Kwahiyo utayaomba mabaki hake msamaha?Tafuta mabaki yake / watoto ama ndugu wa damu walioumizwa na ulichomfanyia nduguye
Watoto au ndugu sio wahusika uliowakosea. Huoni ni bora umuombe Mungu msamaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo utayaomba mabaki hake msamaha?Tafuta mabaki yake / watoto ama ndugu wa damu walioumizwa na ulichomfanyia nduguye
Uko dhehebu gani mkuuIwe ni yeye au wewe au mimi kwa aliehusika kwa tukio lile hakuna shortcut ya kuokoka, hata uzunguke makanisa yote ni kujisumbua tu, ni mpaka uende kwa Lissu umuombe msamaha.
Sahihi..naunga mkono hoja 💯💯Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alivunja ndoa za wengi hapo zamani kaamua kuokoka, nonsense, ujinga! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!
1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI
Huwezi kuroga watu wakapatwa magonjwa na matatizo mengine halafu uanze kutafuta wokovu eti unasalimisha matunguli yako kanisani yachomwe, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowachawia na utegue vifungo !!
Huwezi kudhulumu mali ya masikini au yatima halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kurudisha ulivyoiba na kuwaomba msamaha wahusika !!
Huwezi kufarakanisha wanandoa wakaachana halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowafarakanisha !!
Huwezi kuua watu wanaacha familia zao halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha wanafamilia wake !!
2. MIFANO
Baada ya Daudi kushika madaraka nchi ikawa ina majanga, alipomuuliza Mungu nini chanzo, aliambiwa utawala uliopita wa Sauli uliua wana watu wa Gibeon hivyo waende kwao wayamalize, baada ya hapoataitakasa nchi, walipoenda huko wa Gibeon waliwambia wao hawataki dhahabu wala Silver, wanataka kulipiza kisasi, wawape wana wa Sauli wa kiume saba wawaue na walipofanya hivyo nchi ilitakaswa.
Mfano mwingine Yesu mwenyewe aliwaambia wanafunzi wake kwamba kabla ya kutoa sadaka kaweke kwanza mambo sawa na uliowakosea, pia alishauri patana na mshitaki wako kwanza kabla hamjafika kwa hakimu.
Mfano mwingine wa zakayo alikumbuka dhambi zake na akasema atawarejeshea mara kumi aliowadhulumu, bda ya hapo ndipo aliweza kupokea wokovu.
Mfalme Daudi alimuua Uria ili Daudi aweze kumuoa mke Uria. Kilichotokea ili kulipa hyo dhambi mtoto wake wa kwanza aliyezaa na mke wa Uria alikufa ndo Daudi akapata msamaha wa Mungu.
3. AGANO LA KALE LILIRUHUSU JICHO KWA JICHO, JIPYA JE?
Agano la kale liliruhusu kulipiza jino kwa jino lakini haimaanishi agano jipya limefuta kila kitu, agano jipya linatusihi zaidi tupendane hivyo kilichobadilika ni kwamba mtu aliekukosea akija kukuomba msamaha haupaswi kulipiza jino kwa jino, ni aidha umsamehe au kama roho inasita wewe mwambie wazi tu huwezi, hakuna haja ya kulipiza.
Na kwa mawazo yangu navyoona kwamba mwenye dhambi kama hajabatizwa anaweza kusamehewa dhambi zake moja kwa moja ikiwa yupo tayari kumpkea Yesu, lakini baada ya hapo kigezo chako cha kusamehewa kinakuwa kizito zaidi, na kumbuka kubatizwa huwa ni mara moja tu
4. HAIWEZEKANI KUOKOKA BILA KUPATA TIKETI YA MSAMAHA WA ULIOWAUMIZA
Ni hivi, Mungu sio dhalimu,wewe unaweza kukuta umenitendea mabaya halafu unaenda kanisani kuokoka lakin unasahau mimi kila asubuh naamka na majereaha uliyoniachia aidha umeniibia duka nimefirisika, umeua watu wangu wa karibu naumia, umeniibia mke ndoa ilivunjika, umenidhulumu kiwanja sina nyumba, n.k.
Mungu hawezi kusahau uovu ulionifanyia kisa eti umebadilika, unaenda sana kanisani, unatoa sadaka (zikiwemo pesa ulizonidhulumu ), n..k NEVER !!!! Na kuhakikishia Mungu ni wa haki hata sikia sala yako ya kuokoka kama hutotubu maovu yako kwa uliowaumiza, Mungu haongeki!
