Kwani mada inasema kama Mungu yupo au hayupo?Mungu huyo wa haki hayupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mada inasema kama Mungu yupo au hayupo?Mungu huyo wa haki hayupo.
Mungu ni katili sana na hana hata chembe ya huruma.Mungu angekua katili kama unavyomuelezea hapo, dunia ingekuwa chungu sana kwa wakosefu. Ndo maana tunaambiwa M/Mungu ni mwingi wa Neema na Rehema. Pia M/Mungu ni baba wa wote.
Kaiulize mada.Kwani mada inasema kama Mungu yupo au hayupo?
Nimekuuliza wewe ambae umekurupuka kusema Mungu hayupo wakati mada inahusu msamaha.Kaiulize mada.
{}Mungu ni katili sana na hana hata chembe ya huruma.
Mungu aliyeumba dunia iliyojaa uovu, majanga ya asili, njaa, vita, magonjwa n.k ilhali uwezo wa kuumba dunia isiyo na matatizo haya alikuwa nao, Ni mungu mkatili sana aliye ridhia uwepo wa majanga yote haya.
Hayupo ndio.Nimekuuliza wewe ambae umekurupuka kusema Mungu hayupo wakati mada inahusu msamaha.
Thibitisha kwamba hayupo.Hayupo ndio.
Msamaha huo uliotajwa hauna uhusiano na huyo Mungu aliyetajwa kwenye kiini cha mada.
ulimi uliojaa lawama unaonyesha moyo usio na shukrani. I hope you heal mkuu.Mungu ni katili sana na hana hata chembe ya huruma.
Mungu aliyeumba dunia iliyojaa uovu, majanga ya asili, njaa, vita, magonjwa n.k ilhali uwezo wa kuumba dunia isiyo na matatizo haya alikuwa nao, Ni mungu mkatili sana aliye ridhia uwepo wa majanga yote haya.
Mkuu!Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!
1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI
Huwezi kuroga watu wakapatwa magonjwa na matatizo mengine halafu uanze kutafuta wokovu eti unasalimisha matunguli yako kanisani yachomwe, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowachawia na utegue vifungo !!
Umedhulumu shamba la mtu kisa masikini, unavuna kila mwaka huku familia yake wanalala njaa ama chakula hakiwatoshi kwajili yako, Unajidai kupeleka sadaka kanisani kwa mavuno ya shamba la wizi eti unatafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kurudisha shamba na uombe msamaha
Huwezi kudhulumu mali ya masikini au yatima halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kurudisha ulivyoiba na kuwaomba msamaha wahusika !!
Huwezi kufarakanisha wanandoa wakaachana halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowafarakanisha !!
Huwezi kuua watu wanaacha familia zao halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha wanafamilia wake !!
shinda kanisani muda wote, sikiliza gospel siku nzima, toa sana sadaka, vaa mashati ya vitenge, n.k. Mungu wa haki hawezi kukubali msamaha wako, anzia kwanza kwenye chanzo cha watu uliowaumiza !!
2. MIFANO
Baada ya Daudi kushika madaraka nchi ikawa ina majanga, alipomuuliza Mungu nini chanzo, aliambiwa utawala uliopita wa Sauli uliua wana watu wa Gibeon hivyo waende kwao wayamalize, baada ya hapoataitakasa nchi, walipoenda huko wa Gibeon waliwambia wao hawataki dhahabu wala Silver, wanataka kulipiza kisasi, wawape wana wa Sauli wa kiume saba wawaue na walipofanya hivyo nchi ilitakaswa.
Mfano mwingine Yesu mwenyewe aliwaambia wanafunzi wake kwamba kabla ya kutoa sadaka kaweke kwanza mambo sawa na uliowakosea, pia alishauri patana na mshitaki wako kwanza kabla hamjafika kwa hakimu.
Mfano mwingine wa zakayo alikumbuka dhambi zake na akasema atawarejeshea mara kumi aliowadhulumu, bda ya hapo ndipo aliweza kupokea wokovu.
Mfalme Daudi alimuua Uria ili Daudi aweze kumuoa mke Uria. Kilichotokea ili kulipa hyo dhambi mtoto wake wa kwanza aliyezaa na mke wa Uria alikufa ndo Daudi akapata msamaha wa Mungu.
3. AGANO LA KALE LILIRUHUSU JICHO KWA JICHO, JIPYA JE?
Agano la kale liliruhusu kulipiza jino kwa jino lakini haimaanishi agano jipya limefuta kila kitu, agano jipya linatusihi zaidi tupendane hivyo kilichobadilika ni kwamba mtu aliekukosea akija kukuomba msamaha haupaswi kulipiza jino kwa jino, ni aidha umsamehe au kama roho inasita wewe mwambie wazi tu huwezi, hakuna haja ya kulipiza.
