Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
AiseeIwe ni yeye au wewe au mimi kwa aliehusika kwa tukio lile hakuna shortcut ya kuokoka, hata uzunguke makanisa yote ni kujisumbua tu, ni mpaka uende kwa Lissu umuombe msamaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeIwe ni yeye au wewe au mimi kwa aliehusika kwa tukio lile hakuna shortcut ya kuokoka, hata uzunguke makanisa yote ni kujisumbua tu, ni mpaka uende kwa Lissu umuombe msamaha
Huyo alifanya vizuriLengai ole Sabaya aliamua kuingia kanisani kule Arusha nakuomba msamaha wa jumla kwa wale wote aloowakosea.
Mtoto Mchanga alikuwa na Mungu akasema ni sababu Daudi ametenda Dhambi ya kuua watu wengi.Mfalme Daudi alimuua Uria ili Daudi aweze kumuoa mke Uria. Kilichotokea ili kulipa hyo dhambi mtoto wake wa kwanza aliyezaa na mke wa Uria alikufa ndo Daudi akapata msamaha wa Mungu.
Fundisho la mleta mada ni thabiti 100%.Mungu angekua katili kama unavyomuelezea hapo, dunia ingekuwa chungu sana kwa wakosefu. Ndo maana tunaambiwa M/Mungu ni mwingi wa Neema na Rehema. Pia M/Mungu ni baba wa wote.
Yafaa tujifunze ilivyokuwa kwa mtume Paulo ambaye sioalitesa na aliua wakristo tuu, bali pia aliyachoma moto makanisa yao. Lakini Mungu wa huruma na neema alimbadilisha bila masharti yoyote alipokuwa njiani kuelekea Dameski katika kutekeleza harakati zake za madhulumu kwa kanisa(Wakristo). Na aliporudi kujiunga na kanisa watu wengi hawakukubali kuwa huyo ndo yule yule......... Kuna cha kujifunza hapo.Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!
1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI
Huwezi kuroga watu wakapatwa magonjwa na matatizo mengine halafu uanze kutafuta wokovu eti unasalimisha matunguli yako kanisani yachomwe, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowachawia na utegue vifungo !!
Umedhulumu shamba la mtu kisa masikini, unavuna kila mwaka huku familia yake wanalala njaa ama chakula hakiwatoshi kwajili yako, Unajidai kupeleka sadaka kanisani kwa mavuno ya shamba la wizi eti unatafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kurudisha shamba na uombe msamaha
Huwezi kudhulumu mali ya masikini au yatima halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kurudisha ulivyoiba na kuwaomba msamaha wahusika !!
Huwezi kufarakanisha wanandoa wakaachana halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowafarakanisha !!
Huwezi kuua watu wanaacha familia zao halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha wanafamilia wake !!
shinda kanisani muda wote, sikiliza gospel siku nzima, toa sana sadaka, vaa mashati ya vitenge, n.k. Mungu wa haki hawezi kukubali msamaha wako, anzia kwanza kwenye chanzo cha watu uliowaumiza !!
2. MIFANO
Baada ya Daudi kushika madaraka nchi ikawa ina majanga, alipomuuliza Mungu nini chanzo, aliambiwa utawala uliopita wa Sauli uliua wana watu wa Gibeon hivyo waende kwao wayamalize, baada ya hapoataitakasa nchi, walipoenda huko wa Gibeon waliwambia wao hawataki dhahabu wala Silver, wanataka kulipiza kisasi, wawape wana wa Sauli wa kiume saba wawaue na walipofanya hivyo nchi ilitakaswa.
Mfano mwingine Yesu mwenyewe aliwaambia wanafunzi wake kwamba kabla ya kutoa sadaka kaweke kwanza mambo sawa na uliowakosea, pia alishauri patana na mshitaki wako kwanza kabla hamjafika kwa hakimu.