5. MWISHO KABISA
Huwezi kumruka mtu uliyemuumiza na kukurupuka kukimbilia kanisani kwa mchungaji akuwekee mikono kichwani kukuombea msamaha kwa Mungu huo ni upotofu, mambo hayaendi hivyo!. Toba ya kweli ni kuanza kupatana na uliyemkosea na sio huu upumbavu wa kwenda kutubu kanisani na kumhonga mchungaji sadaka huku uliowaumiza wakiendelea kuumia.
unavunaje shamba ulilodhulumu huku watoto ambao wangerithi hilo shamba wanalala njaa ama chakula hakiwatoshi na utegemee kupata msamaha wa Mungu wakati hujarudisha ulichoiba wala kuwaomba msamaha watoto au ndugu wa marehemu?Kwahiyo utayaomba mabaki hake msamaha?
Watoto au ndugu sio wahusika uliowakosea. Huoni ni bora umuombe Mungu msamaha
BASHITE NA WOTE WANAOMWEKEA MIKONO NI UZAO WA SHETANIUtasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alivunja ndoa za wengi hapo zamani kaamua kuokoka, nonsense, ujinga! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!
1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI
Huwezi kuroga watu wakapatwa magonjwa na matatizo mengine halafu uanze kutafuta wokovu eti unasalimisha matunguli yako kanisani yachomwe, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowachawia na utegue vifungo !!
Huwezi kudhulumu mali ya masikini au yatima halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kurudisha ulivyoiba na kuwaomba msamaha wahusika !!
Huwezi kufarakanisha wanandoa wakaachana halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowafarakanisha !!
Huwezi kuua watu wanaacha familia zao halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha wanafamilia wake !!
2. MIFANO
Baada ya Daudi kushika madaraka nchi ikawa ina majanga, alipomuuliza Mungu nini chanzo, aliambiwa utawala uliopita wa Sauli uliua wana watu wa Gibeon hivyo waende kwao wayamalize, baada ya hapoataitakasa nchi, walipoenda huko wa Gibeon waliwambia wao hawataki dhahabu wala Silver, wanataka kulipiza kisasi, wawape wana wa Sauli wa kiume saba wawaue na walipofanya hivyo nchi ilitakaswa.
Mfano mwingine Yesu mwenyewe aliwaambia wanafunzi wake kwamba kabla ya kutoa sadaka kaweke kwanza mambo sawa na uliowakosea, pia alishauri patana na mshitaki wako kwanza kabla hamjafika kwa hakimu.
Mfano mwingine wa zakayo alikumbuka dhambi zake na akasema atawarejeshea mara kumi aliowadhulumu, bda ya hapo ndipo aliweza kupokea wokovu.
Mfalme Daudi alimuua Uria ili Daudi aweze kumuoa mke Uria. Kilichotokea ili kulipa hyo dhambi mtoto wake wa kwanza aliyezaa na mke wa Uria alikufa ndo Daudi akapata msamaha wa Mungu.
3. AGANO LA KALE LILIRUHUSU JICHO KWA JICHO, JIPYA JE?
Agano la kale liliruhusu kulipiza jino kwa jino lakini haimaanishi agano jipya limefuta kila kitu, agano jipya linatusihi zaidi tupendane hivyo kilichobadilika ni kwamba mtu aliekukosea akija kukuomba msamaha haupaswi kulipiza jino kwa jino, ni aidha umsamehe au kama roho inasita wewe mwambie wazi tu huwezi, hakuna haja ya kulipiza.
Na kwa mawazo yangu navyoona kwamba mwenye dhambi kama hajabatizwa anaweza kusamehewa dhambi zake moja kwa moja ikiwa yupo tayari kumpkea Yesu, lakini baada ya hapo kigezo chako cha kusamehewa kinakuwa kizito zaidi, na kumbuka kubatizwa huwa ni mara moja tu
4. HAIWEZEKANI KUOKOKA BILA KUPATA TIKETI YA MSAMAHA WA ULIOWAUMIZA
Ni hivi, Mungu sio dhalimu,wewe unaweza kukuta umenitendea mabaya halafu unaenda kanisani kuokoka lakin unasahau mimi kila asubuh naamka na majereaha uliyoniachia aidha umeniibia duka nimefirisika, umeua watu wangu wa karibu naumia, umeniibia mke ndoa ilivunjika, umenidhulumu kiwanja sina nyumba, n.k.