Na kwa mawazo yangu navyoona kwamba mwenye dhambi kama hajabatizwa anaweza kusamehewa dhambi zake moja kwa moja ikiwa yupo tayari kumpkea Yesu, lakini baada ya hapo kigezo chako cha kusamehewa kinakuwa kizito zaidi, na kumbuka kubatizwa huwa ni mara moja tu
4. HAIWEZEKANI KUOKOKA BILA KUPATA TIKETI YA MSAMAHA WA ULIOWAUMIZA
Ni hivi, Mungu sio dhalimu,wewe unaweza kukuta umenitendea mabaya halafu unaenda kanisani kuokoka lakin unasahau mimi kila asubuh naamka na majereaha uliyoniachia aidha umeniibia duka nimefirisika, umeua watu wangu wa karibu naumia, umeniibia mke ndoa ilivunjika, umenidhulumu kiwanja sina nyumba, n.k.
Mungu hawezi kusahau uovu ulionifanyia kisa eti umebadilika, unaenda sana kanisani, unatoa sadaka (zikiwemo pesa ulizonidhulumu ), n..k NEVER !!!! Na kuhakikishia Mungu ni wa haki hata sikia sala yako ya kuokoka kama hutotubu maovu yako kwa uliowaumiza, Mungu haongeki!
5. MWISHO KABISA
Huwezi kumruka mtu uliyemuumiza na kukurupuka kukimbilia kanisani kwa mchungaji akuwekee mikono kichwani kukuombea msamaha kwa Mungu huo ni upotofu, mambo hayaendi hivyo!. Toba ya kweli ni kuanza kupatana na uliyemkosea na sio huu upumbavu wa kwenda kutubu kanisani na kumhonga mchungaji sadaka huku uliowaumiza wakiendelea kuumia.
Mkuu rejea mistari miwili hapo chini!Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!

Hii ni misemo uchwara tu ya kujifariji.ulimi uliojaa lawama unaonyesha moyo usio na shukrani. I hope you heal mkuu.
Mungu huyo hawezi kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo wala hawezi kujitetea mwenyewe.Thibitisha kwamba hayupo.
Mungu ni mwema kwetu sisi wanadamu ila wanadamu sio wema kwa wanamungu"Mwenyezi Mungu anachukizwa mno na dhambi"
Mwenyezi Mungu ni mwepesi wa kusamehe
hatishi watu ila ni namna ukweli ulivyo wanadmu hatuna uwoga wa mambo maovu yaani dhambiUsitishe watu bhn, Neema na Rehema zake Mungu zinatugusa watu wote
Heri hata kama mtu uliyemtenda yupo mbali mfate tuu na umuombee msamahaa kibusara mana kwa simu haileti picha nzuriKama niliemnyang'anya shamba nilimuua nitampata wapi ili kumuomba msamaha?
Mtazamo wako unaangalia watu walio kafibu na wewe tu, na bado wako hai.
Aaaah wacha bhanaKamwonee mamako huruma
Haimanishi ivyo cha msingi n kuwa na hali ya kutaka usafisho na kuweza kumshirikisha Mungu huyo mtu alipo akusamehee.Na kweli utasamehewaKama uliyemkosea hayupo (ulimuua) je bible inasemaje ukitaka kutubu utasamehewa au mpaka nawe ufe ukamuombe huko msamaha?
Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!
1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI
Huwezi kuroga watu wakapatwa magonjwa na matatizo mengine halafu uanze kutafuta wokovu eti unasalimisha matunguli yako kanisani yachomwe, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowachawia na utegue vifungo !!
Umedhulumu shamba la mtu kisa masikini, unavuna kila mwaka huku familia yake wanalala njaa ama chakula hakiwatoshi kwajili yako, Unajidai kupeleka sadaka kanisani kwa mavuno ya shamba la wizi eti unatafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kurudisha shamba na uombe msamaha
Huwezi kudhulumu mali ya masikini au yatima halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kurudisha ulivyoiba na kuwaomba msamaha wahusika !!
Huwezi kufarakanisha wanandoa wakaachana halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha uliowafarakanisha !!
Huwezi kuua watu wanaacha familia zao halafu uanze kutafuta wokovu, Mungu wa haki hawezi kukubali huo msamaha !! anza kwa kuwaomba msamaha wanafamilia wake !!
shinda kanisani muda wote, sikiliza gospel siku nzima, toa sana sadaka, vaa mashati ya vitenge, n.k. Mungu wa haki hawezi kukubali msamaha wako, anzia kwanza kwenye chanzo cha watu uliowaumiza !!
