa vyanzo 5 umeona akili mnemba tu?

Nimeishi na koboko ndani kwetu kijiji na nimekutana nao mara kibao achilia mbali kuchat na AI
Mkuu nimefuatilia comment zako, sehemu kubwa umechanganya tabia za Cobra umefananisha na Koboko.
Ni mara chache Koboko ataishi kwenye makazi ya binadamu.
Hutokea ataishi ikiwa wenyewe wamehama au atafukuzana na panya mpaka ndani, ataishi kwa muda kisha ataondoka.
Koboko kwa kawaida hapendi kelele hivyo hawezi kuishi kwenye mazingira hayo yenye kelele.
 
kwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya
Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
Hapa ninapoishi yupo tunaishi nae kwenye machaka yetu ya ndani anajifichaficha kwenye maua ni kuhamahama tu juzi nilimkosakosa na kitofali akala unyoya ila kila nikitembea naona michizi ya yeye kukatisha kiufupi anatuogopa sana ila tukimuotea tunaua nyala ya Serikali TANAPA tutawaonyesha mzoga
 
Huyo uliyemkosa na kitofali siyo Koboko.
Kwa kawaida Koboko kama atakaribia makazi ya watu anaishi juu ya mti atakao uchagua, atashuka kuwinda au kushambulia na haendi mbali na mti huo.
Siyo kila nyoka ni Koboko.
Kuna nyoka mmoja anaitwa "Msanga" anapenda kuota jua la asubuhi naye ana sumu kama Cobra na ni jamii ya Cobra, huyu pia wanafanana kiasi furani na Koboko. Nyoka huyu ndiye mwenye tabia ya kukaribia makazi ya binadamu ili ale panya.
Kama kweli uliyemkosa kosa ni Koboko nakushauri tafuta oil chafu mwaga kwenye hicho kichaka vinginevyo mtawindana mpaka mmoja wenu apumzike kwa amani😭😭
 
Hii imekua ya moto sana.
 
Mkuu ni Koboko na hajaondoka mpaka leo yupo hapahapa tunapisha michirizi ya nyoka akipita unajua tu hapa nyoka kapita ndicho kinachotokea kwa hio anazunguka humu humu ndani kubabek namsaka siku nikimuotea nampiga na paving za kutosha lazima zimwangukie tofali za kutosha nimemsaka sana anajificha naishia kuona michirizi tu wengine wananiambia mwaga ulezi sijui ufuta nyoka hapendi harufu yake atakimbia mwenyewe nikimwaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…