Mungu hawezi kusahau uovu ulionifanyia kisa eti umebadilika, unaenda sana kanisani, unatoa sadaka (zikiwemo pesa ulizonidhulumu ), n..k NEVER !!!! Na kuhakikishia Mungu ni wa haki hata sikia sala yako ya kuokoka kama hutotubu maovu yako kwa uliowaumiza, Mungu haongeki!
5. MWISHO KABISA
Huwezi kumruka mtu uliyemuumiza na kukurupuka kukimbilia kanisani kwa mchungaji akuwekee mikono kichwani kukuombea msamaha kwa Mungu huo ni upotofu, mambo hayaendi hivyo!. Toba ya kweli ni kuanza kupatana na uliyemkosea na sio huu upumbavu wa kwenda kutubu kanisani na kumhonga mchungaji sadaka huku uliowaumiza wakiendelea kuumia.
Hawa wakikusamehe na yule uliemuua nae anakusamehe?msamaha watoto au ndugu wa marehemu?
Ni damu yake hao, damu ni nzito sana kwenye mambo ya kiroho, japo usihonge kupata msamaha.Hawa wakikusamehe na yule uliemuua nae anakusamehe?
Lengai ole Sabaya aliamua kuingia kanisani kule Arusha nakuomba msamaha wa jumla kwa wale wote aloowakosea.Kwahiyo ufate mmoja mmoja ukaombe msamaha au. ?
Yeye kwa kinywa chake aliweka wazi dhambi zipi kazifanya ?Lengai ole Sabaya aliamua kuingia kanisani kule Arusha nakuomba msamaha wa jumla kwa wale wote aloowakosea.
Twende taratibu. Ni jibu lile swaliNi damu yake hao, damu ni nzito sana kwenye mambo ya kiroho, japo usihonge kupata msamaha.
Vuta picha wewe hapo mtu anakuja kukuomba msamaha alimuua mzazi wako, ni kwamba hadi umekubali kumsamehe sio ishu ndogo.
Kumbuka sio kuomba msamaha tu bali kurudisha ulichoiba na riba kwa juu
Cc: Pascal Mayallazambi = dhambi. Hayo mafundisho ya kumruka mtu uliyemkosea na kwenda kumwomba Mungu msamaha ni mafundisho ya upotofu. Hata biblia imeandika kama humpendi ndugu yako unayemwona utawezaje kumpenda Mungu usiyemwona? Toba ya kweli ni kuanza kupatana na uliyemkosea na sio huu upumbavu wa kwenda kutubu kanisani na kumhonga mchungaji sadaka huku uliowaumiza wakiendelea kuumia.
Rudisha shamba kwa watto wake au ndugu zakeKama niliemnyang'anya shamba nilimuua nitampata wapi ili kumuomba msamaha?
Mtazamo wako unaangalia watu walio kafibu na wewe tu, na bado wako hai.
Bashite ni vile tu hatujui siri za Mungu namna anavyotenda huenda Makonda alishasamamehewa kama ni kweli alimpiga au alishiriki kumpiga lisu ngataraKwahiyo hata bashite akitaka kuokoka aende kumuomba lissu kwa kutaka kumtoa uhai
Wakikusamehe na yeye anakuwa amekusamehe?Rudisha shamba kwa watto wake au ndugu zake
Hakuutangazia umma isipokuwa alidai amemalizana na waandamu kisha akasalia kanisani kujisalimishaYeye kwa kinywa chake aliweka wazi dhambi zipi kazifanya ?
Hapa ndipp karma inaingia uko sahihiKarma is real..
Eti ameokoka?[emoji23]
Ndugu yangu mzimu wa mtu ni hatari sana.Wakikusamehe na yeye anakuwa amekusamehe?
Hii ni stori tuNdugu yangu mzimu wa mtu ni hatari sana.
Kuna baba mmoja alimuaga mtu , huyo mzee alikuwa jambazi kulikuwa na eneo linauzwa wakati huo mwaka 2007
Lilikuwa eneo la kibiashara sasa mtu mmoja akataka kununua
Yule jambazi akiwa amepapenda eneo hilo
Alimuua kwa kumtumia vijana wakampiga risasi saa moja ya jioni.
Baada ya muda yule jambazi akapanunua wengi
Walimsema sana kwamba itakuwa ni yeye kamuua yule baba wa watu.
After ten years pale pale alipomuulia yule baba
Ilikuja pikipiki na kumgonga hatimaye akafariki.
Ikasemekana ule mzimu wa yule baba aliyemuua uko pale unazunguka hata sasa.