2. MIFANO
Baada ya Daudi kushika madaraka nchi ikawa ina majanga, alipomuuliza Mungu nini chanzo, aliambiwa utawala uliopita wa Sauli uliua wana watu wa Gibeon hivyo waende kwao wayamalize, baada ya hapoataitakasa nchi, walipoenda huko wa Gibeon waliwambia wao hawataki dhahabu wala Silver, wanataka kulipiza kisasi, wawape wana wa Sauli wa kiume saba wawaue na walipofanya hivyo nchi ilitakaswa.
Mfano mwingine Yesu mwenyewe aliwaambia wanafunzi wake kwamba kabla ya kutoa sadaka kaweke kwanza mambo sawa na uliowakosea, pia alishauri patana na mshitaki wako kwanza kabla hamjafika kwa hakimu.
Mfano mwingine wa zakayo alikumbuka dhambi zake na akasema atawarejeshea mara kumi aliowadhulumu, bda ya hapo ndipo aliweza kupokea wokovu.
Mfalme Daudi alimuua Uria ili Daudi aweze kumuoa mke Uria. Kilichotokea ili kulipa hyo dhambi mtoto wake wa kwanza aliyezaa na mke wa Uria alikufa ndo Daudi akapata msamaha wa Mungu.
3. AGANO LA KALE LILIRUHUSU JICHO KWA JICHO, JIPYA JE?
Agano la kale liliruhusu kulipiza jino kwa jino lakini haimaanishi agano jipya limefuta kila kitu, agano jipya linatusihi zaidi tupendane hivyo kilichobadilika ni kwamba mtu aliekukosea akija kukuomba msamaha haupaswi kulipiza jino kwa jino, ni aidha umsamehe au kama roho inasita wewe mwambie wazi tu huwezi, hakuna haja ya kulipiza.
Na kwa mawazo yangu navyoona kwamba mwenye dhambi kama hajabatizwa anaweza kusamehewa dhambi zake moja kwa moja ikiwa yupo tayari kumpkea Yesu, lakini baada ya hapo kigezo chako cha kusamehewa kinakuwa kizito zaidi, na kumbuka kubatizwa huwa ni mara moja tu
4. HAIWEZEKANI KUOKOKA BILA KUPATA TIKETI YA MSAMAHA WA ULIOWAUMIZA
Ni hivi, Mungu sio dhalimu,wewe unaweza kukuta umenitendea mabaya halafu unaenda kanisani kuokoka lakin unasahau mimi kila asubuh naamka na majereaha uliyoniachia aidha umeniibia duka nimefirisika, umeua watu wangu wa karibu naumia, umeniibia mke ndoa ilivunjika, umenidhulumu kiwanja sina nyumba, n.k.
Mungu hawezi kusahau uovu ulionifanyia kisa eti umebadilika, unaenda sana kanisani, unatoa sadaka (zikiwemo pesa ulizonidhulumu ), n..k NEVER !!!! Na kuhakikishia Mungu ni wa haki hata sikia sala yako ya kuokoka kama hutotubu maovu yako kwa uliowaumiza, Mungu haongeki!
5. MWISHO KABISA
Huwezi kumruka mtu uliyemuumiza na kukurupuka kukimbilia kanisani kwa mchungaji akuwekee mikono kichwani kukuombea msamaha kwa Mungu huo ni upotofu, mambo hayaendi hivyo!. Toba ya kweli ni kuanza kupatana na uliyemkosea na sio huu upumbavu wa kwenda kutubu kanisani na kumhonga mchungaji sadaka huku uliowaumiza wakiendelea kuumia.
Uoga upo ila kuna kujisahau kwa sababu sisi sio wakamilifu.Mungu ni mwema kwetu sisi wanadamu ila wanadamu sio wema kwa wanamungu
hatishi watu ila ni namna ukweli ulivyo wanadmu hatuna uwoga wa mambo maovu yaani dhambi
Ni sawa.ila huwa kwa kila mwanadamu huwa kuna roho ya kusita kutenda jambo fulani lisilo jema ila huwa tunapuuzia kuwa liwalo na liwe ambapo huwa tunakoseaUoga upo ila kuna kujisahau kwa sababu sisi sio wakamilifu.
Sijui lolote kuhusu huyo Makonda ila hadi uokoke ni mpaka upewe wokovu, anaekupa wokovu hawezi kukubariki ikiwa watu uliowakosea hujawaomba msamaha na kurudisha ulichokichukua.Kwani Makonda ameamua kuokoka?
Ndo kutokuwa wakamilifu sasa, ndo maana hata licha ya kusita sita ila bado tunadondokea dhambini.Ni sawa.ila huwa kwa kila mwanadamu huwa kuna roho ya kusita kutenda jambo fulani lisilo jema ila huwa tunapuuzia kuwa liwalo na liwe ambapo huwa tunakosea