Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

Tafuta mabaki yake / watoto ama ndugu wa damu walioumizwa na ulichomfanyia nduguye
Kwahiyo utayaomba mabaki hake msamaha?
Watoto au ndugu sio wahusika uliowakosea. Huoni ni bora umuombe Mungu msamaha
 
Iwe ni yeye au wewe au mimi kwa aliehusika kwa tukio lile hakuna shortcut ya kuokoka, hata uzunguke makanisa yote ni kujisumbua tu, ni mpaka uende kwa Lissu umuombe msamaha.
Uko dhehebu gani mkuu
 
Sahihi..naunga mkono hoja 💯💯
 
Kwahiyo utayaomba mabaki hake msamaha?
Watoto au ndugu sio wahusika uliowakosea. Huoni ni bora umuombe Mungu msamaha
unavunaje shamba ulilodhulumu huku watoto ambao wangerithi hilo shamba wanalala njaa ama chakula hakiwatoshi na utegemee kupata msamaha wa Mungu wakati hujarudisha ulichoiba wala kuwaomba msamaha watoto au ndugu wa marehemu?
 
BASHITE NA WOTE WANAOMWEKEA MIKONO NI UZAO WA SHETANI
 
Hawa wakikusamehe na yule uliemuua nae anakusamehe?
Ni damu yake hao, damu ni nzito sana kwenye mambo ya kiroho, japo usihonge kupata msamaha.

Vuta picha wewe hapo mtu anakuja kukuomba msamaha alimuua mzazi wako, ni kwamba hadi umekubali kumsamehe sio ishu ndogo.

Kumbuka sio kuomba msamaha tu bali kurudisha ulichoiba na riba kwa juu
 
Lengai ole Sabaya aliamua kuingia kanisani kule Arusha nakuomba msamaha wa jumla kwa wale wote aloowakosea.
Yeye kwa kinywa chake aliweka wazi dhambi zipi kazifanya ?
 
Twende taratibu. Ni jibu lile swali
 
Cc: Pascal Mayalla

,Mshana Jr

FaizaFoxy wauone uzi huu
 
Wakikusamehe na yeye anakuwa amekusamehe?
Ndugu yangu mzimu wa mtu ni hatari sana.

Kuna baba mmoja alimuaga mtu , huyo mzee alikuwa jambazi kulikuwa na eneo linauzwa wakati huo mwaka 2007
Lilikuwa eneo la kibiashara sasa mtu mmoja akataka kununua

Yule jambazi akiwa amepapenda eneo hilo
Alimuua kwa kumtumia vijana wakampiga risasi saa moja ya jioni.

Baada ya muda yule jambazi akapanunua wengi

Walimsema sana kwamba itakuwa ni yeye kamuua yule baba wa watu.

After ten years pale pale alipomuulia yule baba

Ilikuja pikipiki na kumgonga hatimaye akafariki.

Ikasemekana ule mzimu wa yule baba aliyemuua uko pale unazunguka hata sasa.
 
Hii ni stori tu
Hujajibu nikichouliza. Ukiomba msamaha watoto au ndugu, yule uliemuua nae anakusamehe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…