min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Tatizo ni nini mkuuMwenzio Kuna watu washaniharibia siku aisee
Tatizo ni nini mkuuMwenzio Kuna watu washaniharibia siku aisee
Ngoja nokurushie pm uwoneTatizo ni nini mkuu
OkNgoja nokurushie pm uwone
Mbona inasemekana kuwa huyu Nyoka akikuona yeye hata kama hujamuona na huna mpango naye yeye ndo anakuja kukushambulia? Au ni maneno ya mtandaoni tuu?Nyoka anaogopa binadamu kuliko unavyomuogopa wewe, black mamba ana sumu za aina mbili,inayoweza kugandisha damu na inayoweza kuharibu mishipa ya fahamu,, ukimuona achana nae, endelea na shughuli zako,, ukiamua kupambana nae ili kumuua inawezekana lakini ujue hatari ya hiyo vita uliyoanzisha.
Black mamba siyo mneneNimekutana nae mara mbili. Mara ya kwanza alikuwa anakatisha barabara ambapo nami nilikuwa napita, nilivyomuona ametulia tuli na kuinua kichwa kiasi, aisee nikajisemea hapa si pa kusimama, kuhoa wala kurusha jiwe. Ni hatari mwanangu, mwamba ni mkubwa na mweusi. Urefu na kichwa chake jumlisha unene wake karibia tairi ya mbele ya TVS/Boxer.
Mara ya pili ilikuwa uso kwa uso akikatisha kwenda kichuguu na nilimtambua ndani ya mita 5, eee buana ngoja niishie hapa.
Huyo cobra..Haya mambo yanakuzwa kwenye maandishi sisi wale tuliotumia sehemu ya maisha yetu maporini tukichunga ng'ombe hawa walikuwa hawatusumbui na kumuua ni rahisi tu. Ukimrushia kitu jiwe anavimba kichwa sehemu ya taya mpaka shingoni sisi tunajua huu ndo wakati sahihi wa kummaliza kabla hajashusha kichwa chuni. Yaani binanadmu unawezaje kuzidiwa mbinu za kupambana na nyoka na kimnyama kama paka? Wanauliwa vizuri tu sema ni elimu na mbinu ya kupambana ndo inakosekana katika maandishi mengi.
Huyu mwamba hapana..Kwa msiemjua maana uzi unaenda bila picha
NatGeo wamekubrainwash sana mkuu anaye rusha mate ni swila koboko ni miyeyusho naongea kwa uzoefu mkuu nimemuona live na baadhi ya ndugu zangu ni victim wa huyo kiumbe kwa maelezo zaid unaweza kuuliza game rangers waliopo mbuga za tabora achana na hao makamera man wa natgeo ambao most of their documentaries zinakuaga staged unaweza kufuatilia pia kuhusu hiliNyoka karibu wote wana hulka mmoja..... Huwa wanajitahidi sana ku avoid kukutana ana kwa ana na viumbe ambao ni wakubwa kuliko wao, ni hatari kwao na ambao sio chakula chao.
Nyoka wana sense ya hali yajuu kupitia ulimi na macho yao kubaini kiumbe kinacho wakaribia....... Hivyo akikuhisi/ona kwa mbali kabla hujamuona huwa anajificha na kutulia tuli hadi upite
Na iwapo mtakutana ghafla ana kwa ana Kwenye open space au ukambananisha labda ukatani kwakawaida Koboko huwa kwanza lazima asimamishe kichwa na kutoa onyo kwa mlio mkali wa kupuliza, na ukizidi kumsogelea anaweza kukurushia sumu usoni ili kukupa upofu wa muda ili apate nafasi ya kusepa zake
Koboko huwa hashambulii bila warning labda umkanyage ghafla hapo ata attack bila warning
Kumekua na uongo mwingi kwamba ukikutana naye anakufukuzia hadi akung'ate au anaweza kuua hata mifugo mingi zizini just for fun........ Hii sio kweli
🤣🤣🤣🤣 nimecheka ,ilikuajekuaje mkuuHuyu mwamba hapana..
Hata ungenihadithia na almas pembeni sitaki kujua upole wake..
Nafahamu timbwili lake, nilisha mshuhudia ujinga wake mbashara siyo kupitia gugo, yutyubu wa ei ai!
Hapa unaongelea cobra na sio black mamba mazee, cobra ndo huwa ana aibu na anasimisha kichwa na kuvimba, black mamba ni jeuri na mkorofi na pia ni m deadly.Nyoka karibu wote wana hulka mmoja..... Huwa wanajitahidi sana ku avoid kukutana ana kwa ana na viumbe ambao ni wakubwa kuliko wao, ni hatari kwao na ambao sio chakula chao.