Mfano mwingine wa zakayo alikumbuka dhambi zake na akasema atawarejeshea mara kumi aliowadhulumu, bda ya hapo ndipo aliweza kupokea wokovu.
Mfalme Daudi alimuua Uria ili Daudi aweze kumuoa mke Uria. Kilichotokea ili kulipa hyo dhambi mtoto wake wa kwanza aliyezaa na mke wa Uria alikufa ndo Daudi akapata msamaha wa Mungu.
3. AGANO LA KALE LILIRUHUSU JICHO KWA JICHO, JIPYA JE?
Agano la kale liliruhusu kulipiza jino kwa jino lakini haimaanishi agano jipya limefuta kila kitu, agano jipya linatusihi zaidi tupendane hivyo kilichobadilika ni kwamba mtu aliekukosea akija kukuomba msamaha haupaswi kulipiza jino kwa jino, ni aidha umsamehe au kama roho inasita wewe mwambie wazi tu huwezi, hakuna haja ya kulipiza.
Na kwa mawazo yangu navyoona kwamba mwenye dhambi kama hajabatizwa anaweza kusamehewa dhambi zake moja kwa moja ikiwa yupo tayari kumpkea Yesu, lakini baada ya hapo kigezo chako cha kusamehewa kinakuwa kizito zaidi, na kumbuka kubatizwa huwa ni mara moja tu
4. HAIWEZEKANI KUOKOKA BILA KUPATA TIKETI YA MSAMAHA WA ULIOWAUMIZA
Ni hivi, Mungu sio dhalimu,wewe unaweza kukuta umenitendea mabaya halafu unaenda kanisani kuokoka lakin unasahau mimi kila asubuh naamka na majereaha uliyoniachia aidha umeniibia duka nimefirisika, umeua watu wangu wa karibu naumia, umeniibia mke ndoa ilivunjika, umenidhulumu kiwanja sina nyumba, n.k.
Mungu hawezi kusahau uovu ulionifanyia kisa eti umebadilika, unaenda sana kanisani, unatoa sadaka (zikiwemo pesa ulizonidhulumu ), n..k NEVER !!!! Na kuhakikishia Mungu ni wa haki hata sikia sala yako ya kuokoka kama hutotubu maovu yako kwa uliowaumiza, Mungu haongeki!
5. MWISHO KABISA
Huwezi kumruka mtu uliyemuumiza na kukurupuka kukimbilia kanisani kwa mchungaji akuwekee mikono kichwani kukuombea msamaha kwa Mungu huo ni upotofu, mambo hayaendi hivyo!. Toba ya kweli ni kuanza kupatana na uliyemkosea na sio huu upumbavu wa kwenda kutubu kanisani na kumhonga mchungaji sadaka huku uliowaumiza wakiendelea kuumia.
Hee kumpiga Ngatara ndo nini?Bashite ni vile tu hatujui siri za Mungu namna anavyotenda huenda Makonda alishasamamehewa kama ni kweli alimpiga au alishiriki kumpiga lisu ngatara
Kamwambie mamako
Kwani wewe Ndio unaokoa au ni Yesu? Tuanzie hapoUtasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!
1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI
Huwezi kuroga watu wakapatwa magonjwa na matatizo mengine halafu uanze kutafuta wokovu eti unasalimisha matunguli yako kanisani yachomwe, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowachawia na utegue vifungo !!
Umedhulumu shamba la mtu kisa masikini, unavuna kila mwaka huku familia yake wanalala njaa ama chakula hakiwatoshi kwajili yako, Unajidai kupeleka sadaka kanisani kwa mavuno ya shamba la wizi eti unatafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kurudisha shamba na uombe msamaha
Huwezi kudhulumu mali ya masikini au yatima halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kurudisha ulivyoiba na kuwaomba msamaha wahusika !!
Huwezi kufarakanisha wanandoa wakaachana halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowafarakanisha !!