Nyoka wana sense ya hali yajuu kupitia ulimi na macho yao kubaini kiumbe kinacho wakaribia....... Hivyo akikuhisi/ona kwa mbali kabla hujamuona huwa anajificha na kutulia tuli hadi upite
Na iwapo mtakutana ghafla ana kwa ana Kwenye open space au ukambananisha labda ukatani kwakawaida Koboko huwa kwanza lazima asimamishe kichwa na kutoa onyo kwa mlio mkali wa kupuliza, na ukizidi kumsogelea anaweza kukurushia sumu usoni ili kukupa upofu wa muda ili apate nafasi ya kusepa zake
Koboko huwa hashambulii bila warning labda umkanyage ghafla hapo ata attack bila warning
Kumekua na uongo mwingi kwamba ukikutana naye anakufukuzia hadi akung'ate au anaweza kuua hata mifugo mingi zizini just for fun........ Hii sio kweli
Wale koboko wa Nat Geo watakuwa wanaugua mshipa wa ngiri, si kwa udhaifu ule.Mnavyosimulia visanga vya huyu nyoka namtafakari bado ila sitaki nikute nae nasikia south Afrika wako wengi,wale jamaa wa snake in the city wanawakamata black mamba kama anadaka panzi hawana hofu inakuaje hii
Basi sawa.My point is..... Koboko ni nyoka mpole sana kwa binadamu na viumbe wengine ambao sio chakula chake as long as you keep the distance, option ya kwanza akikutana na binadamu ni kumkwepa kabla hata hujamuona kwasababu ana sense kali ya kubaini viumbe karibu yake
Koboka ana attack binadamu pale tu anapo sumbuliwa na akabaki na option moja tu ya kujilinda kwa kushambulia....... Hashambulii tu kwakuwa kakuta na binadamu
Kumekua na UONGO mwingi sana kuhusu koboko kuliko UKWELI
Angalia tu Title ya mleta mada alivyochagiza as if ukikutana tu na Koboko you're done.
Hata simulizi zako tu zinaonyesha jinsi myth kuhusu koboko ni uongo.... Eti koboko AKAMRARUA, Koboko only bite(sometimes multiple times) to inject venom sio kurarua
Stori nyingi za koboko ni hearsay tu..... Sijui eti aliua familia nzima as if alikua anafanya msako chumba hadi chumba kuhakikisha kaua wote...... don't get me wrong, Yes anaweza kuua hata watu 100 lakini sio kama mnavyodanganyana
Kaboko hana uadui na biandamu unless umprovoke hapa atajilinda kwa kushambulia.
Nimeishi na kukua mazingira yao toka nimezaliwa hadi naondoka kijiji Singida mpakani na Tabora
Tumeishi nao sana ndani ya nyumba za udongo na tembe na hawakushambulia hata vifaranga wa kuku
Wengi mnachanganya mafaili hapa. Mmeishi mkiua cobra (ambaye hata bibi kizee mmoja akitia bidii kidogo tu anamuua)huku mkiamini mliwaua black mamba. Koboko havimbi taya na hauawi kirahisi namna hiyo.Haya mambo yanakuzwa kwenye maandishi sisi wale tuliotumia sehemu ya maisha yetu maporini tukichunga ng'ombe hawa walikuwa hawatusumbui na kumuua ni rahisi tu. Ukimrushia kitu jiwe anavimba kichwa sehemu ya taya mpaka shingoni sisi tunajua huu ndo wakati sahihi wa kummaliza kabla hajashusha kichwa chuni. Yaani binanadmu unawezaje kuzidiwa mbinu za kupambana na nyoka na kimnyama kama paka? Wanauliwa vizuri tu sema ni elimu na mbinu ya kupambana ndo inakosekana katika maandishi mengi.
Kwahiyo ukimuona anaingia getoni kwako na penyewe umuacheNyoka anaogopa binadamu kuliko unavyomuogopa wewe, black mamba ana sumu za aina mbili,inayoweza kugandisha damu na inayoweza kuharibu mishipa ya fahamu,, ukimuona achana nae, endelea na shughuli zako,, ukiamua kupambana nae ili kumuua inawezekana lakini ujue hatari ya hiyo vita uliyoanzisha.
Hakuna black mamba mweusi kwa taarifa yakoNimekutana nae mara mbili. Mara ya kwanza alikuwa anakatisha barabara ambapo nami nilikuwa napita, nilivyomuona ametulia tuli na kuinua kichwa kiasi, aisee nikajisemea hapa si pa kusimama, kuhoa wala kurusha jiwe. Ni hatari mwanangu, mwamba ni mkubwa na mweusi. Urefu na kichwa chake jumlisha unene wake karibia tairi ya mbele ya TVS/Boxer.
Mara ya pili ilikuwa uso kwa uso akikatisha kwenda kichuguu na nilimtambua ndani ya mita 5, eee buana ngoja niishie hapa.