Huwezi kuua watu wanaacha familia zao halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha wanafamilia wake !!
shinda kanisani muda wote, sikiliza gospel siku nzima, toa sana sadaka, vaa mashati ya vitenge, n.k. Mungu wa haki hawezi kukubali msamaha wako, anzia kwanza kwenye chanzo cha watu uliowaumiza !!
2. MIFANO
Baada ya Daudi kushika madaraka nchi ikawa ina majanga, alipomuuliza Mungu nini chanzo, aliambiwa utawala uliopita wa Sauli uliua wana watu wa Gibeon hivyo waende kwao wayamalize, baada ya hapoataitakasa nchi, walipoenda huko wa Gibeon waliwambia wao hawataki dhahabu wala Silver, wanataka kulipiza kisasi, wawape wana wa Sauli wa kiume saba wawaue na walipofanya hivyo nchi ilitakaswa.
Mfano mwingine Yesu mwenyewe aliwaambia wanafunzi wake kwamba kabla ya kutoa sadaka kaweke kwanza mambo sawa na uliowakosea, pia alishauri patana na mshitaki wako kwanza kabla hamjafika kwa hakimu.
Mfano mwingine wa zakayo alikumbuka dhambi zake na akasema atawarejeshea mara kumi aliowadhulumu, bda ya hapo ndipo aliweza kupokea wokovu.
Mfalme Daudi alimuua Uria ili Daudi aweze kumuoa mke Uria. Kilichotokea ili kulipa hyo dhambi mtoto wake wa kwanza aliyezaa na mke wa Uria alikufa ndo Daudi akapata msamaha wa Mungu.
3. AGANO LA KALE LILIRUHUSU JICHO KWA JICHO, JIPYA JE?
Agano la kale liliruhusu kulipiza jino kwa jino lakini haimaanishi agano jipya limefuta kila kitu, agano jipya linatusihi zaidi tupendane hivyo kilichobadilika ni kwamba mtu aliekukosea akija kukuomba msamaha haupaswi kulipiza jino kwa jino, ni aidha umsamehe au kama roho inasita wewe mwambie wazi tu huwezi, hakuna haja ya kulipiza.
Na kwa mawazo yangu navyoona kwamba mwenye dhambi kama hajabatizwa anaweza kusamehewa dhambi zake moja kwa moja ikiwa yupo tayari kumpkea Yesu, lakini baada ya hapo kigezo chako cha kusamehewa kinakuwa kizito zaidi, na kumbuka kubatizwa huwa ni mara moja tu
4. HAIWEZEKANI KUOKOKA BILA KUPATA TIKETI YA MSAMAHA WA ULIOWAUMIZA
Ni hivi, Mungu sio dhalimu,wewe unaweza kukuta umenitendea mabaya halafu unaenda kanisani kuokoka lakin unasahau mimi kila asubuh naamka na majereaha uliyoniachia aidha umeniibia duka nimefirisika, umeua watu wangu wa karibu naumia, umeniibia mke ndoa ilivunjika, umenidhulumu kiwanja sina nyumba, n.k.
Mungu hawezi kusahau uovu ulionifanyia kisa eti umebadilika, unaenda sana kanisani, unatoa sadaka (zikiwemo pesa ulizonidhulumu ), n..k NEVER !!!! Na kuhakikishia Mungu ni wa haki hata sikia sala yako ya kuokoka kama hutotubu maovu yako kwa uliowaumiza, Mungu haongeki!
5. MWISHO KABISA
Huwezi kumruka mtu uliyemuumiza na kukurupuka kukimbilia kanisani kwa mchungaji akuwekee mikono kichwani kukuombea msamaha kwa Mungu huo ni upotofu, mambo hayaendi hivyo!. Toba ya kweli ni kuanza kupatana na uliyemkosea na sio huu upumbavu wa kwenda kutubu kanisani na kumhonga mchungaji sadaka huku uliowaumiza wakiendelea kuumia.
Tunaokolewa kwa neema tuu na sio kwa matendo!. Isa 1:18 SUVUtasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!
Huwezi kumruka mtu uliyemuumiza na kukurupuka kukimbilia kanisani kwa mchungaji akuwekee mikono kichwani kukuombea msamaha kwa Mungu huo ni upotofu, mambo hayaendi hivyo!. Toba ya kweli ni kuanza kupatana na uliyemkosea na sio huu upumbavu wa kwenda kutubu kanisani na kumhonga mchungaji sadaka huku uliowaumiza wakiendelea kuumia.
Asante kuni tag.
Sababu nimegundua unakariri biblia badala ya kujifunza biblia,ukishaweza kuchukua mistari tofaut kwenye vitabu mbali mbali na kuunganisha na kupata point moja apo utakuwa umeweza, biblia ni kitabu kilichofungwa seven times ili siyo tu mtu yeyote tu anafungua mihur zake na kukitumia vibaya,ndo maana lazima ujue namna ya kufungua muhur zake,roho mtakatifu awe kazi na practise za kutosha sasa we unategemea umejiandaa kumpinga mungu direct upate kitu uko utasoma tu kama riwaya 🤠🤠🤠Ukiwa kama nani unaniambia hivyo? Wewe ni mdogo wake Mungu?
Chakula kigumu ni cha watu wazima 🤠Zambi = dhambi. Wewe kuandika huwezi ndo wa kuniambia kuwa nina mengi ya kujifunza?
Hakika kabisa....Mungu angekua katili kama unavyomuelezea hapo, dunia ingekuwa chungu sana kwa wakosefu. Ndo maana tunaambiwa M/Mungu ni mwingi wa Neema na Rehema. Pia M/Mungu ni baba wa wote.
Yaan biblia haijaandikwa kimafumbo imefungwa kabisa kutokujua kama imefungwa,ndo unaonyesha bado unakunywa maziwaNilitarajia hili jibu lako. Nyie walokole uchwara mkishindwaga hoja mnaleta kioja kwamba biblia imeandikwa kimafumbo. Binafsi nimeanza kusima bible seriously kuanzia darasa la nne. Na nimehudhuria mafunzo mengi kuhusu biblia. Hakuna nyau yeyote hapa JF ataniambia kitu.
Acha tuwe na kiburi tu maana tunajua Neema ya Mungu inatugusa wote na mahali popote na hakuna wa kuizuia ikiwa ya kwamba yeye mwenyewe kashaweka hio neema juu ya watu wake. Kikubwa tumrudie Mungu na kuomba neema yake ituokoe.Fundisho la mleta mada ni thabiti 100%.
Kiburi cha uzima na uhai ndio kinawafanya wanadamu kuwa wabishi.
Watu waovu na wahalifu wengi huwa wanakimbilia kwenye makanisa na kwenye siasa ili kuficha uovu wao.Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!
1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI
Huwezi kuroga watu wakapatwa magonjwa na matatizo mengine halafu uanze kutafuta wokovu eti unasalimisha matunguli yako kanisani yachomwe, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowachawia na utegue vifungo !!
Umedhulumu shamba la mtu kisa masikini, unavuna kila mwaka huku familia yake wanalala njaa ama chakula hakiwatoshi kwajili yako, Unajidai kupeleka sadaka kanisani kwa mavuno ya shamba la wizi eti unatafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kurudisha shamba na uombe msamaha
Huwezi kudhulumu mali ya masikini au yatima halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kurudisha ulivyoiba na kuwaomba msamaha wahusika !!
Huwezi kufarakanisha wanandoa wakaachana halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowafarakanisha !!
Huwezi kuua watu wanaacha familia zao halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha wanafamilia wake !!
shinda kanisani muda wote, sikiliza gospel siku nzima, toa sana sadaka, vaa mashati ya vitenge, n.k. Mungu wa haki hawezi kukubali msamaha wako, anzia kwanza kwenye chanzo cha watu uliowaumiza !!
2. MIFANO
Baada ya Daudi kushika madaraka nchi ikawa ina majanga, alipomuuliza Mungu nini chanzo, aliambiwa utawala uliopita wa Sauli uliua wana watu wa Gibeon hivyo waende kwao wayamalize, baada ya hapoataitakasa nchi, walipoenda huko wa Gibeon waliwambia wao hawataki dhahabu wala Silver, wanataka kulipiza kisasi, wawape wana wa Sauli wa kiume saba wawaue na walipofanya hivyo nchi ilitakaswa.
Mfano mwingine Yesu mwenyewe aliwaambia wanafunzi wake kwamba kabla ya kutoa sadaka kaweke kwanza mambo sawa na uliowakosea, pia alishauri patana na mshitaki wako kwanza kabla hamjafika kwa hakimu.
Mfano mwingine wa zakayo alikumbuka dhambi zake na akasema atawarejeshea mara kumi aliowadhulumu, bda ya hapo ndipo aliweza kupokea wokovu.
Mfalme Daudi alimuua Uria ili Daudi aweze kumuoa mke Uria. Kilichotokea ili kulipa hyo dhambi mtoto wake wa kwanza aliyezaa na mke wa Uria alikufa ndo Daudi akapata msamaha wa Mungu.
3. AGANO LA KALE LILIRUHUSU JICHO KWA JICHO, JIPYA JE?
Agano la kale liliruhusu kulipiza jino kwa jino lakini haimaanishi agano jipya limefuta kila kitu, agano jipya linatusihi zaidi tupendane hivyo kilichobadilika ni kwamba mtu aliekukosea akija kukuomba msamaha haupaswi kulipiza jino kwa jino, ni aidha umsamehe au kama roho inasita wewe mwambie wazi tu huwezi, hakuna haja ya kulipiza.
Na kwa mawazo yangu navyoona kwamba mwenye dhambi kama hajabatizwa anaweza kusamehewa dhambi zake moja kwa moja ikiwa yupo tayari kumpkea Yesu, lakini baada ya hapo kigezo chako cha kusamehewa kinakuwa kizito zaidi, na kumbuka kubatizwa huwa ni mara moja tu
4. HAIWEZEKANI KUOKOKA BILA KUPATA TIKETI YA MSAMAHA WA ULIOWAUMIZA
Ni hivi, Mungu sio dhalimu,wewe unaweza kukuta umenitendea mabaya halafu unaenda kanisani kuokoka lakin unasahau mimi kila asubuh naamka na majereaha uliyoniachia aidha umeniibia duka nimefirisika, umeua watu wangu wa karibu naumia, umeniibia mke ndoa ilivunjika, umenidhulumu kiwanja sina nyumba, n.k.
Mungu hawezi kusahau uovu ulionifanyia kisa eti umebadilika, unaenda sana kanisani, unatoa sadaka (zikiwemo pesa ulizonidhulumu ), n..k NEVER !!!! Na kuhakikishia Mungu ni wa haki hata sikia sala yako ya kuokoka kama hutotubu maovu yako kwa uliowaumiza, Mungu haongeki!
5. MWISHO KABISA
Huwezi kumruka mtu uliyemuumiza na kukurupuka kukimbilia kanisani kwa mchungaji akuwekee mikono kichwani kukuombea msamaha kwa Mungu huo ni upotofu, mambo hayaendi hivyo!. Toba ya kweli ni kuanza kupatana na uliyemkosea na sio huu upumbavu wa kwenda kutubu kanisani na kumhonga mchungaji sadaka huku uliowaumiza wakiendelea kuumia.
Duh mpaka unatia hurumana na aibu🙄Hapana sinywi maziwa bali nanyonya ile miziwa ya mamako mida ya usiku.
Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!

Kama Mungu anachukizwa na dhambi, Alishindwaje kuumba dunia isiyo na dhambi wala uovu?"Mwenyezi Mungu anachukizwa mno na dhambi"
Mwenyezi Mungu ni mwepesi wa kusamehe